Mnaanzisha vipi maongezi na pisi kali inayopita zake tu?

Mkimbilie Halafu, Mshike kwa mikono na, mwangalie ndani ya macho, mpeleke kando na umwambie :

Commit a crime and I'll be your defender
Overpower me so that I surrender Hmm,
I wish I could be your saliva
So that I could taste your lips whenever....
 
Yaaan anaweza kimbilia hata kwenye kikundi cha watu
 
Tunachanganya nini? Kila mwanamke ni individual kuna vitu yeye mwenye anapenda.
We unione natembea alafu unifuate kwa nyuma unanichombeza sikioni? Si nitakuona kichaa nikukimbie?
Kwako nafikiri mbinu yangu itakunasa.
Nadondosha 10k nyuma yako, nakuita..samahani mrembo umedondosha[emoji23][emoji23][emoji23]

Ndani ya note ntaweka kimemo na namba...au papo hapo nakunong'oneza[emoji23][emoji23]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yuck!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…