Mnafeli wapi? Zamaradi Mketema kapewa range rover na mumewe!

😂😂😂 heeee shost em soma hapa vizuri Lenie

Kama nakuona venye unajilia mema na momo out of public 😍😍

Vya sirini vitramuu
Rafiki mwema ukiona mahusiano yanapambwa na kupambaniwa sana mitandaoni jua kuna shida kubwa ndani yake.. Ni kama vile uzuri wa mkakasi unavyoonekana kwa nje
 
Nikisikia Zuchu,au Zari,au Mobeto kaongwa gari ya milioni 200!na Mond,sitashangaa,maana Dunia inajua mkwanja na kazi anayofanya Mond,
Sasa huyu mwamba,anaye onga vogue anafanya shughuri gani,madini,kilimo,ni CEO?
Au hizi ni swaga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…