Zama anajua handling ya mume no doubt, mwanaume kufikia hatua ya kufanya kitu cha aina hio ni kuwa ana highest degree of respect kwako. I wonder kuwa ni mtamu kihivyo ila kwa tabia inaonesha yuko njema sana.[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ungeishia whaaat?!!??acha apewe life ndo hili hili...!!!
Ila Zama anaonekana ana utulivu sana ktk ndoa au akiwa na mwanaume hua anaridhika mnooo
Kwa aina ya biashara anayofanya kuna uwezekano mkubwa wa kuhonga hio gari.Mkuu Kuna ukweli kwa hili kumbuka shabani Ana tickets za royal family
Iko hivyoIle mission town ilimuuma sana daah. Ukweli ni kwamba hio gari kajinunulia maana hata nyumba wanayoishi alijenga ruge kwa ajili ya wanae. Zama analea kama shamte anavvyolelewa na familia ya domo
Mmanyema wa kigoma.Watoto watatu wa kufikia?
Range Rover?
Limwata at work.
Huyo bibie ni mnyamwezi au mmakonde?
sio wewe nimeongea na niliemtag post yake mkuuIpi taja
ujinga kivipi?...au wewe unapungukiwa nini yeye kuonyesha?....wabongo mbona mnapenda sana kuwachagulia watu mitindo yao ya maisha?.'Kapewa na mumewe'...
Ujinga ni kuanza kuonesha onesha mavitu kama hayo mitandaoni...
Mmh this comment!Zamaradi nisiseme mengi
Hii zawadi hii unastahili kabisa
Wee Ni bonge la wife material[emoji4]
Kiukweli Mwamba nae katisha sana
Wito wangu wakuu:
Tuwapendeni sana zetu,
zawad Kama hivi hata ukifumwa ukichepuka,
Wife mwenyewe anaamini sio akili yako ile wee utakua ulilogwa[emoji106]View attachment 2411700
Nilitaka kukushanga Kama utakwenda kinyume na [emoji23][emoji23] mm ,mnk huwa nakueleewa Sana jinsi mlivyo mbana mkuu wa fasihi akatokomeaa kusiko julikanaZamaradi ana fanya kazi gani ya kumfanya anunue Range Rover Vogue?? Na kama kanunua kwa pesa yake basi anastahili pongezi mnoooooooooo mkwanja anao
Easy Sana kwake kupata access na pia gari hiyo mkuu nilisiki muagizaji wa gari akiojiwa na kusema Ni mashine na Bei zake Ni mkasi pia m 270 mpk 280 Ni sahih kbsa Ila lzm jamaa anaonja asali vzr ndio maana katoa gar hiyoKwa aina ya biashara anayofanya kuna uwezekano mkubwa wa kuhonga hio gari.
130M sio hela nyingi kama una capacity ya kufunga 5M in each week. Na kama ana connections na mjomba wake katelephone means ana uwezo wa kuchukua tenders za ku service v8 za serikali with beefed up invoices. Gari moja tu inaacha 10M ukipewa 10 kila mwezi a 100G is eazy money bruh.
Atakuja kutuelezea vizuriHyo comment ya mkuu deepond imezua maswali
Exactly hi ndio hoja yangu mtu anampangia mtu maisha yake as if yey ndio anamlisha ,mtu unakereka VIP mtu akipost gar lake mtandaaoni ??ujinga kivipi?...au wewe unapungukiwa nini yeye kuonyesha?....wabongo mbona mnapenda sana kuwachagulia watu mitindo yao ya maisha?.
Eeh jamaa analamba asali, yuko kwenye Asali Wings πππ za CCM bila shaka.Easy Sana kwake kupata access na pia gari hiyo mkuu nilisiki muagizaji wa gari akiojiwa na kusema Ni mashine na Bei zake Ni mkasi pia m 270 mpk 280 Ni sahih kbsa Ila lzm jamaa anaonja asali vzr ndio maana katoa gar hiyo
Jitume jitume,hii ya kufika kitandani na kulala kama gogo unakosa mengiAtakuwa kajinunulia mwenyewe.
Msitake kufanya mashine zetu zionekane zina gundu
Ngoja tuongeze ongeze ufundi hata huku ukubwani π€£π€£ tuone miugiza.Jitume jitume,hii ya kufika kitandani na kulala kama gogo unakosa mengi