Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa umefanya gender calling, kwa mujibu wa sharia za jf unastahili ban ya miezi 6..kongosho ni SheMale,juu mwanamke chini njemba.
halafu we Asha wewe na wewe unahitaji ufanyiwe maombezi,Rejao kanambia amekuona jukwaa la wakubwa wewe!ulikuwa unafanya nini huko?Good morning wana JF....
@B' Jana ulilewa saana, vipi ulijitambua? Ilibidi niokoe jahazi maana vijana wa nyuma na maadili ya jamii yetu walikua wanakuangalia vibaya.....lol
Aisee utakuwa umefanya la maana sana..mimi iko zimikia sana Eliza wa tegeta. Kwa mantinki hii unamaanisha Kogosho ni kidume?
we na H wako hamjapeana mimba kweli kwenye maombezi yenu hayo?Habari za asubuhi wapendwa katika bwana naendelea kufunga na kuomba kwa ajili ya kondoo wa JF waliopotea njia tulikuwa kwenye mkesha wa maombi yale mapepo sugu yaliyokuwa yakiwaandama Bishanga, Kongosho, Sweetlady yametoka baada ya mtumishi Husninyo kufanya maombezi yenye nguvu na upako wa ajabu uliokuwa na moto ndani yake...
Msisahau kuja kupata maombezi njooni mfanyiwe maombi
Mimi na TF tayari tumeshamuundia Kongosho tume..soon majibu tutayamwaga hapa. Kama una moyo mwepesi itabidi usilifungue hilo lisredi!
Kongosho umeamkaje?
Wewe na nani?tumeamka salama tu,ndo tuna brush meno.
Habari za asubuhi wapendwa katika bwana naendelea kufunga na kuomba kwa ajili ya kondoo wa JF waliopotea njia tulikuwa kwenye mkesha wa maombi yale mapepo sugu yaliyokuwa yakiwaandama Bishanga, Kongosho, Sweetlady yametoka baada ya mtumishi Husninyo kufanya maombezi yenye nguvu na upako wa ajabu uliokuwa na moto ndani yake...
Msisahau kuja kupata maombezi njooni mfanyiwe maombi
halafu wewe SL.............nakuweka kiporo ngoja nimalizie supu yangu ya miguu ya kuku.G'morning too switie wifi.....
Yaan we acha tu, Bishanga jana alichanganya viroba na bange ati, ashukuru mungu uliokoa jahazi vinginevyo angejibeiba!
nasikia kaharufu ka rushwa,TF kwenye tume haki itatendeka kweli?
tumeamka salama tu,ndo tuna brush meno.