GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Msemaji Mkuu wa Serikali, @gersonmsigwa amesema bei za umeme hazijaongezeka na amesema kuwa Serikali inamtafuta aliyetoa taarifa ya uongo kuhusu kuongezeka kwa bei ya umeme na kusababisha taharuki kwa wananchi ili achukuliwe hatua..
Chanzo: Dar Mpya Blog
Mnapoelekea sasa mtaanza kutulazimisha tuamini kuwa mmeajiriwa kwa Kutisha Watu na siyo Kuwapa Maenndeleo.
Chanzo: Dar Mpya Blog
Mnapoelekea sasa mtaanza kutulazimisha tuamini kuwa mmeajiriwa kwa Kutisha Watu na siyo Kuwapa Maenndeleo.