Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina,usisahu kunitanguliza kwenye sala,nshamuahidi mzee DC come jan,1st mambo ya infidelity naacha kabisa,itakuwa ni mimi na Lizzy tu (assuming atapokea pete yangu ya uchumba).Mimi nitashusha maandiko matakatifu yanayokemea dhambi ya uzinzi na tamaa ,maana na ona humu jukwaani washabikia uzinzi ni wengi sana. wachungaji wote humu naomba mnisapoti. Nataka tufunge kwa maombi na Neno La MUNGU
am blushing already
umeongelea ya ndoa na mimba
nimeskia raha ngoja nikajipongeze kwa juisi
Khaaa! Na mimi nifakamie nini ili iwe ngoma droo?poa ,usisahu kupaki kwenye begi 'vitendea kazi' vya kutosha,mwenzio ndo hivo naanza kufakamia asali na karanga.
Kama ya kwako kongosho, sahizi sijui itakuwa ipo msitu gani...lolBora, utakuwa umeokoa roho nyingi sana
zilizopotea
Wifi mie bukheri. Nakusalim.Me love the sound of this post..... Hivi umeeona comment ya B'?
Azima mtutu kwa King' ulipua huyu jamaa! Hata kwa E wa Tegeta not bad! lol
Me love the sound of this post..... Hivi umeeona comment ya B'?
Azima mtutu kwa King' ulipua huyu jamaa! Hata kwa E wa Tegeta not bad! lol
Nawatakia kila la kheri, msalimie shemeji langu uporoto.
Mwambie X'mass natarajia kuwa mgeni wenu yale mahanjumati mlonipikia kwenye eid nimeyakumbuka sana... Gauni ntalituma kesho kwa dar xprec!
ushamaliza kupiga mswaki? Mwaga hapa title ya thread yako tarajiwa.
yaan nikiwa nimechoka huwa naamua kuirudia ile sredi.Ni tamu sanaHivi ile ya Gazeti la Udaku ilikuwa jukwaa gani?
Mie ile ndo thread yangu ya mwaka
Ha ha ha! Bishanga naona sasa umenichoka, looh hivi ntaanzia wapi kumwuliza E wa Tegeta? Unataka ntolewe meno ya chumbani au?.. Si unazielewa vizuri hasira zake?ulimi wangu aphrodisiac tosha kabisa,muulize E wa tegeta alivyokuwa anapagaika kabla mahusiano yetu hayajakumbwa na a la titanic.
Mwambie mie sijasahau jinsia yangu...mi ni she so afanye bidii kuleta hiyo posa kabla ya x'mass, akisubiri niende vekesheni uchagani amekwisha manake nkirudi nafasi itakuwa imejaa!akheri bibi,wambaje?Kongosho anakusalimia,anakuuliza kama wewe ni He au She?