Rural Swagga
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,643
- 1,172
Trust me.....umetoa mfano mzuri sana walai....Aseee bangi siuzi hapana[emoji1787][emoji1787] (umejua ku lenga kwa mfano hai[emoji119][emoji119])
imekufanyaje kwani mkuu hiyo forex?Ndo nishamaliza hata sina maneno mengi,maana kila mtu huyu anasifia huyu anaponda,anaesifia Yashamkuta ila anakwambia hakomi ndio life style yake(shauri lako),ana eponda yeye yashamkuta na amekoma Japo wote wanao Ponda nawaona ni kama STAKI NATAKA yani wanapondaaaaa halafu mwisho unamsikia ila FOREX ni real ni kukosa tu mentor mzuri sjui nini fyeke fyeke fyeke kibaoo.
Sasa mimi hata sisemi sana...ntabaki na kuuza vi tecno vyangu na vi itel nyie endeleeeni ila mnachokitafuta mtakipata nawambia Maana Hamkomi yani kwa jinsi nilivyoiona hii Forex kwa ambae hujaianza ni kama ka mdada ambacho hakajawahi ku sex sasa kakisha TOLEWA BKRA anapata maumivu haswaaaa ila pamoja na kuugulia maumivu utamskia Ila Tamuuuu hiyoooo [emoji38] [emoji38]
Sawa Forex ni Tamu endeleeni kupata Utamu ila mtapata mnachokitafuta.
Ndo nishamaliza hata sina maneno mengi,maana kila mtu huyu anasifia huyu anaponda,anaesifia Yashamkuta ila anakwambia hakomi ndio life style yake(shauri lako),ana eponda yeye yashamkuta na amekoma Japo wote wanao Ponda nawaona ni kama STAKI NATAKA yani wanapondaaaaa halafu mwisho unamsikia ila FOREX ni real ni kukosa tu mentor mzuri sjui nini fyeke fyeke fyeke kibaoo.

yupo insta huko anaendelea kupeta na kuonyesha meno nnje..hana habari na machozi ya watu
wala haijanifanya kitu...na sijui kama itanifanya kitu labda huko uzeeni nikiwa sina nguvu ya kutembea ndo ntakua na fanya yangu chumbani saiyo nshakua BABU
Mkuu tusivunjiane heshima. Hakuna mahali nimekutusi. Ongea hoja, lete hoja.
Mimi nimeijua forex kabla Ontario hajaanza kufundisha watu. Kimsingi wewe ndio msukule kuliko hao unaowaita misukule. Hakuna anayedownload pesa, we work for it. Tunatumia akili na muda mwingi kwenye screen kuliko watu wa ofisi and we get paid for it.
Mi nina uhakika wa laki 2 na thelathini kila siku nitakayotrade and I trade thrice per week. Mi na wewe msukule ni nani?
Nina residual income nzuri kuliko wewe mpumbavu mmoja unaponda kitu usichokijua.
Kwa Ontario watu walilipa laki na 30 hata kama hujui kitu hiyo pesa imesharudi. Endelea kuwaza shit while we run the town
hahahahaaHii kitu unatakiwa usiwe na upungufu wa akili//huku unawaza leo mkaa haujauzika huku unawaza kutrade forex ////nyambafu
Ndio mana mm nafanya tu yangu seminar za kipumbav ambazo WAP hawanip pesa natemana nazo ntafute ugali wa watot njia ya chooni isiote majanukitaka kuona maajabu ya NUHU nenda huko kwenye Freee utaona kama hutoacha hela huko tena wewe mwenyeuweeee
mkuuu hahahahahabaBORA HATA HAO...unajiekea mkeka wako unafanya yako ila FOREX kuna sjui BROKER sjui nani yani mtu anafanya mafekeche upasuke ili yeye alambe dodo huu si ndo ushubwada wenyewe
Hizo hela za kupakuwa mbona hatuzioni kwenye mzunguko wa fedha mitaani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani atakimbia Jf akianza kutumiwa screenshot za kudownload mil 1 kwa week hapa asianze kuliaa..
mmmmmh hhhm mimi huyu! kwani wateja wa dagaa na vitunguu wameisha hadi nije huko? Kwanza FOREX nshaona ili utusue ni lazima uisome uielewe tena na kitabu ushike..sasa mambo ya kurudishana class mi siiyataki.
Nshazoea ki tecno nakinunua 7000 nakiuza 25,000 napata hela yangu kilainiiiii...ila mambo ya kusoma soma mi staki kwanza.