Umeandika nini sasa? Umeitaja bill.20 imefanya nini sasa? Kama unajua si useme. Maelezo umeandika kama mfu atembeaye duniani bila makazi- umepigwa na upofu wa ufahamu hujui unaelezea nini. Kama huwezi kuwasilisha ujumbe kwa watu kaa kimya ujifunze,maarifa yako finyu usitoe hoja inayohitaji mjadala
Mbona unakua kama msukule anayetusimulia habari ya upande wa wafu- ambazo ni dhahania. Hili ni onyo la amani, acha kuleta maada ambazo hazina ufafanuzi mbele ya jamii. Nyie ndiyo manao haribu hadhi ya Jamii forum,kwa kisingizio cha kizazi kipya- jifunze kuwa kimya ili ujifinze siyo kuleta habari isiyo na mzizi wala tawi. Upo hai ila hujawahi kuishi hata siku moja kwa hoja mfu. Sema aamin!