Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Ndio watu wakasemaga jamaa alikwenda na ngwengwe hvyo nae Zama alikuwa nao dah wabongobbhnaZama alimuacha ruge kwa uhuni wake tuu,maana alimfumania,kuzaa na wanawake wengi n.k alichoka kudharauliwa akasubiri kashatimiza malengo ya kuhamia kwake na miradi yake akampata Shabani akamuoa fastaaa ila Zama km ruge angetulia angeolewa nae sema ndo hvyo Jasiri alikua kito....mb mnooo...
Mkwe tuache bwana hujui km tuna makasirikio atiiuWatu huku shida nini? Kajinunulia blah blah, mbona nyie hamjinunulii kama rahisi?
Kisa wewe huwezi kumnunulia/kununuliwa na mwenzi wako ndo mnaona na kwa wengine pia inashindikana eeeh?
Awe kanunua au kajinunulia cha muhimu ana Range punguzeni hasira nyuma ya keyboard haisaidii wakuu
[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ungeishia whaaat?!!??acha apewe life ndo hili hili...!!!Mkwe wanaume wetu wa kiafrica kuzaa nje ni kawaida kabisa. Bora mwenzetu mume Kazaa nje kampa range, mwingine angeishia kuombwa msamaha na kuletewa mtoto alee
Kwenye afya siwezi ongea lolote maana sijawahi wapima [emoji16][emoji16]Ndio watu wakasemaga jamaa alikwenda na ngwengwe hvyo nae Zama alikuwa nao dah wabongobbhna
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Tatizo wanakasirika kwa nguvu. Yani huku kuna watu wanaona kila kitu hakiwezekani maishani kisa kwao vimeshindikanaMkwe tuache bwana hujui km tuna makasirikio atiiu
Yes, ni mumewe.
Zama anapenda mahusiano na wanapendana na yule kijana.[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ungeishia whaaat?!!??acha apewe life ndo hili hili...!!!
Ila Zama anaonekana ana utulivu sana ktk ndoa au akiwa na mwanaume hua anaridhika mnooo
Zamaradi hakuwahi kuwa "mke" wa Ruge, ila ni mzazi mwenzie. Huyu wa sasa ndo mme wake.Nianze kukujibu
Zamaradi Ni mke aliye kuwa boss marehemu ruge wa cloud Media group
Lkn pia acha makasirio muombe na wee mungu akuwezeshe akufanikishe ili upate pesa Kisha umnunulia mkeo hata ka ist acha wivu ,fitina,na roho mbaya
Tumpongeze mtoaji na mpokeaji wote kwa pmj
Wenzio tunapimaga kwa macho halafu tunajihakikishia kipimo chetu tunaanza na kutangaza flani mgonjwaKwenye afya siwezi ongea lolote maana sijawahi wapima [emoji16][emoji16]
🤣🤣🤣🤣🤣
Mkwe hebu twende taratibu kwanza🤣🤣🤣🤣
Ya binti yangu lini?
Hampendi kiki tu, au nipost lile bango la picha yako walilo weka kule dubai🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona mansion!!!