MMU thread ya kufungia mwaka

MMU thread ya kufungia mwaka

Nimeamka wima
Mimi na mwili wangu wote

Afu kumbe una mbio
Si ujiunge na riadha
Mwanamme weye kuombwa fanta orange moja ukatimia kama umeona chui?!!

Fidel,embu jibu mapigo bana,kumbe we bahili?
 
Ha ha ha ha
Unna kifua rejao?
Cha kuhifadhi mambo?
Au una unakifua cha kubeba ndevu tu?

He he he, nasubiri, kama hamjakutana na mkonga wa tembo
mkonga wa tembo? Mmmmhhhh sitii neno hapo.
 
Afu mchungaji
Fua basi zile shuka za chumba za maombezi
Zimekuwa chafu hadi zinakuwa za baridi kweli
Afu weka na kitanda, godoro kukaa chini linapata unyevu kwenye simenti

Na mapazia weka mazito, hivyo vi lesi material wanakuona unavyokuwa unaombea

Ni hayo tu kwa sasa, mwishowe kondoo watakuhama bure
nilitaka kumwambia hivo hivo!
 
Nimeamka wima
Mimi na mwili wangu wote

Afu kumbe una mbio
Si ujiunge na riadha
Mwanamme weye kuombwa fanta orange moja ukatimia kama umeona chui?!!

Unajua unaninyanyapaa hivi unaelewa hilo lakini?
 
halafu wewe SL.............nakuweka kiporo ngoja nimalizie supu yangu ya miguu ya kuku.
Ndio mana jana ulishindwa eeh? Wenzio wanakunywa supu ya pweza wewe wanywa ya miguu ya kuku.!!!..lol
 
HA ha ha,
Huu mswaki wa mti u8nanichosha kweli
Natumia mda mrefu sana
Babu si ununue hii ya kisasa

poa,nitapitia shopaz,lakini ujue leo usilale kwangu maana mama Kayai anarudi leo toka Guanzhou.
 
Ndio mana jana ulishindwa eeh? Wenzio wanakunywa supu ya pweza wewe wanywa ya miguu ya kuku.!!!..lol
jamani jamani SL,yaani mambo ya faragha unayamwaga hapa? Ujue jana nilikunywa wine ndo ikaharibu,leo basi pliz pale pale Buibui.
 
Afu mchungaji
Fua basi zile shuka za chumba za maombezi
Zimekuwa chafu hadi zinakuwa za baridi kweli
Afu weka na kitanda, godoro kukaa chini linapata unyevu kwenye simenti

Na mapazia weka mazito, hivyo vi lesi material wanakuona unavyokuwa unaombea

Ni hayo tu kwa sasa, mwishowe kondoo watakuhama bure
Ulisahau nanii yako wakati nakuombea jana usiku, jioni usisahau kupita uichukue...sio vizuri kondoo wengine wakija wakaiona
 
Nawafuatilia kwa karibu sana hawa watoto wawili nataka mmoja wao awe anapika na kupakua kwangu.

Ile tabia yako ya uongo umeiacha?Yasije kukutokea ya ajabu,maana we kijana kwa fiksi ni noma!
 
Back
Top Bottom