Mnada wa korosho wasitishwa baada ya kukosekana mnunuzi

Mnada wa korosho wasitishwa baada ya kukosekana mnunuzi

Wachina na wamarekani walisema watanunua matani ya korosho, nini kimewakumba hawa matajiri hadi waingie mitini?
Unaposikiliza propaganda sana utaamini kuwa duniani hapa sasa hivi ni ahera kabisa na wala hamna kifo tena. Wachina na wamerakani wanatuletea rizki !!
 
Unaposikiliza propaganda sana utaamini kuwa duniani hapa sasa hivi ni ahera kabisa na wala hamna kifo tena. Wachina na wamerakani wanatuletea rizki
Kinadharia ahadi zile ni sawa na mkataba sababu watu wanalima sana wakijua kuna soko la uhakika mwaka huu.
 
Mbwembwe zote pamoja na kuondoa vikwazo na tozo kadhaa lakini wapi; mlimshambulia sana JPM alipoamua kununua ili wananchi wapate chochote, sasa hawa watawala wana la kusema kutokana na aibu hii?

Wanasiasa wabaya sana kuhusika kwenye ustawi wa biashara
Jaribu kuwa na kumbukumbu kidogo, tozo zimeongezwa, sasahivi imeongezeka sh 40 kwa kila kilo, enzi za JPM utaratibu wa ununuzi haukuwa mzuri, mpaka uonyeshe shamba la korosho, likaguliwe ndo utauza, haikukaa vema sana
 
Wakati anakuibia ulikuwa wapi?
Hukuweka wakala?
Ulienda mahakamani kupinga?
Kila mtu aliona wizi tena wa kishamba kabisa wa kura ulivyofanyika, swala la mahakamani labda uchaguzi ungefanyika leo lakini kwa wakati ule mahakama ilikuwa imeminywa na haikuwa huru kabisa.
 
Afadhali kukosa mnunuzi na kubaki na korosho zako unajua unaweza kuuza siku nyingine kuliko aje mtu na kujifanya mnunuzi lakini akishachukua korosho zako anaanza kutafuta sababu ili akudhulumu fedha zako.
Korosho ya msimu huu haiuziki msimu mwingine. Inanyauka..sio maharage hayo
 
Back
Top Bottom