Mnafeli wapi? Zamaradi Mketema kapewa range rover na mumewe!

Mnafeli wapi? Zamaradi Mketema kapewa range rover na mumewe!

Zama alimuacha ruge kwa uhuni wake tuu,maana alimfumania,kuzaa na wanawake wengi n.k alichoka kudharauliwa akasubiri kashatimiza malengo ya kuhamia kwake na miradi yake akampata Shabani akamuoa fastaaa ila Zama km ruge angetulia angeolewa nae sema ndo hvyo Jasiri alikua kito....mb mnooo...
Ndio watu wakasemaga jamaa alikwenda na ngwengwe hvyo nae Zama alikuwa nao dah wabongobbhna
 
Watu huku shida nini? Kajinunulia blah blah, mbona nyie hamjinunulii kama rahisi?

Kisa wewe huwezi kumnunulia/kununuliwa na mwenzi wako ndo mnaona na kwa wengine pia inashindikana eeeh?

Awe kanunua au kajinunulia cha muhimu ana Range punguzeni hasira nyuma ya keyboard haisaidii wakuu
Mkwe tuache bwana hujui km tuna makasirikio atiiu
 
Mkwe wanaume wetu wa kiafrica kuzaa nje ni kawaida kabisa. Bora mwenzetu mume Kazaa nje kampa range, mwingine angeishia kuombwa msamaha na kuletewa mtoto alee
[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ungeishia whaaat?!!??acha apewe life ndo hili hili...!!!
Ila Zama anaonekana ana utulivu sana ktk ndoa au akiwa na mwanaume hua anaridhika mnooo
 
Aisee tumetofautiana sana me ukiniomba 50k tu,nafuta namba,na move on kiroho safi af sikutafuti kabisa
Kaka tofautisha mke na demu kukuomba hell mkeo uwez mpa feza zozote
 
[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ungeishia whaaat?!!??acha apewe life ndo hili hili...!!!
Ila Zama anaonekana ana utulivu sana ktk ndoa au akiwa na mwanaume hua anaridhika mnooo
Zama anapenda mahusiano na wanapendana na yule kijana.

Wengine tunahate huku maana uwezo wa kutoa hawana na wapenzi wao uwezo wa kuwapa hawana vile vile wanabaki kuleta makasiriko
 
Nianze kukujibu

Zamaradi Ni mke aliye kuwa boss marehemu ruge wa cloud Media group

Lkn pia acha makasirio muombe na wee mungu akuwezeshe akufanikishe ili upate pesa Kisha umnunulia mkeo hata ka ist acha wivu ,fitina,na roho mbaya

Tumpongeze mtoaji na mpokeaji wote kwa pmj
Zamaradi hakuwahi kuwa "mke" wa Ruge, ila ni mzazi mwenzie. Huyu wa sasa ndo mme wake.
 
Hiyo RR sio brand new mkuu.. mwanamke nae jua alizawadiwa siku yake ya kuzaliwa ni Makiwendo .. alipewa Range Rover Velar Edition mpyaaa kabisa , na Jeep® Grand Cherokee kwa mpigoo , sema hapendi kiki dada yangu mzuri..


C.c Cillah 🫡🫡🫡 post lile mansion lako la dubai wajue watu mnapewa mazawadi
🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona mansion!!!
 
Back
Top Bottom