Mnaikumbuka ile 20 bilioni ya kazi maalumu. Huyu mama hapana

Mdaiwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2025
Posts
1,147
Reaction score
2,919
Dah! Watanganyika kazi tunayo. Halafu mtu bado anasema mitano tena.

Nyie mnayemshabikia huyu mama hivi kweli mna akili? Yaani mtu anaifisadi nchi na mkisema anawapoteza. Juzi kaua watanzania kibao halafu kweli kabisa kuna binadamu wanamshabikia? Mmh! Haya bhana.
 
Umeandika nini sasa? Umeitaja bill.20 imefanya nini sasa? Kama unajua si useme. Maelezo umeandika kama mfu atembeaye duniani bila makazi- umepigwa na upofu wa ufahamu hujui unaelezea nini. Kama huwezi kuwasilisha ujumbe kwa watu kaa kimya ujifunze,maarifa yako finyu usitoe hoja inayohitaji mjadala

Mbona unakua kama msukule anayetusimulia habari ya upande wa wafu- ambazo ni dhahania. Hili ni onyo la amani, acha kuleta maada ambazo hazina ufafanuzi mbele ya jamii. Nyie ndiyo manao haribu hadhi ya Jamii forum,kwa kisingizio cha kizazi kipya- jifunze kuwa kimya ili ujifinze siyo kuleta habari isiyo na mzizi wala tawi. Upo hai ila hujawahi kuishi hata siku moja kwa hoja mfu. Sema aamin!
 
ushahidi?
 
He! Hivi kumbe kuwa watu hawakuona ile document ya 20 bilion mpaka mama akawasema wale waliovujisha sio wazalendo? Au zile picha za mochwari hukuziona?
 
ushahidi?
Kwa hiyo hukumsikia mama yako aking’aka kuwa waliovujisha ile document ya 20 bilion sio wazalendo? Au zile picha za mauaji na maiti mochwari hukuziona?
 
Back
Top Bottom