Kwa Ujinga huu halafu ndiyo ujilinganishe na kamanda
Greatest Of All Time pamoja na mbabe wa Vita
OKW BOBAN SUNZU wewe siyo level za hao magwiji😂😂😂
Greatest Of All Time nilishindanishwa nae katika Mchuano na nikamshinda je, Pumbavu Wewe ulikuwa wapi Kumpigia Kura ili anishinde Mwamba GENTAMYCINE?
OKW BOBAN SUNZU unayemsifu hapa hata hakuwa Nominated badala yake akawa anawahimiza Watu ( Members ) wasinipigie Kura Mwamba GENTAMYCINE lakini bado Nikashinda je, leo unapata wapi Uhalali wa Kunifananisha nae huyo Juha ( Fool ) Mwandamizi hapa JamiiForums?
Ushindi nilioupata GENTAMYCINE sikujipa Mwenyewe bali nilipewa na Members Werevu na Wanaojitambua huku wakiujua Uwezo wangu mkubwa na wa Kipekee wa Kiuwasilishaji wa Masuala Mtambuka hapa JamiiForums hivyo kama ni Kulaumu Walaumu wao na siyo Mimi sawa?
Mwisho nikuombe tafuta Shindano lolote like kisha jiweke Wewe na hao Fools Wenzako uliowataja hapa halafu shindanishweni na Mimi GENTAMYCINE muone kama sitowashinda na najua nikiwashinda kama Kawaida yenu mtakimbilia kusema kuwa nina Multiple IDs ambazo nazitumia Kujipigia Kura.
Mwenyezi Mungu hawezi Kuniumba Mja wake GENTAMYCINE na Kunibariki na Shani / Tunu Kuu Nne ( 4 ) tukuka za kuwa '
Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' halafu nisipendwe JamiiForums, nisiwe na Mvuto na Ushawishi mpaka kuwa na Utajiri wa Followers 149+ hapa.
Umeshajiuliza Swali ni kwanini 99.9% ya wale Wanaonichukia GENTAMYCINE na wamekuwa Wakihubiri hivyo hapa JamiiForums ndiyo hao hao Wanaongoza Kunisoma, Kunifuatilia na hata Kuchangia Mada zangu 24/7 hapa?
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Cc:
Interlacustrine R,
Proved,
Extrovert etc