Mnafeli wapi? Zamaradi Mketema kapewa range rover na mumewe!

Ukiwaza sana, waweza sema wewe huna mwanaume una kibwengo ndani....
Kumbe kila mtu ana riziki yake, hongera mwaya Da Zama....

Nimemnunulia jana wifi yako yoghurt kafurahi sana hivi anataka kunipost leo insta japo nimemweleza asubiri nikivuna viazi mviringo na maharage mwezi ujao ndio anipost lakini haelewi
 
Safi Madam tumpongeze kwa hilo
 
Eeeh jaman sasa mm upumbavu wangu upo wapi????
Ndy maana nimesema ukiwaza sanaaaaaaaaa, lakini usipowaza sana lazima uta appreciate kile anachofanya mwanaume wako na mtafika mbali.
Mm sijaona upumbafu wako ,yey ndio mpumbafu
 
Best comment with the best content
100% agreed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wa kibongo mnapenda vitonga aisee!
Hata wewe ungekuwa nazo usingeacha kumpaka mkeo, sema tu ndiyo hivyo tena huwezi sema wanawake wanapenda vitonga ili hali ni mmewe, tukisema ni wivu utakataa?
 
Sasa shida iko wapi, kwani yule si alikuwa mzazi mwenzie tu hakuwa kamuoa! Hapa duniani kila mtu anariziki yake kuna wengine hata wakumsogeza hakuna wengine kila kukicha ndoa tena za maana ndiyo dunia acha afaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…