Mnachokitafuta kwenye forex mtakipata endeleeni

Mnachokitafuta kwenye forex mtakipata endeleeni

FOREX ni biashara kubwa, usitegemee kufanya forex kwa akili nyepesi isiyokuwa na focus wala consistency, achilia mbali tabia zenu za kukimbia maarifa na vitabu. Angalia live forex trading hapa:

Hebu mkuu elezea utapeli unaofanyika kwenye forex. Mimi nataka nikualike ofisini kwangu pale Tanzanite Park uje unielekeze watu wanavyotapeliwa kama huwezi kueleza hapa. Ntakulipia usafiri na disturbance allowance.

Maana unaonekana unajua sana mambo yanavyofanyika.
Yaaani najua kweli mambo yanavyofanyika na unajua wanatapeliwaje (sijui hata kwakweli so niache BAKI NA forex YAKO)
 
FOREX siyo biashara ya kila mtu kufanya hapo ndipo watu wanakosea. Mfano siyo kila mtu anaweza fanya biashara ya genge au duka ndo maana kuna mwingne anafanikiwa na mwingne anafail.
Kwa tz forex ni kitu kipya ndo maana watu wanadhani ni DECI na ni ajabu kuna watu na degree zao wanafananisha forex na DECI sijui huko vyuoni walienda kusoma ujinga
Mkuu kama ulikuwa kichani kwangu vile.
 
FOREX ni biashara kubwa, usitegemee kufanya forex kwa akili nyepesi isiyokuwa na focus wala consistency, achilia mbali tabia zenu za kukimbia maarifa na vitabu. Angalia live forex trading hapa:

TUONEENI HURUMA basi mnajua mnavyoweka hayo ma link yenu kuna raia wana katabia kautamani sasa wqki click wataenda kukutana na maneno matamu mwisho Wataumia..tuacheni basi Link zenu bakini nazo Pigeni Heraaaa tu Hamna shida,tutakuaje matajiri wote bana
 
Kwa hiyo hapa ndio katapeli mtu?
kawasakizia wenzie watie mitaji kwenye biashara isiyoweza kulinda mtaji na kuwasababishia hasara ya karne.
kumbe pesa zinapatikana kwa kukodisha matrekta ya kukodi.
 
Kuna machalii kule Facebook wamenda kabisa na seminar for free Serena hotel
Sijui wanapata WAP pesa ya kulipia venue na wanajilipa lipaje

Bongo kweli nyoso vyuma vimekaza aisee
 
Kuna machalii kule Facebook wamenda kabisa na seminar for free Serena hotel
Sijui wanapata WAP pesa ya kulipia venue na wanajilipa lipaje

Bongo kweli nyoso vyuma vimekaza aisee
ukitaka kuona maajabu ya NUHU nenda huko kwenye Freee utaona kama hutoacha hela huko tena wewe mwenyeuweeee
 
Forex ni biashara kama biashara nyingine...Nakupa mfano hai Nimeuza sana Bangi yes Bangi nineuza mnoo.Jaribu na wewe kuuza Bangi uone patashika lake.
umetoa mfano mzuri sana walai....Aseee bangi siuzi hapana🤣🤣 (umejua ku lenga kwa mfano hai🙌🙌)
 
Back
Top Bottom