Mnafeli wapi? Zamaradi Mketema kapewa range rover na mumewe!

Mnafeli wapi? Zamaradi Mketema kapewa range rover na mumewe!

Ukiwaza sana, waweza sema wewe huna mwanaume una kibwengo ndani....
Kumbe kila mtu ana riziki yake, hongera mwaya Da Zama....

Nimemnunulia jana wifi yako yoghurt kafurahi sana hivi anataka kunipost leo insta japo nimemweleza asubiri nikivuna viazi mviringo na maharage mwezi ujao ndio anipost lakini haelewi
IMG_0878.jpg
 
Nianze kukujibu

Zamaradi Ni mke aliye kuwa boss marehemu ruge wa cloud Media group

Lkn pia acha makasirio muombe na wee mungu akuwezeshe akufanikishe ili upate pesa Kisha umnunulia mkeo hata ka ist acha wivu ,fitina,na roho mbaya

Tumpongeze mtoaji na mpokeaji wote kwa pmj
Safi Madam tumpongeze kwa hilo
 
Eeeh jaman sasa mm upumbavu wangu upo wapi????
Ndy maana nimesema ukiwaza sanaaaaaaaaa, lakini usipowaza sana lazima uta appreciate kile anachofanya mwanaume wako na mtafika mbali.
Mm sijaona upumbafu wako ,yey ndio mpumbafu
 
View attachment 2412012
Unahangaika hivi una mnunulia mkeo smartphone anaona zamaradi kahongwa range ,anaaza kukuona hufai mbona naye humfanyii kama mume wa zamaradi, isee wanasau kila mtu mungu humpitisha njia yake kwenye maisha, hata wewe Dada Shukuru Mungu kwa maisha ulionayo ndio safari yako,sio kwamba una nuksi BT safari ya maisha yako sio hiyo aliyo pita zamaradi !!
Best comment with the best content
100% agreed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wa kibongo mnapenda vitonga aisee!
Hata wewe ungekuwa nazo usingeacha kumpaka mkeo, sema tu ndiyo hivyo tena huwezi sema wanawake wanapenda vitonga ili hali ni mmewe, tukisema ni wivu utakataa?
 
Nianze kukujibu

Zamaradi Ni mke aliye kuwa boss marehemu ruge wa cloud Media group

Lkn pia acha makasirio muombe na wee mungu akuwezeshe akufanikishe ili upate pesa Kisha umnunulia mkeo hata ka ist acha wivu ,fitina,na roho mbaya

Tumpongeze mtoaji na mpokeaji wote kwa pmj
Sasa shida iko wapi, kwani yule si alikuwa mzazi mwenzie tu hakuwa kamuoa! Hapa duniani kila mtu anariziki yake kuna wengine hata wakumsogeza hakuna wengine kila kukicha ndoa tena za maana ndiyo dunia acha afaidi
 
Back
Top Bottom