Dah! maskini Tanzania nchi yetu, sijui tunatokaje hapa tulipo kwenda mbele kama taifa.
CCM dola ni yenu, mmeshika mpini kila sehemu kwa nini mnaogopa kufanya reforms?
Kweli kudai reforms ndiyo imekuwa hatari kiasi hiki kwenu, yaani reforms tu.
Mimi bado siamini kama mnaogopa, labda kama mumewekwa mateka na kikundi fulani cha watu kwa manufaa yao.
Wakenya hawajaharibu nchi yao, pamoja na changamoto zao zote bado wanatuzidi mbali sana kimaendeleo. Labda mipaka yao na hapo ni kwakuwa wanapakana na nchi zenye vita na magaidi muda wote.
Baada ya hli tamko la Rais leo ni dhahiri shahili Tundu Lissu hawezi kutoka gerezani mwaka huu. Labda itokee EU waje na mbinyo mkali kwelikweli, tafouti na hapo ,huyu mpigania mageuzi tunaweza kuwa naye urahiani mwakani hukoooo.