Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #81
Lugoda,Shukran kwa kunijuza ngoja niicheki. Eid njema mzee Mohamed.
Minalfaizin.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lugoda,Shukran kwa kunijuza ngoja niicheki. Eid njema mzee Mohamed.
Ujamaa...Zipo nyingi sana. Ukiwa kama gwiji wa uvumi mitandaoni sizani kama hujawahi ona mada hizi hapa jukwaani, kama upo tiari basi fungua mjadala mpya watu waanze kushusha nondo.
Soma post #78 hapo utajua kilichokua kinafanyika UDOMUjamaa...
Mimi si mtu wa lugha za "nondo."
Siko hapa kubishana.
Kama unayo taarifa ya yaliyokuwa yakifanyika UDOM niipatie nijifunze yale ambayo siyajui.
Dingi...Soma post #78 hapo utajua kilichokua kinafanyika UDOM
SawaDingi...
Nimesoma.
Smart...Ahsante kwa maarifa...