Mnachokitafuta kwenye forex mtakipata endeleeni

FOREX ni biashara kubwa, usitegemee kufanya forex kwa akili nyepesi isiyokuwa na focus wala consistency, achilia mbali tabia zenu za kukimbia maarifa na vitabu. Angalia live forex trading hapa:

 
Yaaani najua kweli mambo yanavyofanyika na unajua wanatapeliwaje (sijui hata kwakweli so niache BAKI NA forex YAKO)
 
Mkuu kama ulikuwa kichani kwangu vile.
 
TUONEENI HURUMA basi mnajua mnavyoweka hayo ma link yenu kuna raia wana katabia kautamani sasa wqki click wataenda kukutana na maneno matamu mwisho Wataumia..tuacheni basi Link zenu bakini nazo Pigeni Heraaaa tu Hamna shida,tutakuaje matajiri wote bana
 
Kwa hiyo hapa ndio katapeli mtu?
kawasakizia wenzie watie mitaji kwenye biashara isiyoweza kulinda mtaji na kuwasababishia hasara ya karne.
kumbe pesa zinapatikana kwa kukodisha matrekta ya kukodi.
 
Kuna machalii kule Facebook wamenda kabisa na seminar for free Serena hotel
Sijui wanapata WAP pesa ya kulipia venue na wanajilipa lipaje

Bongo kweli nyoso vyuma vimekaza aisee
 
Kuna machalii kule Facebook wamenda kabisa na seminar for free Serena hotel
Sijui wanapata WAP pesa ya kulipia venue na wanajilipa lipaje

Bongo kweli nyoso vyuma vimekaza aisee
ukitaka kuona maajabu ya NUHU nenda huko kwenye Freee utaona kama hutoacha hela huko tena wewe mwenyeuweeee
 
Forex ni biashara kama biashara nyingine...Nakupa mfano hai Nimeuza sana Bangi yes Bangi nineuza mnoo.Jaribu na wewe kuuza Bangi uone patashika lake.
umetoa mfano mzuri sana walai....Aseee bangi siuzi hapana🤣🤣 (umejua ku lenga kwa mfano hai🙌🙌)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…