Toka huko juu hakuna jibh langu mkuu, hakuna sehemu imeandikwa moja kwa moja kua hujuma zipo mpaka sasa au ni vile tu unadai uislam/waislam hawatajwi kwenye historia!!
Ndio maana nikauliza ni mpaka leo, ni ndio au hapana mkuu.
Hatoweza kukujibu. Huyo ni mamluki wa kishia yupo hapa kwa minajili ya waliomtuma kuvuruga amani, umoja na mshikamano pamoja na kubeza juhudi na jitihada za hayati baba wa taifa na baadhi ya wapigania uhuru wa kisuni. Ajenda yao imeshindwa kutimia. wafadhili wake kwa sasa hawatoi fedha ndio maana kapunguza propaganda zake za majitaka, hana jipya na umri umemtupa mkono alichokitaraji hajakipata mda sio mlefu atakua ni taanzia hivyo tuishi nae tu.
Ujamaa...
Hakika umesema kweli kuwa African Association imeanzishwa na watoto ambao baba zao waliingia Germany Ostafrika kutoka Mozambique, Belgian Congo na Sudan.
Hawa nawakusudia Kleist Sykes (Imhambane Mozambique), Mzee bin Sudi (Belgian Congo)na Ibrahim Hamisi (Darfur, Sudan).
Pamoja na hawa walikuwa wenyeji wa Tanganyika: Suleiman Majisu, Ali Said Mpima, Zibe Kidasi, Cecil Matola, Raikes Kusi na Rawson Watts.
Hii ilikuwa 1929.
Katika kundi hili Kleist Sykes ndiye kabla ya kifo chake 1949 aliandika historia ya harakati za African Association ambayo hivi sasa ipo katika kitabu alichohariri John Iliffe, " Modern Tanzanians, " (1973).
Watoto wa Kleist Abdul, Ally na Abbas wakawa viongozi wa African Association kuanzia 1950 na wakaunda TANU wakiwa na Julius Nyerere 1954.
Kadi ya TANU ya Abdul Sykes ni No. 3, Ally Sykes no. 2 na Julius Nyerere no. 1.
Hii ni historia ambayo mimi nimeandika kitabu kizima mwaka 1998.
Mimi ndiyo mtafiti wa kwanza kuandika historia hii na kwa hakika ilileta kishindo kikubwa kama unavyoona hapa wewe unavyotaabishwa na historia hii.
Mimi ndiyo wa kwanza kuieleza dunia kuwa historia ya uhuru wa Tanganyika iliyokuwa imeandikwa ina makosa mengi.
Ikiwa wewe unaona hii si historia ya TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika hutakuwa wa kwanza.
AA haijaanzishwa na watoto wa mamluki wa kijerumani bali wao walikuwa ni sehemu tu ya waasisi wa awali na sio wao tu wapi wengi kama kina Cecil matola kama president akina vedastus kyaruzi.
Historia zako zina ukakasi kama zilivyo historia za wanahistoria wenyewe, wewe sio mwandishi wa kwanza wa historia nchi hii mpaka ujipe ushindi kua historia yako ni ya kweli, historia ya sample za gerezani na tandamti eti ndio historia ya kweli. 70% ni story za abunuwazi abdul Sykes.
Eti unajiita mtu wa kwanza kuiambia Dunia. Wewe nae historia yako inasomwa na Dunia hii?. Siwezi taabishwa na historia feki za walowezi. Kamwe historia zako haziwezi kuwa historia za nchi hii bwana muhamed

Historia ya African Association ipo East Africana na imeandikwa na mtoto wa Abdul Sykes, Daisy Sykes Buruku: "The Life of Kleist Sykes," University of Dar-es-Salaam Ref. No. JAN/HIST/143/15 wakati akiwa mwanafunzi University of East Africa mwaka wa 1968.
Majina ya waasisi wa AA ni hayo niloyokuwekea Dr. Kyaruzi 1929 alikuwa bado mtoto mdogo.
Dr. Vedasto Kyaruzi aliingia katika uongozi wa TAA mwaka 1950 kama President na Abdul Sykes Secretary baada ya mapinduzi dhidi ya uongozi wa Thomas Plantan, President na Clement Mohamed Mtamila Secretary yaliyofanywa na Hamza Mwapachu na Abdul Sykes.
Hii ni historia ya kusisimua sana kwani aliyesimamia kuingizwa vijana hawa katika uongozi wa TAA ni Schneider Abdillah Plantan mdogo wake Thomas Plantan.
Hawa akina Plantan ni watoto wa Affande Plantan aliyekuja Germany Ostafrika na Hermann von Wissmann mwishoni 1800 akitokea Kwa Likunyi, Imhambane, Mozambique.
Historia hii yote ipo katika kitabu cha Abdul Sykes na halikadhalika katika Nyaraka za Sykes.
Sikulazimishi kuamini historia hii.
Hata ikimtia Dr. Kyaruzi kama muasisi wa AA 1929 pamoja na Mzee bin Sudi kwangu ni sawa.
Kitabu kilipotiowa ndani ya Cambridge Journal of African History hapo tayari kishawekwa wazi kusomwa Vyuo Vikuu vyote ulimwenguni vinavyosomesha Historia ya Afrika.
Halikadhalika mtu akiwa katika Dictionary of African Biography (DAB).
"Tanganyika Political Intelligence Summary, March 1952":
"...it is reported that the Secretary of the Association, Abdul Wahid Sykes has dispatched letters to all branches asking members for suggestions under the following heads for a memorandum to be prepared for the Royal Commission..."
...Abdul Wahid Kleist Sykes, Secretary of the African Association who, as reported in last month's summary (paragraph 20) was going on safari up country, visited Mwanza, where he met Paul Bomani, President of the Bukoba African Association, and accompanied him to Bukoba. Sykes then visited Kampala alone..."
Utaweza vipi kuandika historia ya TANU na harakati za kudai uhuru wa Tanganyika ukaacha taarifa kama hizi na wala usiwataje wahusika wa harakati hizi?
Hizi ni taarifa kutoka Rhodes House Library, Oxford kutoka majalada ya kikachero ya Waingereza baada ya miaka 50 yanawekwa wazi kwa mtafiti yeyote kuyasoma na kufanya nakala akipenda.
Much...
Utani ni maskhara.
Ikiwa mimi nimeandika habari sijaweka ''citation'' huo si utani.
NImerejea kujibu hili kwa kutaka kuonyesha kuwa mimi si mtu wa utani katika somo hili nimeandika vitabu kadhaa viomechapwa na vinasomwa kwingi na wachapaji wa maana ulimwenguni.
Unataka kujua hicho ambacho sijaweka nukuu, rejea, maelezo na mfano wa hayo.
Niambie nikupatia hapa usome.
Toka huko juu hakuna jibh langu mkuu, hakuna sehemu imeandikwa moja kwa moja kua hujuma zipo mpaka sasa au ni vile tu unadai uislam/waislam hawatajwi kwenye historia!!
Ndio maana nikauliza ni mpaka leo, ni ndio au hapana mkuu.
Januari 11, 2019, serikali ilifanya uhamisho mkubwa wa kushitukiza kwa wahadhiri na watumishi wandamizi katika Chuo Kikuu cha Serikali cha Dodoma-UDOM. Waliohamishwa walikuwa 11, lakini wote walikuwa Waislamu: Dk. Maryam Khamis (Director of Graduate Studies), Dk. Ibun Kombo (Political Science), Dk. Mwinyikombo Amir (Mwalimu wa Udaktari wa Binadamu), Dk. Yusuf Kambuga (College of Education), Dk. Masoud Masoud (Informatics) , Bw. Subira Sawasawa (Mkurugenzi Mkuu Rasilimali Watu), Bw. Mohamed Mwandege (Bursar/Mhasibu Mkuu), Bi. Aziza Gendo (Seniour Estate Oficer), Bw. Simba Omary (Senior Supplies Oficer), Bw. Wema Mbegu (Legal Oficer), Bw. Khamis Mkanachi (Mwalimu wa Idara ya Historia).
Barua zao za uhamisho hazikuonesha makosa katika utendaji wao wa kazi au uongozi. Pamoja na kutokuwa wakosaji, uhamisho wao uliambatana na udhalilishaji mkubwa, kunyimwa haki stahiki za uhamisho, kuhamishiwa katika nafasi za chini kinyume na hadhi zao.
Baada ya uhamisho huo, Serikali ilifanya uteuzi mwingine katika chuo hicho hicho cha Serikali. Katika uteuzi huo walioteuliwa walikuwa 11, wote Wakristo: Prof. Leonard James Mselle, Prof. Adam B. Swebe Mwakalobo, Prof. Julius William Nyahongo, Prof. Justin Ntalikwa, Prof. Frowing Paul Nyoni, Prof. Odass Bilame, Prof. Ainory Piter Gasese, Dkt. Victor George Mareale, Dkt. Alex Shayo, Dkt. Calvin Swai, Dkt. Augustine Mwakipesile.
Kuhamisha wahadhiri 11, katika Chuo Kikuu si jambo dogo. Vilevile kuhamisha Wahadhiri 11, wa dini moja (Waislamu) katika Chuo Kikuu ukaingiza wahadhiri 11 wa dini moja (Wakristo), na hao Waislamu 11, baadhi yao ukawatoa kabisa katika mfumo wa elimu kwa kuwapeleka sekta nyingine na zisizo lingana na hadhi zao si jambo dogo. Wala si hatua ya kitaalamu ya kuboresha mfumo wa Elimu wa Taifa. Na wala si hatua ya kijinga bali ya werevu uliofurutu ada dhidi ya maslahi ya Taifa. Hatuwa hiyo ni salamu nzito kwa jamii yao na Taifa kwa ujumla. (Ndio maana katika maoni yetu ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tulipendekeza Katiba Mpya imtambuwa Mwenyezi Mungu na Dini liwe suala rasmi na la wazi katika uendeshaji wa nchi).
Uadilifu II
Serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani Mwaka (2015), Rais alifanya uteuzi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi mbalimbali. Uteuzi wake ulikuwa kama ifuatavyo:
Mawaziri na Manaibu: 30.
Waislamu 10, sawa na asilimia 33%.
Wakristo 20, sawa na asilimia 67%.
Makatibu Wakuu na Manaibu: 50.
Waislamu 10, sawa na asilimia 20%.
Wakristo 40, sawa na asilimia 80%.
Wakuu wa Mikoa na Wilaya: 166.
Waislamu 41, sawa na asilimia 25%.
Wakristo 125, sawa na asilimia 75%.
Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya: 163.
Waislamu 24, sawa na asilimia 15%.
Wakristo 139, sawa na asilimia 85%.
Wakurugenzi mbalimbali: 249.
Waislamu 45, sawa na asilimia 18%.
Wakristo 204, sawa na asilimia 82%.
Manaibu Kamishna wa Polisi: 25.
Waislamu 5, sawa na asilimia 20%.
Wakristo 20, sawa na asilimia 80%.
Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Polisi: 33
Waislamu 7, sawa na asilimia 21%.
Wakristo 26, sawa na asilimia 79%.
Jumla Kuu ya Uteuzi:
Waislamu asilimia 20%.
Wakristo asilimia 80%.
Uteuzi huo umekuwa kama Sera kwa teuzi zinazoendelea ndani ya miaka yote mitano. Vilevile kama Mwongozo kwa wateule wenye mamlaka ya kuteuwa. Mwelekeo huo unakinzana na Katiba ya nchi ibara ya 13(4)(5), inayokataza ubaguzi wa aina zote. Kwa hakika Taifa halihitaji kiongozi wa nchi akiwa Muislamu basi ateuwe idadi kubwa ya Waislamu wenzake katika nafasi mbalimbali za uongozi wa nchi au akiwa Mkristo atumie uongozi wake kuteua idadi kubwa ya Wakristo wenzake katika uongozi nchini. Au akiwa Mzanaki ateuwe idadi kubwa ya Wazanaki wenzake katika nafasi mbalimbali za uongozi na mfano wa hayo.
Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania, Rais ana mamlaka makubwa kuliko chombo chochote. Baraza la Mawaziri jukumu lake ni kumshauri tu na Katiba inampa uhuru wa kufuata au kutofuata ushauri wa chombo hicho au mtu yoyote. Mamlaka ya Rais pia yako juu kuliko ya Bunge. Rais anateuwa sehemu ya wabunge na ana mamlaka ya kulivunja Bunge. Rais pia anateuwa Majaji wa Mahakama na watendaji wengine wa kitaifa. Kwa kifupi Rais wa Tanzania ndiye muhandisi mkuu na mwenye kutengeneza shakhsia (Personality) ya Taifa.
Katika jukumu hilo la kutengeneza shakhsia ya Taifa, miongoni mwa watumishi wa umma 1269, wanaoteuliwa na mamlaka ya Rais ambao ni pamoja na: Waziri Mkuu, Jaji Mkuu, Mawaziri na Manaibu, Majaji, Mkuu wa Majeshi, Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Mabalozi wa Nchi za Nje, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wa Wizara, Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala Wilaya (DAS), Makatibu Tawala Mikoa (RAS), Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Majiji, Manispaa, na Wilaya, Wakuu wa Bodi na Tume mbalimbali, Makamishna, Wakuu wa Mashirika ya Umma, Wakuu wa Vyuo Vikuu na kadhalika, asilimia 80 ya uteuzi huo unafanyika kwa Watanzania wa imani moja.
Na hao wateuliwa na wao wana mamlaka ya uteuzi katika maeneo yao au kusimamia masuala ya uteuzi, ajira, na kufanya maamuzi mbalimbali ya utendaji na uendeshaji kwa niaba ya Taifa. Wakitaka na wao wanaweza kufanya uteuzi ule wa asilimia 80 ya watu wa imani moja (au kabila moja).
Lingine la kuzingatiwa, uteuzi huo unawapa wateule hao Mamlaka, uwezo wa kufanya Maamuzi na Utawala. Lingine kubwa ni kwamba uteuzi huo unatoa fursa za mapato, maana yake ni kuwa, zaidi ya asilimia 80 ya pato la Taifa linalohudumia malipo na stahiki za watumishi wa umma linakwenda kwa kundi moja la kijamii na kuliacha kundi jingine.
Tunachotaka ni sera za Uwiano sahihi. Katiba za Kanya na ya Nigeria ni mfano mzuri wa dhana hii ya Uwiano sahihi. Ukurasa wa 75, Sura ya 9, sehemu ya kwanza, ibara ya 130 (1)(2), na uk 151 Sura 15, ibara ya 250 (4), ya Katiba ya Kenya inaelekeza, nafasi za Uteuzi za wafanya Maamuzi (Executives) na nafasi nyengine nyeti kama vile Mawaziri na Manaibu Waziri, Makatibu na Manaibu Katibu, Makamishna na Wakurugenzi, kuwepo Uwiano ulio Sawa na Ujumuishi (yaani pamoja na kuangalia weledi, uzoefu na uadilifu, lakin pia kuwepo na uwiano wa watu kwa kuzingatia walemavu, rangi, jinsia, Dini, makabila na mfano wa hayo) .
Katiba hiyo pia uk 143, sura ya 14, sehemu I, ibara ya 238 2(d), na uk 146, sura ya 14, sehemu ya II, ibara ya 241 (4), uk 149, sehemu ya IV, ibara ya 246 (4) inaelekeza mihimili ya Serikali ikiwa ni pamoja na Majaji, Majeshi yote ya Ulinzi na Usalama kama: Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi, teuzi na ajira pamoja na kuangalia weledi, uzoefu na uadilifu kuwepo uwiano kama tulivyoona katika vifungu vya hapo nyuma.
Halikadhalika Katiba ya Nigeria, uk 8 Sura 2, ibara ya 4, maudhui yake yanaelekeza, Serikali Kuu, Serikali za Majimbo, Halmashauri za Miji, Mawakala (wanaofanya kazi kwa niaba ya Serikali, Vyama vya siasa) ni sharti ajira zao kuzingatia suala la uwiano wa mahala husika na Ujumuishi wa makabila na Dini.
Jambo muhimu ni mabadiliko ya fikra kwa viongozi wetu. Kama Isiwe Rais akiwa Muislamu ateuwe Waislamu wengi kwenye serikali yake, au akiwa Mkristo ateuwe Wakristo wengi kwenye serikali yake. Hakuna sababu yoyote ya msingi ya uteuzi huo.
Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA WARAKA [MWONGOZO] UCHAGUZI MKUU WA TAIFA OKTOBA 2020 TANZANIA Umetolewa leo Tarehe 09. 07. 2020. UTANGULIZI Ugonjwa wa Korona – COVID-19 Sote Tunafahamu kuwa nchini mwetu na Dunia kwa ujumla kumekuwepo na taharuki kubwa ya Ugonjwa wa...
Hatoweza kukujibu. Huyo ni mamluki wa kishia yupo hapa kwa minajili ya waliomtuma kuvuruga amani, umoja na mshikamano pamoja na kubeza juhudi na jitihada za hayati baba wa taifa na baadhi ya wapigania uhuru wa kisuni. Ajenda yao imeshindwa kutimia. wafadhili wake kwa sasa hawatoi fedha ndio maana kapunguza propaganda zake za majitaka, hana jipya na umri umemtupa mkono alichokitaraji hajakipata mda sio mlefu atakua ni taanzia hivyo tuishi nae tu.
Huyo ni mamluki wa kishia yupo hapa kwa minajili ya waliomtuma kuvuruga amani, umoja na mshikamano pamoja na kubeza juhudi na jitihada za hayati baba wa taifa na baadhi ya wapigania uhuru wa kisuni.
Ajenda yao imeshindwa kutimia.
wafadhili wake kwa sasa hawatoi fedha ndio maana kapunguza propaganda zake za majitaka, hana jipya na umri umemtupa mkono alichokitaraji hajakipata mda sio mlefu atakua ni taanzia hivyo tuishi nae tu.''
Ujamaamf
MAZUNGUMZO YA BURIANI: ABDUL SYKES, AISHA ''DAISY SYKES'' NA JULIUS NYERERE MSASANI OCTOBER 1968 KUHUSU HISTORIA YA TANU
Hapo chini Aisha ''Daisy'' Sykes anaeleza mazungumzo ya buriani, mazungumzo ya kuagana kati ya baba yake Abdulwahid Kleist Sykes na Julius Kambarage Nyerere nyumbani kwa Mwalimu Msasani.
Ilikuwa mwezi October 1968 wakati huo Daisy mwanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Afrika ya Mashariki, Dar es Salaam.
Msikilize:
''Juma moja kabla ya kifo chake nilimuuliza baba swali ambalo jibu alilijua lakini katika hulka yake ya kawaida ya kutopenda kujikweza hakutaka achukue sifa zote kwa ule ukweli na matokeo yake.
Wakati ule nilikuwa mwanafunzi Chuo Kikuu Cha Afrika ya Mashariki Dar - es- Salaam na mwalimu wangu wa Historia Dr. John Iliffe kwa kutambua kuwa natoka familia ya Sykes waasisi wa mwamko wa siasa katika Tanganyika na mchango wa wazee wangu katika kuunda TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika alinitaka niandike mafanikio ya Watanganyika wa kizazi kile pamoja na historia ya babu yangu Kleist Abdallah Sykes.
Dk. John Iliffe alinitia moyo nifanye utafiti na kuandika historia hii na nilikubali kufanya hivyo.
Nilikuwa na swali kuhusu nani khasa walikuwapo katika mkutano na kushiriki wa kuibadili TAA kuwa TANU.
Baba akashauri kuwa tuombe miadi na Rais wa Tanzania Mwalimu Nyerere ili anipe ukweli niliokuwa nautafuta na kusadikisha mambo mengine yanayohusiana na historia hiyo.
Hivyo tukaenda Msasani kuonana na Mwalimu Jumamosi moja asubuhi.
Kama ilivyotegemewa Mwalimu alifurahi sana kutuona maana ilikuwa muda mrefu watu hawa waliokuwa marafiki wakubwa sana kupata kuonana.
Mwalimu alitoa ushirikiano mkubwa sana kwangu kupata ukweli kutoka kwake katika yale niliyotaka kujua kutoka kwake.
Hii ndiyo ilikuwa siku yao ya mwisho kuonana.
Allah amghufirie madhambi baba yangu na amuingize peponi.''
PICHA:
Aliyesimama ni Abdul Sykes na aliyekaa ni Julius Nyerere.
Picha hii imepigwa Ukumbi wa Arnautoglo katika hafla ya kuuaga Nyerere safari ya pili UNO 1956.
Aisha ''Daisy'' Sykes kama alivyo hivi sasa.
TANBIHI:
Ilikuwa Jumamosi Abdul Sykes na bint yake Daisy walipokwenda kuonana na Mwalimu Nyerere.
Jumamosi iliyofuatia Abdul Sykes akafariki dunia.
Mara ya kwanza Abdul Sykes kuonana na Nyerere ilikuwa mwaka wa 1952 Nyerere alikwenda nyumbani kwa Abdul Sykes Mtaa wa Stanley na Sikukuu akiongozana na Joseph Kasella Bantu.
Siku ya mwisho watu hawa kuonana ilikuwa mwaka wa 1968 Abdul Sykes amekwenda kuonana na Julius Nyerere Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nyumbani kwake Msasani akiongozana na bint yake Aisha "Daisy" Sykes ambae Mwalimu akimjua toka utoto wake.
Historia kubwa sana ya TANU na harakati za kudai uhuru wa Tanganyika na historia ya Julius Nyerere imehifadhiwa katika vifua vya watu ambao huwezi hata kuwadhania.
Kulia Aisha ''Daisy'' Sykes na Mwandishi 2017
Abbas Sykes na Mwandishi 2012
Ally Sykes na Mwandishi, Muthaiga Club Nairobi 1989
Kulia wa kwanza waliosimama Mwandishi wa tatu Kleist Sykes 1968
Picha hii tumepiga miezi michache baada ya kifo cha Abdul Sykes
(Kulia: Mohamed Said, Yusuf Zialor, Kleist Sykes, Bubby Bukhari, Abdallah Tambaza na Waliochutuma kulia ni Abdul Mtemvu, Wendo Mwapachu na Kaisi)
NB
Nimeiweka hii katika Global History tusomwe na watu wengi.
AMESEMA MSEMAJI
''Hatoweza kukujibu.
Huyo ni mamluki wa kishia yupo hapa kwa minajili ya waliomtuma kuvuruga amani, umoja na mshikamano pamoja na kubeza juhudi na jitihada za hayati baba wa taifa na baadhi ya wapigania uhuru wa kisuni...
JIBU LANGU
MAZUNGUMZO YA BURIANI: ABDUL SYKES, AISHA ''DAISY SYKES'' NA JULIUS NYERERE OCTOBER 1968 KUHUSU HISTORIA YA TANU
Hapo chini Aisha ''Daisy'' Sykes anaeleza mazungumzo ya buriani, mazungumzo ya kuagana kati ya baba yake Abdulwahid Kleist Sykes na Julius Kambarage Nyerere nyumbani kwa Mwalimu Msasani....
Ufahamike mala ngapi Mohamed?. Publications, article na research zako kwene mada zako ni useless!. Nyingi Sana zinawahusu nyinyi mimi sio baraza la maulid au ulamaa nianze kuzisoma kwanza sioni umuhimu wake. Naona mpaka sheikh ilunga nae yupo ahhh hii ni hatari, maelezo mengi yaliyojaa uislam tu?. Hoja hapa ni mada zako chonganishi, fitna dhidi ya jamii kubwa ya wakristo na ukristo wao. Jifunze kuelimika kulingana na mazingira na muda maana nafsi yako bado inaishi enzi za uguvugu la vita baridi afu kubali kujifunza kwa wengine.
Mzee ameshakaza fuvu,old dog can not learn new tricks,mwache na illusion zake za kidini,mimi ni lisha mpuuza kitambo na jamii imesha mpuuza mana hana akili ya kutambua hii nchi ni yetu sote bila kujali imani wa kabila,tunaunganishwa na kitu kimoja tu nacho ni utanzania.
Januari 11, 2019, serikali ilifanya uhamisho mkubwa wa kushitukiza kwa wahadhiri na watumishi wandamizi katika Chuo Kikuu cha Serikali cha Dodoma-UDOM. Waliohamishwa walikuwa 11, lakini wote walikuwa Waislamu: Dk. Maryam Khamis (Director of Graduate Studies), Dk. Ibun Kombo (Political Science), Dk. Mwinyikombo Amir (Mwalimu wa Udaktari wa Binadamu), Dk. Yusuf Kambuga (College of Education), Dk. Masoud Masoud (Informatics) , Bw. Subira Sawasawa (Mkurugenzi Mkuu Rasilimali Watu), Bw. Mohamed Mwandege (Bursar/Mhasibu Mkuu), Bi. Aziza Gendo (Seniour Estate Oficer), Bw. Simba Omary (Senior Supplies Oficer), Bw. Wema Mbegu (Legal Oficer), Bw. Khamis Mkanachi (Mwalimu wa Idara ya Historia).
Barua zao za uhamisho hazikuonesha makosa katika utendaji wao wa kazi au uongozi. Pamoja na kutokuwa wakosaji, uhamisho wao uliambatana na udhalilishaji mkubwa, kunyimwa haki stahiki za uhamisho, kuhamishiwa katika nafasi za chini kinyume na hadhi zao.
Baada ya uhamisho huo, Serikali ilifanya uteuzi mwingine katika chuo hicho hicho cha Serikali. Katika uteuzi huo walioteuliwa walikuwa 11, wote Wakristo: Prof. Leonard James Mselle, Prof. Adam B. Swebe Mwakalobo, Prof. Julius William Nyahongo, Prof. Justin Ntalikwa, Prof. Frowing Paul Nyoni, Prof. Odass Bilame, Prof. Ainory Piter Gasese, Dkt. Victor George Mareale, Dkt. Alex Shayo, Dkt. Calvin Swai, Dkt. Augustine Mwakipesile.
Kuhamisha wahadhiri 11, katika Chuo Kikuu si jambo dogo. Vilevile kuhamisha Wahadhiri 11, wa dini moja (Waislamu) katika Chuo Kikuu ukaingiza wahadhiri 11 wa dini moja (Wakristo), na hao Waislamu 11, baadhi yao ukawatoa kabisa katika mfumo wa elimu kwa kuwapeleka sekta nyingine na zisizo lingana na hadhi zao si jambo dogo. Wala si hatua ya kitaalamu ya kuboresha mfumo wa Elimu wa Taifa. Na wala si hatua ya kijinga bali ya werevu uliofurutu ada dhidi ya maslahi ya Taifa. Hatuwa hiyo ni salamu nzito kwa jamii yao na Taifa kwa ujumla. (Ndio maana katika maoni yetu ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tulipendekeza Katiba Mpya imtambuwa Mwenyezi Mungu na Dini liwe suala rasmi na la wazi katika uendeshaji wa nchi).
Uadilifu II
Serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani Mwaka (2015), Rais alifanya uteuzi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi mbalimbali. Uteuzi wake ulikuwa kama ifuatavyo:
Mawaziri na Manaibu: 30.
Waislamu 10, sawa na asilimia 33%.
Wakristo 20, sawa na asilimia 67%.
Makatibu Wakuu na Manaibu: 50.
Waislamu 10, sawa na asilimia 20%.
Wakristo 40, sawa na asilimia 80%.
Wakuu wa Mikoa na Wilaya: 166.
Waislamu 41, sawa na asilimia 25%.
Wakristo 125, sawa na asilimia 75%.
Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya: 163.
Waislamu 24, sawa na asilimia 15%.
Wakristo 139, sawa na asilimia 85%.
Wakurugenzi mbalimbali: 249.
Waislamu 45, sawa na asilimia 18%.
Wakristo 204, sawa na asilimia 82%.
Manaibu Kamishna wa Polisi: 25.
Waislamu 5, sawa na asilimia 20%.
Wakristo 20, sawa na asilimia 80%.
Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Polisi: 33
Waislamu 7, sawa na asilimia 21%.
Wakristo 26, sawa na asilimia 79%.
Jumla Kuu ya Uteuzi:
Waislamu asilimia 20%.
Wakristo asilimia 80%.
Uteuzi huo umekuwa kama Sera kwa teuzi zinazoendelea ndani ya miaka yote mitano. Vilevile kama Mwongozo kwa wateule wenye mamlaka ya kuteuwa. Mwelekeo huo unakinzana na Katiba ya nchi ibara ya 13(4)(5), inayokataza ubaguzi wa aina zote. Kwa hakika Taifa halihitaji kiongozi wa nchi akiwa Muislamu basi ateuwe idadi kubwa ya Waislamu wenzake katika nafasi mbalimbali za uongozi wa nchi au akiwa Mkristo atumie uongozi wake kuteua idadi kubwa ya Wakristo wenzake katika uongozi nchini. Au akiwa Mzanaki ateuwe idadi kubwa ya Wazanaki wenzake katika nafasi mbalimbali za uongozi na mfano wa hayo.
Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania, Rais ana mamlaka makubwa kuliko chombo chochote. Baraza la Mawaziri jukumu lake ni kumshauri tu na Katiba inampa uhuru wa kufuata au kutofuata ushauri wa chombo hicho au mtu yoyote. Mamlaka ya Rais pia yako juu kuliko ya Bunge. Rais anateuwa sehemu ya wabunge na ana mamlaka ya kulivunja Bunge. Rais pia anateuwa Majaji wa Mahakama na watendaji wengine wa kitaifa. Kwa kifupi Rais wa Tanzania ndiye muhandisi mkuu na mwenye kutengeneza shakhsia (Personality) ya Taifa.
Katika jukumu hilo la kutengeneza shakhsia ya Taifa, miongoni mwa watumishi wa umma 1269, wanaoteuliwa na mamlaka ya Rais ambao ni pamoja na: Waziri Mkuu, Jaji Mkuu, Mawaziri na Manaibu, Majaji, Mkuu wa Majeshi, Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Mabalozi wa Nchi za Nje, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wa Wizara, Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala Wilaya (DAS), Makatibu Tawala Mikoa (RAS), Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Majiji, Manispaa, na Wilaya, Wakuu wa Bodi na Tume mbalimbali, Makamishna, Wakuu wa Mashirika ya Umma, Wakuu wa Vyuo Vikuu na kadhalika, asilimia 80 ya uteuzi huo unafanyika kwa Watanzania wa imani moja.
Na hao wateuliwa na wao wana mamlaka ya uteuzi katika maeneo yao au kusimamia masuala ya uteuzi, ajira, na kufanya maamuzi mbalimbali ya utendaji na uendeshaji kwa niaba ya Taifa. Wakitaka na wao wanaweza kufanya uteuzi ule wa asilimia 80 ya watu wa imani moja (au kabila moja).
Lingine la kuzingatiwa, uteuzi huo unawapa wateule hao Mamlaka, uwezo wa kufanya Maamuzi na Utawala. Lingine kubwa ni kwamba uteuzi huo unatoa fursa za mapato, maana yake ni kuwa, zaidi ya asilimia 80 ya pato la Taifa linalohudumia malipo na stahiki za watumishi wa umma linakwenda kwa kundi moja la kijamii na kuliacha kundi jingine.
Tunachotaka ni sera za Uwiano sahihi. Katiba za Kanya na ya Nigeria ni mfano mzuri wa dhana hii ya Uwiano sahihi. Ukurasa wa 75, Sura ya 9, sehemu ya kwanza, ibara ya 130 (1)(2), na uk 151 Sura 15, ibara ya 250 (4), ya Katiba ya Kenya inaelekeza, nafasi za Uteuzi za wafanya Maamuzi (Executives) na nafasi nyengine nyeti kama vile Mawaziri na Manaibu Waziri, Makatibu na Manaibu Katibu, Makamishna na Wakurugenzi, kuwepo Uwiano ulio Sawa na Ujumuishi (yaani pamoja na kuangalia weledi, uzoefu na uadilifu, lakin pia kuwepo na uwiano wa watu kwa kuzingatia walemavu, rangi, jinsia, Dini, makabila na mfano wa hayo) .
Katiba hiyo pia uk 143, sura ya 14, sehemu I, ibara ya 238 2(d), na uk 146, sura ya 14, sehemu ya II, ibara ya 241 (4), uk 149, sehemu ya IV, ibara ya 246 (4) inaelekeza mihimili ya Serikali ikiwa ni pamoja na Majaji, Majeshi yote ya Ulinzi na Usalama kama: Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi, teuzi na ajira pamoja na kuangalia weledi, uzoefu na uadilifu kuwepo uwiano kama tulivyoona katika vifungu vya hapo nyuma.
Halikadhalika Katiba ya Nigeria, uk 8 Sura 2, ibara ya 4, maudhui yake yanaelekeza, Serikali Kuu, Serikali za Majimbo, Halmashauri za Miji, Mawakala (wanaofanya kazi kwa niaba ya Serikali, Vyama vya siasa) ni sharti ajira zao kuzingatia suala la uwiano wa mahala husika na Ujumuishi wa makabila na Dini.
Jambo muhimu ni mabadiliko ya fikra kwa viongozi wetu. Kama Isiwe Rais akiwa Muislamu ateuwe Waislamu wengi kwenye serikali yake, au akiwa Mkristo ateuwe Wakristo wengi kwenye serikali yake. Hakuna sababu yoyote ya msingi ya uteuzi huo.
Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA WARAKA [MWONGOZO] UCHAGUZI MKUU WA TAIFA OKTOBA 2020 TANZANIA Umetolewa leo Tarehe 09. 07. 2020. UTANGULIZI Ugonjwa wa Korona – COVID-19 Sote Tunafahamu kuwa nchini mwetu na Dunia kwa ujumla kumekuwepo na taharuki kubwa ya Ugonjwa wa...
Mzee Mohamed nisaidie kuelewa jambo moja. Hizi movements hitaji lako ni nini kifanyike kwenye Nchi hii pengine tuanze uchambuzi kuanzia hapo ili tujue kipi ni sahihi na kipi sio sahihi

Jiwe...
Sijapata kupuuzwa hata siku moja.
Wewe hujaweza kunipuuza.
Unakuja hapa unanitukana.
Mimi sijakurejeshe tusi hata siku moja.
Kila ninapokwenda katika dunia hii nakaribishwa kwa mikono miwili.
VoA
Washington DC
Unawezaje kuwaunganisha watu katika hali hii hapo chini?:
Uadilifu II
Serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani Mwaka (2015), Rais alifanya uteuzi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi mbalimbali. Uteuzi wake ulikuwa kama ifuatavyo:
Mawaziri na Manaibu: 30.
Waislamu 10, sawa na asilimia 33%.
Wakristo 20, sawa na asilimia 67%.
Makatibu Wakuu na Manaibu: 50.
Waislamu 10, sawa na asilimia 20%.
Wakristo 40, sawa na asilimia 80%.
Wakuu wa Mikoa na Wilaya: 166.
Waislamu 41, sawa na asilimia 25%.
Wakristo 125, sawa na asilimia 75%.
Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya: 163.
Waislamu 24, sawa na asilimia 15%.
Wakristo 139, sawa na asilimia 85%.
Wakurugenzi mbalimbali: 249.
Waislamu 45, sawa na asilimia 18%.
Wakristo 204, sawa na asilimia 82%.
Manaibu Kamishna wa Polisi: 25.
Waislamu 5, sawa na asilimia 20%.
Wakristo 20, sawa na asilimia 80%.
Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Polisi: 33
Waislamu 7, sawa na asilimia 21%.
Wakristo 26, sawa na asilimia 79%.
Jumla Kuu ya Uteuzi:
Mzee Mohamed nisaidie kuelewa jambo moja. Hizi movements hitaji lako ni nini kifanyike kwenye Nchi hii pengine tuanze uchambuzi kuanzia hapo ili tujue kipi ni sahihi na kipi sio sahihi
Sasa hapo ndugu ndio unaniacha njiapanda. Maandiko yako unayaweka hapa tunayapitia watu wote haijalishi Serikali au raia wa kawaida.
Upande wangu mimi sioni kama Nchi hii kuna shida ya kidini isipokuwa kwa watu wachache kama ninyi mnaoona shida. Nimeuliza hivyo ili sisi ambao hatuoni shida mnayoina ninyi nasi tupate kuelimika.
Unasema habari za Mkapa kuomba ushahidi hilo swala ni wangapi wanalijua kuwa Hayati Mkapa aliomba ushahidi kisha akazuia usiendelee kutolewa ?
Kama kweli umenuia kuleta usawa ambao wewe unahisi haupo ni vema ukaelezea kwa kina maeneo yenye shida mfano
1. Elimu
2. Afya
3. Uchumi
4. Ajira
5. Huduma za jamii n.k nje ya hapo nadhani itakuwa ni mwendelezo wa kulalamika pasipo kusema nini kifanyike
Januari 11, 2019, serikali ilifanya uhamisho mkubwa wa kushitukiza kwa wahadhiri na watumishi wandamizi katika Chuo Kikuu cha Serikali cha Dodoma-UDOM. Waliohamishwa walikuwa 11, lakini wote walikuwa Waislamu: Dk. Maryam Khamis (Director of Graduate Studies), Dk. Ibun Kombo (Political Science), Dk. Mwinyikombo Amir (Mwalimu wa Udaktari wa Binadamu), Dk. Yusuf Kambuga (College of Education), Dk. Masoud Masoud (Informatics) , Bw. Subira Sawasawa (Mkurugenzi Mkuu Rasilimali Watu), Bw. Mohamed Mwandege (Bursar/Mhasibu Mkuu), Bi. Aziza Gendo (Seniour Estate Oficer), Bw. Simba Omary (Senior Supplies Oficer), Bw. Wema Mbegu (Legal Oficer), Bw. Khamis Mkanachi (Mwalimu wa Idara ya Historia).
Barua zao za uhamisho hazikuonesha makosa katika utendaji wao wa kazi au uongozi. Pamoja na kutokuwa wakosaji, uhamisho wao uliambatana na udhalilishaji mkubwa, kunyimwa haki stahiki za uhamisho, kuhamishiwa katika nafasi za chini kinyume na hadhi zao.
Baada ya uhamisho huo, Serikali ilifanya uteuzi mwingine katika chuo hicho hicho cha Serikali. Katika uteuzi huo walioteuliwa walikuwa 11, wote Wakristo: Prof. Leonard James Mselle, Prof. Adam B. Swebe Mwakalobo, Prof. Julius William Nyahongo, Prof. Justin Ntalikwa, Prof. Frowing Paul Nyoni, Prof. Odass Bilame, Prof. Ainory Piter Gasese, Dkt. Victor George Mareale, Dkt. Alex Shayo, Dkt. Calvin Swai, Dkt. Augustine Mwakipesile.
Kuhamisha wahadhiri 11, katika Chuo Kikuu si jambo dogo. Vilevile kuhamisha Wahadhiri 11, wa dini moja (Waislamu) katika Chuo Kikuu ukaingiza wahadhiri 11 wa dini moja (Wakristo), na hao Waislamu 11, baadhi yao ukawatoa kabisa katika mfumo wa elimu kwa kuwapeleka sekta nyingine na zisizo lingana na hadhi zao si jambo dogo. Wala si hatua ya kitaalamu ya kuboresha mfumo wa Elimu wa Taifa. Na wala si hatua ya kijinga bali ya werevu uliofurutu ada dhidi ya maslahi ya Taifa. Hatuwa hiyo ni salamu nzito kwa jamii yao na Taifa kwa ujumla. (Ndio maana katika maoni yetu ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tulipendekeza Katiba Mpya imtambuwa Mwenyezi Mungu na Dini liwe suala rasmi na la wazi katika uendeshaji wa nchi).
Uadilifu II
Serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani Mwaka (2015), Rais alifanya uteuzi wa Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Makatibu Tawala wa Mikoa, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi mbalimbali. Uteuzi wake ulikuwa kama ifuatavyo:
Mawaziri na Manaibu: 30.
Waislamu 10, sawa na asilimia 33%.
Wakristo 20, sawa na asilimia 67%.
Makatibu Wakuu na Manaibu: 50.
Waislamu 10, sawa na asilimia 20%.
Wakristo 40, sawa na asilimia 80%.
Wakuu wa Mikoa na Wilaya: 166.
Waislamu 41, sawa na asilimia 25%.
Wakristo 125, sawa na asilimia 75%.
Makatibu Tawala wa Mikoa na Wilaya: 163.
Waislamu 24, sawa na asilimia 15%.
Wakristo 139, sawa na asilimia 85%.
Wakurugenzi mbalimbali: 249.
Waislamu 45, sawa na asilimia 18%.
Wakristo 204, sawa na asilimia 82%.
Manaibu Kamishna wa Polisi: 25.
Waislamu 5, sawa na asilimia 20%.
Wakristo 20, sawa na asilimia 80%.
Makamishna Wasaidizi Waandamizi wa Polisi: 33
Waislamu 7, sawa na asilimia 21%.
Wakristo 26, sawa na asilimia 79%.
Jumla Kuu ya Uteuzi:
Waislamu asilimia 20%.
Wakristo asilimia 80%.
Uteuzi huo umekuwa kama Sera kwa teuzi zinazoendelea ndani ya miaka yote mitano. Vilevile kama Mwongozo kwa wateule wenye mamlaka ya kuteuwa. Mwelekeo huo unakinzana na Katiba ya nchi ibara ya 13(4)(5), inayokataza ubaguzi wa aina zote. Kwa hakika Taifa halihitaji kiongozi wa nchi akiwa Muislamu basi ateuwe idadi kubwa ya Waislamu wenzake katika nafasi mbalimbali za uongozi wa nchi au akiwa Mkristo atumie uongozi wake kuteua idadi kubwa ya Wakristo wenzake katika uongozi nchini. Au akiwa Mzanaki ateuwe idadi kubwa ya Wazanaki wenzake katika nafasi mbalimbali za uongozi na mfano wa hayo.
Kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania, Rais ana mamlaka makubwa kuliko chombo chochote. Baraza la Mawaziri jukumu lake ni kumshauri tu na Katiba inampa uhuru wa kufuata au kutofuata ushauri wa chombo hicho au mtu yoyote. Mamlaka ya Rais pia yako juu kuliko ya Bunge. Rais anateuwa sehemu ya wabunge na ana mamlaka ya kulivunja Bunge. Rais pia anateuwa Majaji wa Mahakama na watendaji wengine wa kitaifa. Kwa kifupi Rais wa Tanzania ndiye muhandisi mkuu na mwenye kutengeneza shakhsia (Personality) ya Taifa.
Katika jukumu hilo la kutengeneza shakhsia ya Taifa, miongoni mwa watumishi wa umma 1269, wanaoteuliwa na mamlaka ya Rais ambao ni pamoja na: Waziri Mkuu, Jaji Mkuu, Mawaziri na Manaibu, Majaji, Mkuu wa Majeshi, Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Mabalozi wa Nchi za Nje, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wa Wizara, Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala Wilaya (DAS), Makatibu Tawala Mikoa (RAS), Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Majiji, Manispaa, na Wilaya, Wakuu wa Bodi na Tume mbalimbali, Makamishna, Wakuu wa Mashirika ya Umma, Wakuu wa Vyuo Vikuu na kadhalika, asilimia 80 ya uteuzi huo unafanyika kwa Watanzania wa imani moja.
Na hao wateuliwa na wao wana mamlaka ya uteuzi katika maeneo yao au kusimamia masuala ya uteuzi, ajira, na kufanya maamuzi mbalimbali ya utendaji na uendeshaji kwa niaba ya Taifa. Wakitaka na wao wanaweza kufanya uteuzi ule wa asilimia 80 ya watu wa imani moja (au kabila moja).
Lingine la kuzingatiwa, uteuzi huo unawapa wateule hao Mamlaka, uwezo wa kufanya Maamuzi na Utawala. Lingine kubwa ni kwamba uteuzi huo unatoa fursa za mapato, maana yake ni kuwa, zaidi ya asilimia 80 ya pato la Taifa linalohudumia malipo na stahiki za watumishi wa umma linakwenda kwa kundi moja la kijamii na kuliacha kundi jingine.
Tunachotaka ni sera za Uwiano sahihi. Katiba za Kanya na ya Nigeria ni mfano mzuri wa dhana hii ya Uwiano sahihi. Ukurasa wa 75, Sura ya 9, sehemu ya kwanza, ibara ya 130 (1)(2), na uk 151 Sura 15, ibara ya 250 (4), ya Katiba ya Kenya inaelekeza, nafasi za Uteuzi za wafanya Maamuzi (Executives) na nafasi nyengine nyeti kama vile Mawaziri na Manaibu Waziri, Makatibu na Manaibu Katibu, Makamishna na Wakurugenzi, kuwepo Uwiano ulio Sawa na Ujumuishi (yaani pamoja na kuangalia weledi, uzoefu na uadilifu, lakin pia kuwepo na uwiano wa watu kwa kuzingatia walemavu, rangi, jinsia, Dini, makabila na mfano wa hayo) .
Katiba hiyo pia uk 143, sura ya 14, sehemu I, ibara ya 238 2(d), na uk 146, sura ya 14, sehemu ya II, ibara ya 241 (4), uk 149, sehemu ya IV, ibara ya 246 (4) inaelekeza mihimili ya Serikali ikiwa ni pamoja na Majaji, Majeshi yote ya Ulinzi na Usalama kama: Jeshi la Wananchi, Jeshi la Polisi, teuzi na ajira pamoja na kuangalia weledi, uzoefu na uadilifu kuwepo uwiano kama tulivyoona katika vifungu vya hapo nyuma.
Halikadhalika Katiba ya Nigeria, uk 8 Sura 2, ibara ya 4, maudhui yake yanaelekeza, Serikali Kuu, Serikali za Majimbo, Halmashauri za Miji, Mawakala (wanaofanya kazi kwa niaba ya Serikali, Vyama vya siasa) ni sharti ajira zao kuzingatia suala la uwiano wa mahala husika na Ujumuishi wa makabila na Dini.
Jambo muhimu ni mabadiliko ya fikra kwa viongozi wetu. Kama Isiwe Rais akiwa Muislamu ateuwe Waislamu wengi kwenye serikali yake, au akiwa Mkristo ateuwe Wakristo wengi kwenye serikali yake. Hakuna sababu yoyote ya msingi ya uteuzi huo.
Bismillahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA WARAKA [MWONGOZO] UCHAGUZI MKUU WA TAIFA OKTOBA 2020 TANZANIA Umetolewa leo Tarehe 09. 07. 2020. UTANGULIZI Ugonjwa wa Korona – COVID-19 Sote Tunafahamu kuwa nchini mwetu na Dunia kwa ujumla kumekuwepo na taharuki kubwa ya Ugonjwa wa...
Naona mamluki mliumia sana baada ya kukosa shabaha yenu ya kugeuza chuo cha UDOM kuwa muslim university, mkagundulika njama zenu na baada ya hapo wahadhiri wote hao 11 wakapigwa pin. Mbona UDOM malalamiko yake yapo humu dhidi ya njama zenu za kuweka udini pale, kwa udini nyinyi tunawajua hata mamlaka mbalimbali za zerikali Zinalitambua hilo. Kwanza kwanini nafasi zote hizo muwe wa dini moja tu, nini kilikua kinaendelea pale mpaka nafasi zote mkawa nazo nyinyi?
Shabaha yenu ya 50/50 mmeipigania sana na hilo kamwe haliwezi tokea kwanza Dunia hii ni nchi gani Ina 50/50. Dini haiwezi wekwa kwene katiba hilo mlijue na halitokaa litokee sisi kushare mamlaka kwa minajili ya udini na ukabila kamwe haitakaa na haiwezi kutokea. Takwimu zako za 20/80 utalia nazo sana tu mpaka unaenda kabulini utaacha hivyo hivyo. Kule zenji ni pure 100/100 Muslim.
Ni siku nyingi Sijaona picha zako mpya. Kipindi cha hizo picha wale mamluki waliokutuma kwa sasa wameona hali ni mbaya wao pia wamefilisika kama kina dossa aziz na wenzao baada ya agakhan kukata ufadhili na kupigwa pin na serikali enzi hizo wakajikuta hawana tena vyanzo vya mapato hivyo kwasasa huna dollar za kutembea hovyo kupiga picha kwene majiji ya wanaume wenzio. Tuzo za JamiiForums zimetolewa kwa wengi. Kufika Tehran, German, USA kwa fedha za ufadhili wa magenge ya uhaini na uhalifu wewe sio wa kwanza kufika. Hivyo sibabaiki na mamluki wa kishia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.