Mna kheri wenye mama mkwe mzee

Mna kheri wenye mama mkwe mzee

Mwanaume asipojielewa hayo mambo atakutana nayo Sana.

Hapo ndipo mfumo dume hufanya kazi Kwa ufanisi zaidi.

Mwanaume mwenye Mfumo dume Ndoa haiwezi mshinda, na hawezi pelekeshwa na panya yeyote yule
[emoji23][emoji23][emoji23] nshawahi kutembelewa na wakwe zangu wawili sasa mida ya saa 6 ndo usiku natoka kwenye masanga nikakuta walishalala but binti yao akawa ametibua kitu,akaanza manenomaneno,nilimzibua ile mbaya huku akilia kwa kuzidiwa kipigo but cha ajabu sikuona baba/mama mkwe wakithubutu ata kufungua mlango kumsaidia mwanao au ht kuuliza kulikon na wala asubuh sikuulizwa chochote.Aisee toka hapo sijawahi kumpiga wife nae pia hajawahi kuzingua nadhani kuna somo alipewa na kwa akili yangu nilitaka waje wajifanye kuleta kuleta mdomo nao niwaunganishe kwenye fatigue but naona walisoma alama za nyakati.
Ndoa yetu inaenda mwaka wa 16 sasa, endapo wakwe wana changamoto zote hupitia kwa wife na mara zote uwa ni zile ambazo zimewashinda kabisa ndo uwa nashirikishwa na wife ili kuongeza nguvu ikibidi.So nami nimo kwenye wababa wenye wakwe bora na wenye busara navijunia nao
 
Sasa ilikuwaje umpige mtoto wakati wazazi wamekuja?
Uliwadharau sana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🚴🚴
 
Inategemea mkuu.
2010 nilikuwa Denmark 2yrs kuna mamamkwe alimkataa katukatu binti flani kuolewa na kijana wake kisa wazazi wa binti baba ni green grocer na mama ni mwalimu.
Kilichotokea kijana alijiamulia afunge ndoa bila sherehe na mimi nikawa mpambe wake yaani tulikuwa wanne na padre wa 5 tu.

Yule mkwe alikuwa kisirani sana na hawakuelewanaga na mkwewe hadi tulipoachana kwani nilifikia kwao.
Lakini baba mkwe hakuwa na noma na mkwewe kabisa.
Umeona,mambo haya yapo mkuu
 
Kajala hafai hata kutajwa kwenye jamii huyo ni mfu kimaadili.

Mbegu hiyo haipaswi kuoteshwa hata pembeni ya shamba.

Ninampongeza sana Majani na nina mpa pole kubwa Harmonize.

Ole wake atetereke kipesa ....ni suala la muda tu.
😥
 
Unakuta mmaza anamtizama mkwewe usoni hivi akirembua vzr kumzidi binti yake na mkwe akadindisha inakuwaje au maza awe chombo kuzidi bintiye!!! Si ndo laana zenyewe hizo jamani,, sisi kwetu mkwe haruhusiwi kuonana na mama mkwe wake uso kwa uso labda kwa dharula maalum msiba, harusi ama ugonjwa, na mkamwana na babamkwe ni hivyo hivyo pia
Utandawaz umekuwa shida sana Kwa Kweli😠
 
Back
Top Bottom