Mnada wa korosho wasitishwa baada ya kukosekana mnunuzi

Vyombo vya habari vimezuia wanunuzi ?
Dogo una elimu gani?

mwaka jana ziliandikwa habari za uongo, uchumi wa kati , solo la korosho lilianguka toka magufuli apeleke jeshi BADO halija kaa sawa,
 
Dogo una elimu gani?

mwaka jana ziliandikwa habari za uongo, uchumi wa kati , solo la korosho lilianguka toka magufuli apeleke jeshi BADO halija kaa sawa,
Huna akili kabisa wewe ni nyumbu lofa mkubwa.

Uchumi wa kati haijipangii nchi ila inapangiwa na mashirika ya kimataifa ukifikia vigezo.
 
Dogo punguza munkari
Magufuli alifeli kila secta,
 
Mnada wa juzi hayati JPM amezuiaje wanunuzi kuja?
Nimekuuliza ni gazeti la lini?
Mnada uliofanyika Ijumaa ya trh 29 nenda Bodi ya Korosho hata kwenye page yao ya Instagran utaona kuwa korosho zimeuzwa.

Uzuzu ni kufikiri kuwa matokeo ya leo kwenye korosho ni suala la maamuzi ya mwaka huu. Wakati mwendazake anaamua hakujua kuwa uamuzi wake utaathiri biashara miaka ya mbele.
 
Kumbe marehemu anaweza kuporomosha bei ya korosho?

Basi huyu marehemu atakuwa na akili kuliko wewe kilaza unayetembea
Kama unashindwa kuelewa maamuzi yanaweza kupelekea kitu kuathirika eidha positive au negative in a future, basi tuishie hapa.
Asante kwa muda wako.
 
Huyo ni taahira! Sasa Magufuli kashakufa kawaachia nchi yenu nyinyi mafisadi! Nini kinawashinda? Kule machinga, huku miradi haiendi, kule rushwa zinashamiri,TRA hawahamasishi kudai tena risti! Hii nchi chini ya CCM ni uzuzu tu hamna kitu!
Kwani Magufuli alikuwa Chama gani? Na yeye alikuwa na Uzuzu tu sawa na CCM wa sasa hivi.
 
Uko na haki ya kuwaza hivyo! Maana unakichwa lakini hakifanyi kazi ya msingi bali kipo kuchosha misuli ya shingo tu lakini hakina maana!
Dogo huoni nchi inarudishwa kwenye mstari, mwendakuzimu alisababisha damage kubwa kila secta labda nikutajie KWA uchache
1. Covidi, alikataa chanjo Sasa tunachanja
2. Aliwatapeli machinga Sasa miji iko safi
3. Aliwatuma wahuni kina sabaya. Musiba mahakama xinawasghulikia
4, amekopa deni la nje ni tri 78, huku andanganya miradi inatumia fedha za ndani
Dogo huyo mungu wenu alikuwa kichaa eti!!
 
Siasa imehusika vipi na kukosekana wanunuzi kwenye mnada??
Kuna watu watasema kuwa Magufuri ndiye amevuruga huo mnada wa korosho, maana hata mwaka Jana walisema hivo, Sasahivi sijui akina Zitto zigo wanamwangushia Nani; maana mbeba mabaya hayupo
 
Adui wa wakulima ni wakulima wenyewe, kwa kuwa hawajui adui yao. Wakulima akili yao ibawaonesha kuwa wanapunjwa na wanunuzi na hivyo adui yao ni mnunuzi. Wakishajua hivyo wanawashtaki wanunuzi kwa viongozi wao waliowachagua (wanasiasa). Wanasiasa nao kwa kutaka sifa na kujinadi wanawapigania wananchi, wanashtaki serikalini. Wanasiasa wa serikali wakijua adui ni wanunuzi wanajipanga ku deal na wanunuzi.

Wanawapangia bei kubwa ili kuwafurahisha wakulima. Wanunuzi wakiona bei waliyopangiwa ni kubwa watatengeneza hasara wanaamua kuacha kununua. Wakulima baada ya kukosa mnunuzi wanazidi kumchukia zaidi mnunuzi (badala ya kuichukia serikali). Wanaenda kushtaki tena kwa wanasiasa kuwa wanunuzi wamekataa kununua mazao yao. Wanasiasa wakitumia nguvu wanaoumia ni wakulima wale wale maana hakuna sheria inayomlazimisha mnunuzi kununua mazao ya mtu.

Wakulima ndo maadui wao wenyewe
 
Sasa wanataka Nape na Zito wafanyaje? Kama bidhaa yenyewe haina soko sasa wanunuz waje wafanyaje sasa?

Ifike kipindi tusichezee wanunuzi (wafanyabiashara)
 
Alieipa thamani korosho ni kikwete, maana aliwekeza kwenye utafiti na uzalishaji uliongezeka zaidi, soko la korosho lilikuwa zuri sana mwaka 2015 na 2016.

Hivyo jiwe akaona wakulima wanafaidi kwa kupata gawio zuri zaidi bilion 180 akaona achukuwe yote.
Jamaa alikuwa katiri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…