Mnachokitafuta kwenye forex mtakipata endeleeni

Hicho ulichopost kwenyw huo uzi kinaonesha we ni mtu wa aina gani na mentality yako kiujumla.

Kwa mentality hiyo kubebewa mke hata si kazi...
Tubadilishane namba za simu nipe za mke/mpenzi wako PM na mimi nakupa za mke wangu PM...kila mtu afanye kazi yake.
 
we ni zwazwa.... Samahani kwa maneno yangu
ma zwazwa identity yao inalingana na yako sasa unapomuita mtu zwa zwa wakati sifa zote za uzwazwa unazo wewe nashndwa kukuelewa.
 
ma zwazwa identity yao inalingana na yako sasa unapomuita mtu zwa zwa wakati sifa zote za uzwazwa unazo wewe nashndwa kukuelewa.
Zwazwa ni yule ambayo anaishi kama tupo iron age wakati sasa tupo information age. Akili za kijima hizo.
 
na wewe endelea ku FOREXIKA wanaofanya REAL FOREX hawana aina ya maneno yako..type yako mnajiweka kundi la wazee wa FOREX ili mpate attention muonekane na nyie watu kwenye watu,blal Ful endelea tetea usichojua.
 
kumbe shida ni kwamba unaipenda na unajua kuna potential ila hutaki kujifunza na kuelewa sasa kama huwezi kaa tu kimya...and it looks like ulipewa kielimu cha siku mbili ukaaanza kutrade bila kujua unaenda wapi ukaishia kublow account....if u cant find a right education and knowledge blowing account will be your middle name,,,..... am doing it for living and takes me 2 years to understand what it is
 
usi BET maisha yangu aseee..nani kakwambia nimewahi TRADE?? sijawahi fanya aina yeyote ya hiyo biashara yenu..we endelea kufanya unachoona ni sahihi.
 
Unajuaje una income nzuri kuliko yeye?
Angalia signature ya mtu unae muuliza maswali halafu..chukua maamuzi magumu maana Jibu la mtu una debate nae lipo kwenye signature yake.
 
usi BET maisha yangu aseee..nani kakwambia nimewahi TRADE?? sijawahi fanya aina yeyote ya hiyo biashara yenu..we endelea kufanya unachoona ni sahihi.
because that whats it looks like....yeah do what you gotta do and stop saying shit which you don't even understand,,,and by the way how much do you make per month in that business of yours(selling cell phones)? no disrespect just asking
 
hapo angalau umemaliza ubishi mtoa mada Ngeli haipandi hawezi kuendelea na mdahalo
 
Ontario akamatwe.. afungwe jiwe shingoni atupwe baharini tena katikat ya bahari
 
For telegram user

Anayehitaji kujifunza
*forex basic
*advanced course,candlestic pattern and physology behind its formation
*Supply and demand strategy

ajoin telegram chanel

👇🏽
https://t.me/forextanzania
 
Mimi niko huku ambapo hamna watu wengi.

Aka kamsemo wanao trade wanakapenda,ha ha ha ha
Halafu wakipigwa hela utasikia. Ngoja nijipange upya. Sijui inawa cost kiasi gani ku admit kwamba the all staff sio rahisi kama wanavyotaka kuwaaminisha watu.
 
Fanyeni kazi vijana, miradi ipo mingi unaweza anzisha na kufanikiwa. Acheni porojo
 
Creativity+knowledge+perseverance+skills=success in FOREX!!!
Hizo ungezitumia kuanzisha biashara yako mwenyewe, ungekuwa mbali sana. Kuliko kung'ang'ana na maisha ya zipu ya pochi. Ukisikia pesa zinapatikana kirahisi, basi mnajazana ujinga. Vijana amkeni, mta dentiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…