National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Vicoba vya watu wazito, mchezo kila siku 5 million 🙂🙂Madeni ya vicoba yamenihumble😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vicoba vya watu wazito, mchezo kila siku 5 million 🙂🙂Madeni ya vicoba yamenihumble😂😂😂
[emoji2960][emoji2960] kumbeIle mission town ilimuuma sana daah. Ukweli ni kwamba hio gari kajinunulia maana hata nyumba wanayoishi alijenga ruge kwa ajili ya wanae. Zama analea kama shamte anavvyolelewa na familia ya domo
Weeeeh!! Niringe!!!Vicoba vya watu wazito, mchezo kila siku 5 million 🙂🙂
[emoji2960][emoji2960] kumbe
Walisema mumewe kazaa na mtu mwingine
Anafikiri wabongo wajinga, hela za mgao wa CMG kwenye share za hayati boss ndizo anazotambia mjini. Kila mgao ukitoka mpunga mrefu unaingia kwanini asi ball 😂😂😂Ile mission town ilimuuma sana daah. Ukweli ni kwamba hio gari kajinunulia maana hata nyumba wanayoishi alijenga ruge kwa ajili ya wanae. Zama analea kama shamte anavvyolelewa na familia ya domo
EeehNdo maana bibie povu halimuishi. Keshasamehe maana ndoa inampa heshima mujini
Mbona hushangai kwanini Dada yako hajahongwa hata tu Baiskeli na yupo yupo tu kama Gari ya Mkaa Tripu Shamba Tripu Gereji?Zamaradi Tena kaongwa kitu kipya zeroo km Aina ya range Rover autobiography Kali sana hapa mjini DSM.
Dada yetu ana bahati ya peke haswa kwa kipindi hiki huwezi pata mwanaume akuonge pesa ndefu huku ulikuwa single maza na watoto watatu juu siyo kawaida kabisa, dada mshukuru Sana mungu kwa hilo, siyo Jambo dogo kabisa hili.
Ila pia naambiwa mhongaji anatokea Royal family moja kubwa hapa nchini haijajulikana ni ipi hadi sasa.
Kudos Sana mhongaji uko vizuri ilisemekana wee ni mmoja wa watu wanaopata furaha Sana ktk mapenzi konde boy haoni ndani.
View attachment 2411275View attachment 2411276
Mkuu Kuna ukweli kwa hili kumbuka shabani Ana tickets za royal familyAnafikiri wabongo wajinga, hela za mgao wa CMG kwenye share za hayati boss ndizo anazotambia mjini. Kila mgao ukitoka mpunga mrefu unaingia kwanini asi ball [emoji23][emoji23][emoji23]
Dada yupi genta unamsema mnk mm dada angu wa mm kaongwa matako ya nyani [emoji23][emoji23]sasa cjui Ni yupi unamsemaMbona hushangai kwanini Dada yako hajahongwa hata tu Baiskeli na yupo yupo tu kama Gari ya Mkaa Tripu Shamba Tripu Gereji?
Na Sura yake Mbaya kama Nyati anajisaidia Haja Kubwa kuna Boya kweli anaweza Kuthubutu tu Kumhonga hiyo Gari unayoisifia hapa?Dada yupi genta unamsema mnk mm dada angu wa mm kaongwa matako ya nyani [emoji23][emoji23]sasa cjui Ni yupi unamsema
Tatizo lako wew mzanaki umeadhiriwa na dhana ya usocialism ndio maana una hasira Sana na matajiri Ni Kama babu yako tu .....simtaji jina ila haCha hizo roo mbaya,husda ,fitina kwa matajiri au kwa walio barikiwa kuwa nacho ambacho wew na ukoo wako hamjawai miliki Mali hyo walizo nazo wengineNa Sura yake Mbaya kama Nyati anajisaidia Haja Kubwa kuna Boya kweli anaweza Kuthubutu tu Kumhonga hiyo Gari unayoisifia hapa?
Nianze kukujibu
Zamaradi Ni mke aliye kuwa boss marehemu ruge wa cloud Media group
Lkn pia acha makasirio muombe na wee mungu akuwezeshe akufanikishe ili upate pesa Kisha umnunulia mkeo hata ka ist acha wivu ,fitina,na roho mbaya
Tumpongeze mtoaji na mpokeaji wote kwa pmj
Will you marry meAsante kwa kumpa ukweli huyu mpuuzi aliye na wivu ,husda roo mbaya ,jinga kbsaa huyu Agera 1
Gari tu unahamaki?Huu ni uongo [emoji23][emoji23][emoji23]
Watu mnajua Mambo ya watu hapa mujini.......Ile mission town ilimuuma sana daah. Ukweli ni kwamba hio gari kajinunulia maana hata nyumba wanayoishi alijenga ruge kwa ajili ya wanae. Zama analea kama shamte anavvyolelewa na familia ya domo
Kwa kupenda show off zisizo na maana😂 kuna mlevi namskia hapa anasema kajinunulia 😂Zamaradi Tena kaongwa kitu kipya zeroo km Aina ya range Rover autobiography Kali sana hapa mjini DSM.
Dada yetu ana bahati ya peke haswa kwa kipindi hiki huwezi pata mwanaume akuonge pesa ndefu huku ulikuwa single maza na watoto watatu juu siyo kawaida kabisa, dada mshukuru Sana mungu kwa hilo, siyo Jambo dogo kabisa hili.
Ila pia naambiwa mhongaji anatokea Royal family moja kubwa hapa nchini haijajulikana ni ipi hadi sasa.
Kudos Sana mhongaji uko vizuri ilisemekana wee ni mmoja wa watu wanaopata furaha Sana ktk mapenzi konde boy haoni ndani.
View attachment 2411275View attachment 2411276
Zamaradi ana fanya kazi gani ya kumfanya anunue Range Rover Vogue?? Na kama kanunua kwa pesa yake basi anastahili pongezi mnoooooooooo mkwanja anaoKwa kupenda show off zisizo na maana[emoji23] kuna mlevi namskia hapa anasema kajinunulia [emoji23]
We mzee 😂😂😂Siku nikipata hela nitaonga mtoto wa mtu G-Wagon G63 AMG piruuu
Jamaa kama ana garage ya kueleweka hilo ni jambo jepesi sana basi.Asikwambie mtu ,ukibahatika kumiliki garage bongo ukawa pia unauza vifaa vya magari na car wash aisee utapiga mtonyo hatari....SMS garage inamuingizia mtonyo mrefu sana ,kutoa 50m kuvuta hiyo used Auto kwake ni simple.