Bila shaka haujui hata hiyo korosho inafananaje, unabwabwaja tu kama zuzuAfadhali kukosa mnunuzi na kubaki na korosho zako unajua unaweza kuuza siku nyingine kuliko aje mtu na kujifanya mnunuzi lakini akishachukua korosho zako anaanza kutafuta sababu ili akudhulumu fedha zako.
Dah, yaani jamaa anabwabwaja sjui hata mti wa korosho kama anaujua, shortly aliyeharibu zao biashara ya korosho ni JPM a.k.a JIWeBila shaka haujui hata hiyo korosho inafananaje, unabwabwaja tu kama zuzu
Mkuu zinaharibika zile zikikaa mda mrefuAfadhali kukosa mnunuzi na kubaki na korosho zako unajua unaweza kuuza siku nyingine kuliko aje mtu na kujifanya mnunuzi lakini akishachukua korosho zako anaanza kutafuta sababu ili akudhulumu fedha zako.
Zamani kwani ukosefu wa wanunuzi ulikuwepo?Siasa imehusika vipi na kukosekana wanunuzi kwenye mnada??
Unamjua mkuu wa mazuzu?😂😂😂Bila shaka haujui hata hiyo korosho inafananaje, unabwabwaja tu kama zuzu
Huko nyuma zilichukuliwa korosho na aliyejifanya mnunuzi baadaye zilipoanza kuharibika aliwarudishia wakulima korosho zao na wengine hawajalipwa hadi sasa.Mkuu zinaharibika zile zikikaa mda mrefu
Unaposikiliza propaganda sana utaamini kuwa duniani hapa sasa hivi ni ahera kabisa na wala hamna kifo tena. Wachina na wamerakani wanatuletea rizki !!Wachina na wamarekani walisema watanunua matani ya korosho, nini kimewakumba hawa matajiri hadi waingie mitini?
Kwahiyo sina haki ya kuzungumzia dhuluma iliyofanywa na yule"mnunuzi"?Bila shaka wewe si mkazi wa huko na wala huijui korosho
Dah acha kabsa mzigo wangu upo ndani kutoka shamba hili balaa jingineMbona hii Habar ni ngumu sana kwa sisi watu wa kusini.
Kinadharia ahadi zile ni sawa na mkataba sababu watu wanalima sana wakijua kuna soko la uhakika mwaka huu.Unaposikiliza propaganda sana utaamini kuwa duniani hapa sasa hivi ni ahera kabisa na wala hamna kifo tena. Wachina na wamerakani wanatuletea rizki
Jaribu kuwa na kumbukumbu kidogo, tozo zimeongezwa, sasahivi imeongezeka sh 40 kwa kila kilo, enzi za JPM utaratibu wa ununuzi haukuwa mzuri, mpaka uonyeshe shamba la korosho, likaguliwe ndo utauza, haikukaa vema sanaMbwembwe zote pamoja na kuondoa vikwazo na tozo kadhaa lakini wapi; mlimshambulia sana JPM alipoamua kununua ili wananchi wapate chochote, sasa hawa watawala wana la kusema kutokana na aibu hii?
Wanasiasa wabaya sana kuhusika kwenye ustawi wa biashara
Kila mtu aliona wizi tena wa kishamba kabisa wa kura ulivyofanyika, swala la mahakamani labda uchaguzi ungefanyika leo lakini kwa wakati ule mahakama ilikuwa imeminywa na haikuwa huru kabisa.Wakati anakuibia ulikuwa wapi?
Hukuweka wakala?
Ulienda mahakamani kupinga?
Korosho ya msimu huu haiuziki msimu mwingine. Inanyauka..sio maharage hayoAfadhali kukosa mnunuzi na kubaki na korosho zako unajua unaweza kuuza siku nyingine kuliko aje mtu na kujifanya mnunuzi lakini akishachukua korosho zako anaanza kutafuta sababu ili akudhulumu fedha zako.
Hayo maswali ingekuwa vema umuulize hawara ya bibi yako mzaa babu yako kwasababu yeye alikuwa mjumbe wa NEC!Wakati anakuibia ulikuwa wapi?
Hukuweka wakala?
Ulienda mahakamani kupinga?
Kwani msimu umekwisha?Korosho ya msimu huu haiuziki msimu mwingine. Inanyauka..sio maharage hayo