Mnafanya wote ila ni kwa nini mwanaume huonekana bingwa hujisikia fahari?

The Phylosopher

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,957
Lile jambo tunafanya wote na kuna wakati mwanaume huzidiwa kabisa ila ni nadra sana kumkuta mdada au mama anajisifu juu ya game.

Sio hivyo tu Kuna wakati hata katika stori za kawaida mdada au mama akisema huyo dada fulani au mama fulani si wamfanye tu Hadi akome. Ila haisemwi hivyo kwa jinsia ya kiume.

Tatizo ni nini hasa? Kwani Ile Kwa wadada ni adhabu? Mbona naona ni kama tunainjoy wote?
 
Hata huyo kaka anaejisifu juu ya game ni mtoto. Hakuna mwanaume rijali, aliyekomaa anaekwenda kujisifu ujinga.

By the way watu huwa hawajisifu huwa wanasifiwa. Kwahiyo sifa ya kweli itatolewa na huyo huyo mmama sijui mdada na sio kijana kujisifu
 
Ushawahi kusikia story zao saluni au kwenye vibalaza? Jaribu siku moja kisha uje na uzi tena.
 
Lile jambo tunafanya wote na kuna wakati mwanaume huzidiwa kabisa ila ni nadra sana kumkuta mdada au mama anajisifu juu ya game.

Sio hivyo tu Kuna wakati hata katika stori za kawaida mdada au mama akisema huyo dada fulani au mama fulani si wamfanye tu Hadi akome. Ila haisemwi hivyo kwa jinsia ya kiume.

Tatizo ni nini hasa? Kwani Ile Kwa wadada ni adhabu? Mbona naona ni kama tunainjoy wote?
Kuna mila na destiri za watu ngono kwa mwanaume ndio uanaume, hao ndio huona fahari, si wote. Pwani ndio zao (mnisamehe). Do not generalize!
 
Hata huyo kaka anaejisifu juu ya game ni mtoto. Hakuna mwanaume rijali, aliyekomaa anaekwenda kujisifu ujinga.

By the way watu huwa hawajisifu huwa wanasifiwa. Kwahiyo sifa ya kweli itatolewa na huyo huyo mmama sijui mdada na sio kijana kujisifu
Si suala tu la mwanaume kujisifu but Iko hivyo unakuta hata akipita dada mrembo Kwa muonekano kama umekaa na wadada utawasikia wanakuhamasisha unyoke nae ila haiwi hivyo kwa wanawake kuwaelekea wanaume
 
Aisee mijianaume mingine ni mibazazi sanaaa yani unakuta jituu na midevu eti linajisifia lilivyochakata Mbususu jana. Shubaamit zake kabisa uyo na hajitambui.

Na mtu kama uyo mie uwa nafanya Easy tu Namuepuka Maana hana msaada kwangu.
 
Si suala tu la mwanaume kujisifu but Iko hivyo unakuta hata akipita dada mrembo Kwa muonekano kama umekaa na wadada utawasikia wanakuhamasisha unyoke nae ila haiwi hivyo kwa wanawake kuwaelekea wanaume
Mkuu ni tamaduni zetu waaFrica Mwanamke uwa anaitunza sitara yake kama mwanamke na ku-play Part Yake Kama Mama au Dada. Otherwise Tutamwita MALAYA
 
Kwa kweli sijawahi sikia jambo kubwa ambalo nina uhakika wanajisifia ni suala aidha kukwapua mume wa mtu au kumkomba hela mwanaume ila kujionea fahari kwa ajili ya game sijasikia bado!

Endelea kufanya research utakuja kujua haujui.
 
Back
Top Bottom