marcus dedsec
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 944
- 987
Huyu si alimkimbia Ruge akaenda kuolewa na mwanaume muislam na alizaa nae kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliachwa na Ruge au yeye ndiye alimuacha Ruge?Huyu si alimkimbia Ruge akaenda kuolewa na mwanaume muislam na alizaa nae kabisa
Watoto watatu wa kufikia?
Range Rover?
Limwata at work.
Huyo bibie ni mnyamwezi au mmakonde?
Qatar bila DSTV inakataa.Kama Ruge alimwaga chozi kwa zamaradi
Basi huyu zamaradi ana kitu Cha ziada anacho apart of Qumaa
Rafiki mwema ukiona mahusiano yanapambwa na kupambaniwa sana mitandaoni jua kuna shida kubwa ndani yake.. Ni kama vile uzuri wa mkakasi unavyoonekana kwa nje
Nikisikia Zuchu,au Zari,au Mobeto kaongwa gari ya milioni 200!na Mond,sitashangaa,maana Dunia inajua mkwanja na kazi anayofanya Mond,Zamaradi Tena kaongwa kitu kipya zeroo km Aina ya range Rover autobiography Kali sana hapa mjini DSM.
Dada yetu ana bahati ya peke haswa kwa kipindi hiki huwezi pata mwanaume akuonge pesa ndefu huku ulikuwa single maza na watoto watatu juu siyo kawaida kabisa, dada mshukuru Sana mungu kwa hilo, siyo Jambo dogo kabisa hili.
Ila pia naambiwa mhongaji anatokea Royal family moja kubwa hapa nchini haijajulikana ni ipi hadi sasa.
Kudos Sana mhongaji uko vizuri ilisemekana wee ni mmoja wa watu wanaopata furaha Sana ktk mapenzi konde boy haoni ndani.
View attachment 2411275View attachment 2411276
Kweli kabisa, yaani ni kama mtu anataka kuprove something kwa watu.😂😂😂 heeee shost em soma hapa vizuri Lenie
Kama nakuona venye unajilia mema na momo out of public 😍😍
Vya sirini vitramuu
🤣🤣 hakunaaaaaKweli kabisa, yaani ni kama mtu anataka kuprove something kwa watu.
Private life ni raha sana, hata Momo akinipiga kibuti hamna atakayejua mtaani 🤣🤣
Mume wa Zama hela anayo.Nikisikia Zuchu,au Zari,au Mobeto kaongwa gari ya milioni 200!na Mond,sitashangaa,maana Dunia inajua mkwanja na kazi anayofanya Mond,
Sasa huyu mwamba,anaye onga vogue anafanya shughuri gani,madini,kilimo,ni CEO?
Au hizi ni swaga tu
Achana na maisha yangu 🤣🤣🤣 si hatupendi anasaAcha vitz, hivi ukimwangalia baby wako unaiona Dubai au tuachane na maisha yako?
Nimeacha dyadya 🤣🤣Achana na maisha yangu 🤣🤣🤣 si hatupendi anasa
Bora umesema ukweli🤣🤣🤣😂😂😂😂nmecheka kifala
Sema wanaume sisi bhana tuseme tu atuna uwezo lakini sio kusema wanawake
Shemeji acha kujielezea, tuletee range bwana🤣🤣🤣🤣Rafiki mwema ukiona mahusiano yanapambwa na kupambaniwa sana mitandaoni jua kuna shida kubwa ndani yake.. Ni kama vile uzuri wa mkakasi unavyoonekana kwa nje
Mkwe hebu twende taratibu kwanza🤣🤣🤣🤣'Kapewa na mumewe'...
Ujinga ni kuanza kuonesha onesha mavitu kama hayo mitandaoni...
Kwakweli, uhai ndio wa msingi🤣🤣🤣Bora uhai