Mnada wa korosho wasitishwa baada ya kukosekana mnunuzi

Shida kubwa kuingiza siasa kwenye biashara.
Magufuli alisema atanunua korosho yote na kuisafirisha kwa jeshi, akaangukia pua.
Wakulima wakaumia.
Awamu ya sita wanasema korosho yote isafirishwe bandari ya Mtwara ambako meli za kupeleka kwa wateja hazifiki.
Nani atanunua korosho iozee bandarini.
Wakulima wanapigwa mara ya pili!
 

 
Na hilo ndio tatizo la serikali zetu,kufungua mdomo kabla ya kuunganisha ubongo.
Bei ya mazao ya biashara inayumbishwa kwa kiasi kikubwa na serikali.
 
Sasa wanataka Nape na Zito wafanyaje ? Kama bidhaa yenyewe haina soko sasa wanunuz waje wafanyaje sasa ?

Ifike kipindi tusichezee wanunuzi (wafanyabiashara)
Wapige kelele
 
Labda magufuli ndo anasababisha wanunuzi wasije kwa kuhalibu buashara ya korosho.

Hao watetezi wao wasema kama magufuli bado yupo, na kama hayupo basi watafute wanunuzi waje wanunue.
 
Labda magufuli ndo anasababisha wanunuzi wasije kwa kuhalibu buashara ya korosho.

Hao watetezi wao wasema kama magufuli bado yupo, na kama hayupo basi watafute wanunuzi waje wanunue.
Hawana akili wanachokijua ni kupiga dili tu
 

 
Lengo ni kuwanyonga bei wakulima,na walanguzi watafanikiwa tu,wakulima hawana mtetezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…