Ingekuwa bei rahisi ungeona inauzwa kama karanga.Korosho tunaweza itumia yote kwenye soko la ndani kuboresha lishe ya watu hasa watoto na kuondoa udumavu.......lakini sababu bongolala hatuwezi kufikiri kwa kina ndo unaona midemko yote hii kwenye zao la korosho. Haya wapeni wahindi wailangue kwa bei chee wakauzie mabeberu nyie mbaki na udumavu wenu.............
Mbwembwe zote pamoja na kuondoa vikwazo na tozo kadhaa lakini wapi; mlimshambulia sana JPM alipoamua kununua ili wananchi wapate chochote, sasa hawa watawala wana la kusema kutokana na aibu hii?Gazeti la Nipashe la leo limeripoti kwa masikitiko makubwa kuwa mnada wa korosho umesitishwa baada ya kampuni za wanunuzi kukosekana! .
Hii inatokea huku Nape Nnauye na Zito Kabwe waliojipambanua kama watetezi wa wakulima wa korosho na wakapiga kelele sana miaka yote mitano ya Serikali ya awamu ya tano wakiwa kimya kabisa kana kwamba hawajui kinachowatokea wakulima wa korosho mwaka huu.
Je, wakulima wa korosho watetewe na nani?
Nguvu ya Nape, Zitto, Membe kulisemea zao la korosho imeenda wapi?
View attachment 1994504Mbwembwe zote pamoja na
Kuiuza bei kubwa ni moja ya udemkaji ninaousema, je kuna justification yoyote ya kuiuza bei kubwa ikiwa miti inazalisha korosho kila mwaka na mostly haihitaji uangalizi mkubwa? ni swala la serikali kuja na sera tu itakayoweka unafuu wa pembejeo hasa madawa ya kupulizia mikorosho kwa ajili ya kuua wadudu na kuzuia fungus na processing ya korosho iwe efficient kuweza kukidhi mahitaji ya soko kwa wakati....Ingekuwa bei rahisi ungeona inauzwa kama karanga.
Si waliwahi kusema mwepesi naye ni kangomba?Ndiyo maana Zito na Nape wapo kimya?
Huku mijini kilo ya Korosho iliyobanguliwa ni shs 20,000Gazeti la Nipashe la leo limeripoti kwa masikitiko makubwa kuwa mnada wa korosho umesitishwa baada ya kampuni za wanunuzi kukosekana! .
Hii inatokea huku Nape Nnauye na Zito Kabwe waliojipambanua kama watetezi wa wakulima wa korosho na wakapiga kelele sana miaka yote mitano ya Serikali ya awamu ya tano wakiwa kimya kabisa kana kwamba hawajui kinachowatokea wakulima wa korosho mwaka huu.
Je, wakulima wa korosho watetewe na nani?
Nguvu ya Nape, Zitto, Membe kulisemea zao la korosho imeenda wapi?
View attachment 1994504
Na watu wanakimbilia kushadadia tu bila kuelewa kwa undani....inasikitisha kweliMagazet ya kikajanja bhana Tatizo sio wanunuzi tatizo tani wanazoziitaji azijafikia malengo Yao napia korosho hakuna (azijazaa sana kutokana na mvua za mwakaa huu zilikuwa ndogo)