Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Zama anajua handling ya mume no doubt, mwanaume kufikia hatua ya kufanya kitu cha aina hio ni kuwa ana highest degree of respect kwako. I wonder kuwa ni mtamu kihivyo ila kwa tabia inaonesha yuko njema sana.[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ungeishia whaaat?!!??acha apewe life ndo hili hili...!!!
Ila Zama anaonekana ana utulivu sana ktk ndoa au akiwa na mwanaume hua anaridhika mnooo