I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Kwenye hii paragraph mi sijaelewa kwa kwenye ufahamu anaweza nisaidia.makato
Tunahitaji another strugle to Independence... Not yet Uhuru!Viwango vya juu vya tozo ya Serikali vimepunguzwa kutoka sh. 7,000/- hadi 4,000/-(kwa wanaotuma zaidi ya sh. 3,000,000/-). Viwango vya chini vimepunguzwa kutoka sh. 100/- hadi shilingi 10/- (wanaotuma kati ya sh. 100/- hadi 2,999/-
Pia tusichanganye makato mengine ya watoa huduma yaani benki au kampuni ya simu na VAT.
Mfano anayetuma shilingi 20,000/- makato ya kampuni ya simu ni shilingi 2,288.3/-, makato ya VAT ni shilingi 411.87/- na tozo ya Serikali tunayozungumzia ni shilingi 383/- tu. =Gerson msigwa
👉Ndugu watanzania mjiandae kuhesabiwa.
Kwani hiyo iliyopunguzwa ilianza lini na nani aliianzisha?Viwango vya juu vya tozo ya Serikali vimepunguzwa kutoka sh. 7,000/- hadi 4,000/-(kwa wanaotuma zaidi ya sh. 3,000,000/-). Viwango vya chini vimepunguzwa kutoka sh. 100/- hadi shilingi 10/- (wanaotuma kati ya sh. 100/- hadi 2,999/-
Pia tusichanganye makato mengine ya watoa huduma yaani benki au kampuni ya simu na VAT.
Mfano anayetuma shilingi 20,000/- makato ya kampuni ya simu ni shilingi 2,288.3/-, makato ya VAT ni shilingi 411.87/- na tozo ya Serikali tunayozungumzia ni shilingi 383/- tu. =Gerson msigwa
👉Ndugu watanzania mjiandae kuhesabiwa.
Tozo + vat hio ni double taxationKwani hiyo iliyopunguzwa ilianza lini na nani aliianzisha?
Na bado mtoa huduma iwe bank au kampuni ya simu atalipa kodi huko huko serikalini.Msaada Tozo za Serikali na VAT anakusanya nani?Kama ni Serikali kwann wasiache hiyo VAT inayolipwa wakaleta Tena tozo?
Jina lako tu linajieleza.Tumekwambia kuwa hatufahamu?
Kabla ya kuleta mada,hakikisha unaowaletea hawaifahamu.