Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwaza sana, waweza sema wewe huna mwanaume una kibwengo ndani....
Kumbe kila mtu ana riziki yake, hongera mwaya Da Zama....
Safi Madam tumpongeze kwa hiloNianze kukujibu
Zamaradi Ni mke aliye kuwa boss marehemu ruge wa cloud Media group
Lkn pia acha makasirio muombe na wee mungu akuwezeshe akufanikishe ili upate pesa Kisha umnunulia mkeo hata ka ist acha wivu ,fitina,na roho mbaya
Tumpongeze mtoaji na mpokeaji wote kwa pmj
Ha ha ha ha mashine hazijui kufinyia ndaniAtakuwa kajinunulia mwenyewe.
Msitake kufanya mashine zetu zionekane zina gundu
Hongera yenu pendaneni mwayaaaNimemnunulia jana wifi yako yoghurt kafurahi sana hivi anataka kunipost leo insta japo nimemweleza asubiri nikivuna viazi mviringo na maharage mwezi ujao ndio anipost lakini haelewi
View attachment 2413054
Daaaah! Pumbavu sana weweUkiwaza sana, waweza sema wewe huna mwanaume una kibwengo ndani....
Kumbe kila mtu ana riziki yake, hongera mwaya Da Zama....
Eeeh jaman sasa mm upumbavu wangu upo wapi????Daaaah! Pumbavu sana wewe
Sasa umemtukana kakosea nini hapDaaaah! Pumbavu sana wewe
Ahahahahah we mzee kazi kuponda tuuMbona hushangai kwanini Dada yako hajahongwa hata tu Baiskeli na yupo yupo tu kama Gari ya Mkaa Tripu Shamba Tripu Gereji?
Maisha ya mitandao yanafanya tuone jinsi gan mlivyo wajingaUkiwaza sana, waweza sema wewe huna mwanaume una kibwengo ndani....
Kumbe kila mtu ana riziki yake, hongera mwaya Da Zama....
Best comment with the best contentView attachment 2412012
Unahangaika hivi una mnunulia mkeo smartphone anaona zamaradi kahongwa range ,anaaza kukuona hufai mbona naye humfanyii kama mume wa zamaradi, isee wanasau kila mtu mungu humpitisha njia yake kwenye maisha, hata wewe Dada Shukuru Mungu kwa maisha ulionayo ndio safari yako,sio kwamba una nuksi BT safari ya maisha yako sio hiyo aliyo pita zamaradi !!
Eeeeh poor you...... Tafuta helaaa kijana acha makasiriko
Mbona Kama unamjua in deep?kwema😃?Imekuaje Tena kipenzi[emoji4]
Ubani wa mbio za mwenge ulishapita na akili za wadanganyika..mamaye na kila mwaka wana-renewHizi ndio story za Watz wanazipenda na kuzifatilis kweli
Stori ya ajali ya kagera inapits kama upepo.
Hata wewe ungekuwa nazo usingeacha kumpaka mkeo, sema tu ndiyo hivyo tena huwezi sema wanawake wanapenda vitonga ili hali ni mmewe, tukisema ni wivu utakataa?Wanawake wa kibongo mnapenda vitonga aisee!
Sasa shida iko wapi, kwani yule si alikuwa mzazi mwenzie tu hakuwa kamuoa! Hapa duniani kila mtu anariziki yake kuna wengine hata wakumsogeza hakuna wengine kila kukicha ndoa tena za maana ndiyo dunia acha afaidiNianze kukujibu
Zamaradi Ni mke aliye kuwa boss marehemu ruge wa cloud Media group
Lkn pia acha makasirio muombe na wee mungu akuwezeshe akufanikishe ili upate pesa Kisha umnunulia mkeo hata ka ist acha wivu ,fitina,na roho mbaya
Tumpongeze mtoaji na mpokeaji wote kwa pmj