Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we na H wako hamjapeana mimba kweli kwenye maombezi yenu hayo?
Hapa umefanya gender calling, kwa mujibu wa sharia za jf unastahili ban ya miezi 6..
nilitaka kumwambia hivo hivo!Afu mchungaji
Fua basi zile shuka za chumba za maombezi
Zimekuwa chafu hadi zinakuwa za baridi kweli
Afu weka na kitanda, godoro kukaa chini linapata unyevu kwenye simenti
Na mapazia weka mazito, hivyo vi lesi material wanakuona unavyokuwa unaombea
Ni hayo tu kwa sasa, mwishowe kondoo watakuhama bure
Nimeamka wima
Mimi na mwili wangu wote
Afu kumbe una mbio
Si ujiunge na riadha
Mwanamme weye kuombwa fanta orange moja ukatimia kama umeona chui?!!
Ndio mana jana ulishindwa eeh? Wenzio wanakunywa supu ya pweza wewe wanywa ya miguu ya kuku.!!!..lolhalafu wewe SL.............nakuweka kiporo ngoja nimalizie supu yangu ya miguu ya kuku.
Mtoto mzuri habari za mchana
Fidel,embu jibu mapigo bana,kumbe we bahili?
Hiki kijiwe ni noma!Mpaka tutasiki send off nyingine hapa!
Njema kaka mpendwa..,.Mtoto mzuri habari za mchana
jamani jamani SL,yaani mambo ya faragha unayamwaga hapa? Ujue jana nilikunywa wine ndo ikaharibu,leo basi pliz pale pale Buibui.Ndio mana jana ulishindwa eeh? Wenzio wanakunywa supu ya pweza wewe wanywa ya miguu ya kuku.!!!..lol
mimi na kongosho
Ulisahau nanii yako wakati nakuombea jana usiku, jioni usisahau kupita uichukue...sio vizuri kondoo wengine wakija wakaionaAfu mchungaji
Fua basi zile shuka za chumba za maombezi
Zimekuwa chafu hadi zinakuwa za baridi kweli
Afu weka na kitanda, godoro kukaa chini linapata unyevu kwenye simenti
Na mapazia weka mazito, hivyo vi lesi material wanakuona unavyokuwa unaombea
Ni hayo tu kwa sasa, mwishowe kondoo watakuhama bure
halafu we Asha wewe na wewe unahitaji ufanyiwe maombezi,Rejao kanambia amekuona jukwaa la wakubwa wewe!ulikuwa unafanya nini huko?
Njema kaka mpendwa..,.
Ulifika salama jana tulivyoachana pale?
Nawafuatilia kwa karibu sana hawa watoto wawili nataka mmoja wao awe anapika na kupakua kwangu.