Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Kimeshakufa kuzika hawataki na kuweka msiba hawataki pia!Kwani kuna nini? 🐼
Leo ni Bajeti lakini Bunge la Kenya linawahoji viongozi Wakuu wote wa polisi kuhusu kifo cha raia OjwangKimeshakufa kuzika hawataki na kuweka msiba hawataki pia!
Zikeni tuanue matanga maisha yaendelee. Mbona Mzee wa kifimbo hapo Kenya na yule Mzee aliyekuwa anatokwa machozi hadi akawa anatembea na kitambaa cheupe kule Zambia walikubali yakapita?
Huku watu wako bize kuipulizia maiti yao marashi isitoe harufu!Leo ni Bajeti lakini Bunge la Kenya linawahoji viongozi Wakuu wote wa polisi kuhusu kifo cha raia Ojwang
Kama CCM ilipona Enzi za tawala za akina Obasanjo usitegemee itakuwaje kufa 😁✔️Huku watu wako bize kuipulizia maiti yao marashi isitoe harufu!
Marehemu wenzao nao enzi hizo za Obasanjo nao walikuwepo pia. Usilete simulizi za enzi za Brg. Hashim Mbitta hapa.Kama CCM ilipona Enzi za tawala za akina Obasanjo usitegemee itakuwaje kufa 😁✔️
Tatizo ni kuwa hawaamini kama kilichopo mbele Yao ni maiti. Sasa hiyo postmortem wataifanyaje wakati hawaamini kama kilichopo mbele Yao ni maiti?Watazika wakipata ripoti ya uchunguzi wa maiti ( postmortem).
SIO KWELI..CHADEMA bado inadunda wala aijafa ata kama tumefungiwa siku 14Kati ya vitu vyenye utata duniani KIFO ni kimojawapo. Mpaka sasa duniani kuna mabishano juu ya uhai ni nini ili ikijulikana watu wazuie KIFO.
Na utata juu ya kifo umekuja kwa kuwa watu hawajui uhai ni nini. Je uhai ni pumzi, ubongo, moyo, au nini? Watu wa falsafa nao hawapo nyuma, wanadai uhai unaweza kuwa ni nafsi au roho.
Mtu akifa mwili wake hubakia, na maendeleo ya binadamu yamewezesha kuhifadhi miili ya marehemu. Mtu kafa lakini mwili upo. Jee mwili si sehemu ya uhai wa mwanadamu?
Kwa mtazamo wangu kumbe mwili huifadhi uhai lakini wenyewe si sehemu ya uhai. Mwili unaweza kuwepo lakini uhai usiwepo. Na hapo ndipo dhana ya mwili kuitwa mzoga inapoanzia.
Christopher Mtikila alishitakiwa kwa kuleta dhana ya mzoga wakati wa msiba wa Mwalimu Julius Nyerere. Na akafungwa mwaka mmoja.
Hapa Tanzania Kuna chama cha siasa kimekufa lakini wenye chama chao na wanandugu wa chama hicho, akili zao hazikubali kuwa wanaishi na chama mfu!
Wanazunguka kila mahali kutafuta jinsi ya kukifufua lakini mfu ni mfu tu. Badala ya kuzunguka zunguka na kutangatanga, wakubali kuwa chama chao kimekufa wakizike ili maisha mengine yaendelee.
Na ajabu watu wengine wanapata madhara kwa kuteswa na kudhalilishwa kisa wanasema ukweli kuwa chama hicho kimekufa. Kutesa wengine ndiko kutakakobadili ukweli kuwa chama chenu kimekufa?
Zikeni ili maisha mengine yaendelee!
Sawa!SIO KWELI..CHADEMA bado inadunda wala aijafa ata kama tumefungiwa siku 14