MMU thread ya kufungia mwaka

MMU thread ya kufungia mwaka

Aisee utakuwa umefanya la maana sana..mimi iko zimikia sana Eliza wa tegeta. Kwa mantinki hii unamaanisha Kogosho ni kidume?
kongosho ni SheMale,juu mwanamke chini njemba.
 
Mimi na TF tayari tumeshamuundia Kongosho tume..soon majibu tutayamwaga hapa. Kama una moyo mwepesi itabidi usilifungue hilo lisredi!

nasikia kaharufu ka rushwa,TF kwenye tume haki itatendeka kweli?
 
Good morning wana JF....

@B' Jana ulilewa saana, vipi ulijitambua? Ilibidi niokoe jahazi maana vijana wa nyuma na maadili ya jamii yetu walikua wanakuangalia vibaya.....lol
halafu we Asha wewe na wewe unahitaji ufanyiwe maombezi,Rejao kanambia amekuona jukwaa la wakubwa wewe!ulikuwa unafanya nini huko?
 
Mi nashangaa mnahangaika
Wakati wa kumuuliza yupo
Si yule nanii
Ananijua nje ndani
Ilibidi nimuoneshe
Ili nilinde kitumbua changu
Nishawaona mmekuja na matipa ya mchanga mnataka kukimwagia
Aisee utakuwa umefanya la maana sana..mimi iko zimikia sana Eliza wa tegeta. Kwa mantinki hii unamaanisha Kogosho ni kidume?
 
Habari za asubuhi wapendwa katika bwana naendelea kufunga na kuomba kwa ajili ya kondoo wa JF waliopotea njia tulikuwa kwenye mkesha wa maombi yale mapepo sugu yaliyokuwa yakiwaandama Bishanga, Kongosho, Sweetlady yametoka baada ya mtumishi Husninyo kufanya maombezi yenye nguvu na upako wa ajabu uliokuwa na moto ndani yake...

Msisahau kuja kupata maombezi njooni mfanyiwe maombi
we na H wako hamjapeana mimba kweli kwenye maombezi yenu hayo?
 
Yaani Bishanga Bwana next year nitakuombea upate upako wa roho mtakatifu
Ili tukifungua kila Sread yako tunakutana na vifungu vya Bible
Eimen,alleluhya!
Mwaga sredi basi ya kututoa 2011!
 
Ha ha ha ha
Unna kifua rejao?
Cha kuhifadhi mambo?
Au una unakifua cha kubeba ndevu tu?

He he he, nasubiri, kama hamjakutana na mkonga wa tembo
Mimi na TF tayari tumeshamuundia Kongosho tume..soon majibu tutayamwaga hapa. Kama una moyo mwepesi itabidi usilifungue hilo lisredi!
 
Afu mchungaji
Fua basi zile shuka za chumba za maombezi
Zimekuwa chafu hadi zinakuwa za baridi kweli
Afu weka na kitanda, godoro kukaa chini linapata unyevu kwenye simenti

Na mapazia weka mazito, hivyo vi lesi material wanakuona unavyokuwa unaombea

Ni hayo tu kwa sasa, mwishowe kondoo watakuhama bure
Habari za asubuhi wapendwa katika bwana naendelea kufunga na kuomba kwa ajili ya kondoo wa JF waliopotea njia tulikuwa kwenye mkesha wa maombi yale mapepo sugu yaliyokuwa yakiwaandama Bishanga, Kongosho, Sweetlady yametoka baada ya mtumishi Husninyo kufanya maombezi yenye nguvu na upako wa ajabu uliokuwa na moto ndani yake...

Msisahau kuja kupata maombezi njooni mfanyiwe maombi
 
G'morning too switie wifi.....

Yaan we acha tu, Bishanga jana alichanganya viroba na bange ati, ashukuru mungu uliokoa jahazi vinginevyo angejibeiba!
halafu wewe SL.............nakuweka kiporo ngoja nimalizie supu yangu ya miguu ya kuku.
 
Nimeamka zamani kidogo
Ila nillikuwa namwandaa mtoto wa hiari
Nihakikishe kaoga sio kajipaka maji
Na kapata kifungua kinywa sio kanywa chai

Sasa naweza endelea
mmefikishana wapi na Fidel?
 
Back
Top Bottom