Mna Siku 4 tu za Kushangilia Ushindi wenu wa Tigo Pesa wa Jana, ila Jumapili mtajuta Kukutana na Mbabe wa Magoli mengi mengi

Na je, vipi ile Kauli ya aliyekuwa Kocha wenu Mkuu anayewadai Fedha zake hadi leo na muda wowote mnaweza Kupewa Adhabu Kali na FIFA Mbelgiji Luc Eymael aliposema ( ipo YouTube ) kuwa wana Yanga SC wote ni Nyani, Mbwa na Sokwe?

Nasubiri jibu lako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe utawasumbua wajinga,wasiojua ujinga wako,kila siku unabadilisha vituo tu mara karume?mara kariakoo,kazi yako ni kunywa kahawa tu,mzee fanyakazi Acha kutulisha matango pori.wewe huo ubingwa ulipewa tu,approximately anakujua fika ,bisha sasa nimuambie ashushe upuuzi wako.simna hawana shabiki mandazi kama wewe Acha kuharibu brand ya simba..ngexe ngexe wewe
 
usidhani yanga tupo kimya tu,tunajipanga na wala hatutoi ahadi au matamko ya kijuha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…