MMU thread ya kufungia mwaka

MMU thread ya kufungia mwaka

Mimi nitashusha maandiko matakatifu yanayokemea dhambi ya uzinzi na tamaa ,maana na ona humu jukwaani washabikia uzinzi ni wengi sana. wachungaji wote humu naomba mnisapoti. Nataka tufunge kwa maombi na Neno La MUNGU
Amina,usisahu kunitanguliza kwenye sala,nshamuahidi mzee DC come jan,1st mambo ya infidelity naacha kabisa,itakuwa ni mimi na Lizzy tu (assuming atapokea pete yangu ya uchumba).
 
am blushing already
umeongelea ya ndoa na mimba
nimeskia raha ngoja nikajipongeze kwa juisi

Me love the sound of this post..... Hivi umeeona comment ya B'?

Azima mtutu kwa King' ulipua huyu jamaa! Hata kwa E wa Tegeta not bad! lol
 
Mimi thread yangu kila mtu atashangaa maana nataka nimwage ukweli woote kuhusiana na Mahusiano yangu na Faiza Fox
 
Me love the sound of this post..... Hivi umeeona comment ya B'?

Azima mtutu kwa King' ulipua huyu jamaa! Hata kwa E wa Tegeta not bad! lol

kinamama nyie,hivi bado mna bifu na l'aziz wangu Eliza wa tegeta,lol!
Siku hiyo nilicheka mpaka basi maana alirusha madongo hayo,du!
 
Khaaa! Na mimi nifakamie nini ili iwe ngoma droo?
ulimi wangu aphrodisiac tosha kabisa,muulize E wa tegeta alivyokuwa anapagaika kabla mahusiano yetu hayajakumbwa na a la titanic.
 
Mimi thread yangu kila mtu atashangaa maana nataka nimwage ukweli woote kuhusiana na Mahusiano yangu na Faiza Fox
e bana eee,si mtauana na Mwanakijiji?
 
Duh!Ngoja nipige mswakiki kwanza,meno yana kande za jana!
 
Nawatakia kila la kheri, msalimie shemeji langu uporoto.

Mwambie X'mass natarajia kuwa mgeni wenu yale mahanjumati mlonipikia kwenye eid nimeyakumbuka sana... Gauni ntalituma kesho kwa dar xprec!

salamu zimefika. Na wewe msalimie nvi petrol.
 
ulimi wangu aphrodisiac tosha kabisa,muulize E wa tegeta alivyokuwa anapagaika kabla mahusiano yetu hayajakumbwa na a la titanic.
Ha ha ha! Bishanga naona sasa umenichoka, looh hivi ntaanzia wapi kumwuliza E wa Tegeta? Unataka ntolewe meno ya chumbani au?.. Si unazielewa vizuri hasira zake?
 
akheri bibi,wambaje?Kongosho anakusalimia,anakuuliza kama wewe ni He au She?
Mwambie mie sijasahau jinsia yangu...mi ni she so afanye bidii kuleta hiyo posa kabla ya x'mass, akisubiri niende vekesheni uchagani amekwisha manake nkirudi nafasi itakuwa imejaa!
 
Back
Top Bottom