igogondwa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2021
- 2,597
- 3,373
Kama kawaida yako kila kitu ni kupinga tuu kama Polepole...Siasa imehusika vipi na kukosekana wanunuzi kwenye mnada??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kawaida yako kila kitu ni kupinga tuu kama Polepole...Siasa imehusika vipi na kukosekana wanunuzi kwenye mnada??
Shida kubwa kuingiza siasa kwenye biashara.Gazeti la Nipashe la leo limeripoti kwa masikitiko makubwa kuwa mnada wa korosho umesitishwa baada ya kampuni za wanunuzi kukosekana! .
Hii inatokea huku Nape Nnauye na Zito Kabwe waliojipambanua kama watetezi wa wakulima wa korosho na wakapiga kelele sana miaka yote mitano ya Serikali ya awamu ya tano wakiwa kimya kabisa kana kwamba hawajui kinachowatokea wakulima wa korosho mwaka huu.
Je, wakulima wa korosho watetewe na nani?
Nguvu ya Nape, Zitto, Membe kulisemea zao la korosho imeenda wapi?
View attachment 1994504
Alieipa thamani korosho ni kikwete, maana aliwekeza kwenye utafiti na uzalishaji uliongezeka zaidi, soko la korosho lilikuwa zuri sana mwaka 2015 na 2016.
Hivyo jiwe akaona wakulima wanafaidi kwa kupata gawio zuri zaidi bilion 180 akaona achukuwe yote.
Jamaa alikuwa katiri sana
Na hilo ndio tatizo la serikali zetu,kufungua mdomo kabla ya kuunganisha ubongo.Soko huwa linatafutwa na linalindwa. Ukilivuruga, huwezi kuamka na kulipata tena maana siku zote wapo wanaotafuta masoko. Na hicho ndicho viongozi wengi wa serikali hawajui. Unakuta mara waziri mkuu anainuka na kusema, kuanzia leo marufuku kupeleka mahindi nje ya nchi, halafu baada ya muda utasikia, tumeruhusu mahindi kuuza nje! Hopeless kabisa. Watu wanahangaika kutafuta soko, unavuruga, halafu baadaye unasema eti wauze nje. Huko nje walikuwa wamekaa wanakusubiria wewe? Ukisikia hivyo, unakuwa huna shaka kuwa wajinga wamejikusanya, wapo huko serikalini kwaajili ya kuwaharibia wenye uelewa.
Soko la korosho alilivuruga marehemu, itachukua muda mpaka kuwa na soko la uhakika tena maana wanununuzi wakubwa waliokuwa wanapokea korosho toka TZ walikwishapata suppliers wengine.
Kwenye katiba mpya, iwekwe kabisa sheria kuwa kiongozi akitoa amri inayoathiri uchumi wa wananchi au nchi, ashtakiwe kwa kosa la uhujumu uchumi.
Imekuwa kubwa wakati furniture chache, matokeo nanii kubwa sana mpaka maji.Pamoja na kuwapanulia kote huko
Wakisha piga kelele ndio wanunuzi watakuja ?Wapige kelele
Labda magufuli ndo anasababisha wanunuzi wasije kwa kuhalibu buashara ya korosho.Gazeti la Nipashe la leo limeripoti kwa masikitiko makubwa kuwa mnada wa korosho umesitishwa baada ya kampuni za wanunuzi kukosekana! .
Hii inatokea huku Nape Nnauye na Zito Kabwe waliojipambanua kama watetezi wa wakulima wa korosho na wakapiga kelele sana miaka yote mitano ya Serikali ya awamu ya tano wakiwa kimya kabisa kana kwamba hawajui kinachowatokea wakulima wa korosho mwaka huu.
Je, wakulima wa korosho watetewe na nani?
Nguvu ya Nape, Zitto, Membe kulisemea zao la korosho imeenda wapi?
View attachment 1994504
Gazeti la Nipashe la leo limeripoti kwa masikitiko makubwa kuwa mnada wa korosho umesitishwa baada ya kampuni za wanunuzi kukosekana! .
Hii inatokea huku Nape Nnauye na Zito Kabwe waliojipambanua kama watetezi wa wakulima wa korosho na wakapiga kelele sana miaka yote mitano ya Serikali ya awamu ya tano wakiwa kimya kabisa kana kwamba hawajui kinachowatokea wakulima wa korosho mwaka huu.
Je, wakulima wa korosho watetewe na nani?
Nguvu ya Nape, Zitto, Membe kulisemea zao la korosho imeenda wapi?
View attachment 1994504
Haya mambo wangeacha yaende kisayansi na sio kisiasa. Kwani miaka ya nyuma mbona mambo yalikwenda bila shida?!
Lengo ni kuwanyonga bei wakulima,na walanguzi watafanikiwa tu,wakulima hawana mteteziGazeti la Nipashe la leo limeripoti kwa masikitiko makubwa kuwa mnada wa korosho umesitishwa baada ya kampuni za wanunuzi kukosekana! .