KWA sababu magufuli alihatamia vyombo vya kuripoti ukweli , Sasa habari za kweli zinatoka bila censorshipMbona mwaka jana minada ya korosho haikukosa wanunuzi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KWA sababu magufuli alihatamia vyombo vya kuripoti ukweli , Sasa habari za kweli zinatoka bila censorshipMbona mwaka jana minada ya korosho haikukosa wanunuzi?
Dogo una elimu gani?Vyombo vya habari vimezuia wanunuzi ?
Huna akili kabisa wewe ni nyumbu lofa mkubwa.Dogo una elimu gani?
mwaka jana ziliandikwa habari za uongo, uchumi wa kati , solo la korosho lilianguka toka magufuli apeleke jeshi BADO halija kaa sawa,
Dogo punguza munkariUnafiki kwa kutumia matako? Aliyetangaza uchumi wa kati ni Magufuli? Hivi nyinyi huyo mama yenu mzururaji yakimshinda mnamsukumia Magufuli? Au kama Baba yako alishafariki unaanza kulalamika kuwa mimi sina maisha mazuri kisa baba yako? Maisha yapo fursa hizo serkali imefeli acheni ujinga!
Nimekuuliza ni gazeti la lini?Mnada wa juzi hayati JPM amezuiaje wanunuzi kuja?
Kama unashindwa kuelewa maamuzi yanaweza kupelekea kitu kuathirika eidha positive au negative in a future, basi tuishie hapa.Kumbe marehemu anaweza kuporomosha bei ya korosho?
Basi huyu marehemu atakuwa na akili kuliko wewe kilaza unayetembea
Kwani Magufuli alikuwa Chama gani? Na yeye alikuwa na Uzuzu tu sawa na CCM wa sasa hivi.Huyo ni taahira! Sasa Magufuli kashakufa kawaachia nchi yenu nyinyi mafisadi! Nini kinawashinda? Kule machinga, huku miradi haiendi, kule rushwa zinashamiri,TRA hawahamasishi kudai tena risti! Hii nchi chini ya CCM ni uzuzu tu hamna kitu!
Dogo huoni nchi inarudishwa kwenye mstari, mwendakuzimu alisababisha damage kubwa kila secta labda nikutajie KWA uchacheUko na haki ya kuwaza hivyo! Maana unakichwa lakini hakifanyi kazi ya msingi bali kipo kuchosha misuli ya shingo tu lakini hakina maana!
Kwani JPM amekufa na mimba au ni wewe ndiye amekuacha una Mimba?Mimba ya JPM inawatesa sana
Lini hii?Kwani JPM amekufa na mimba au ni wewe ndiye amekuacha una Mimba?View attachment 1994779
Kwamba korosho Inahitaji mvua sana au?? MhhMagazet ya kikajanja bhana Tatizo sio wanunuzi tatizo tani wanazoziitaji azijafikia malengo Yao napia korosho hakuna (azijazaa sana kutokana na mvua za mwakaa huu zilikuwa ndogo)
Kuna watu watasema kuwa Magufuri ndiye amevuruga huo mnada wa korosho, maana hata mwaka Jana walisema hivo, Sasahivi sijui akina Zitto zigo wanamwangushia Nani; maana mbeba mabaya hayupoSiasa imehusika vipi na kukosekana wanunuzi kwenye mnada??
Kangomba IPO kila mwaka haiwezi kufaAkina kangomba wamerudi tena?
Yes ni kweli kutokana na uhaba wa mvua miti Mingi imekataaKwamba korosho Inahitaji mvua sana au?? Mhh
Adui wa wakulima ni wakulima wenyewe, kwa kuwa hawajui adui yao. Wakulima akili yao ibawaonesha kuwa wanapunjwa na wanunuzi na hivyo adui yao ni mnunuzi. Wakishajua hivyo wanawashtaki wanunuzi kwa viongozi wao waliowachagua (wanasiasa). Wanasiasa nao kwa kutaka sifa na kujinadi wanawapigania wananchi, wanashtaki serikalini. Wanasiasa wa serikali wakijua adui ni wanunuzi wanajipanga ku deal na wanunuzi.Gazeti la Nipashe la leo limeripoti kwa masikitiko makubwa kuwa mnada wa korosho umesitishwa baada ya kampuni za wanunuzi kukosekana! .
Hii inatokea huku Nape Nnauye na Zito Kabwe waliojipambanua kama watetezi wa wakulima wa korosho na wakapiga kelele sana miaka yote mitano ya Serikali ya awamu ya tano wakiwa kimya kabisa kana kwamba hawajui kinachowatokea wakulima wa korosho mwaka huu.
Je, wakulima wa korosho watetewe na nani?
Nguvu ya Nape, Zitto, Membe kulisemea zao la korosho imeenda wapi?
View attachment 1994504
Sasa wanataka Nape na Zito wafanyaje? Kama bidhaa yenyewe haina soko sasa wanunuz waje wafanyaje sasa?Gazeti la Nipashe la leo limeripoti kwa masikitiko makubwa kuwa mnada wa korosho umesitishwa baada ya kampuni za wanunuzi kukosekana! .
Hii inatokea huku Nape Nnauye na Zito Kabwe waliojipambanua kama watetezi wa wakulima wa korosho na wakapiga kelele sana miaka yote mitano ya Serikali ya awamu ya tano wakiwa kimya kabisa kana kwamba hawajui kinachowatokea wakulima wa korosho mwaka huu.
Je, wakulima wa korosho watetewe na nani?
Nguvu ya Nape, Zitto, Membe kulisemea zao la korosho imeenda wapi?
View attachment 1994504
Alieipa thamani korosho ni kikwete, maana aliwekeza kwenye utafiti na uzalishaji uliongezeka zaidi, soko la korosho lilikuwa zuri sana mwaka 2015 na 2016.Kwa taarifa yako Jiwe ndio ameipa korosho thamani. Labda ukisema kuharibu korosho ni jiwe naweza kukubaliana na wewe sababu wakati Jiwe anaingia common price ya korosho ilikuwa 1700 tu bei ya juu..alipoingia ikaenda 4200. Kuanzia hapo wakulima wakashtuka kuwa kumbe inawezekana. Kama uliisikia wakulima wa korosho walikuwa wananywesha soda mbuzi kwa kushangilia bei.
Enzi hizo si shinyanga wala kigoma wanaijua korosho. Leo nenda shinyanga utakuta wanalima korosho. Huko kusini watu wanamiminika kulima korosho.