OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Niliona kama nyumba ya nje haiepukiki kwa ajili ya vijana na wageni wa kiume. Ukiungana na vyoo vya nje na stoo ya mazaga. Zaidi kwa ajili ya mpangaji huko mbeleni wa kunikimbiza hospitali nikizeekaKama ni ya familia ibane ongeza room moja ili usihangaike kujenga nyumba nyingine nje
Haina haja ya nyumba ya nje,ongeza room Moja inatoshaNiliona kama nyumba ya nje haiepukiki kwa ajili ya vijana na wageni wa kiume. Ukiungana na vyoo vya nje na stoo ya mazaga. Zaidi kwa ajili ya mpangaji huko mbeleni wa kunikimbiza hospitali nikizeeka
Oyaa Unazingua...View attachment 2538313
Baada ya kuupima mziki wa ghorofa na kuona ni kina kirefu sasa nahamia rasmi kwenye mabangaloo aka Freemason.
Kuna floor plan ya huyo mwamba hapo. Naombeni maoni yenu na kukosoa kwingi kabla sijamchek
Mie binafsi napenda nyumba ya nje. Two rooms. Mostly kwa ajii ya wasaidizi wa nyumbani na wageni, pamoja na kuunganisha na stoo na choo cha nje.Haina haja ya nyumba ya nje,ongeza room Moja inatosha
Yaani wewe ni mimi kabisaMie binafsi napenda nyumba ya nje. Two rooms. Mostly kwa ajii ya wasaidizi wa nyumbani na wageni, pamoja na kuunganisha na stoo na choo cha nje.
Nikipiga hiyo huo mtaa lazima waubadili jina wauite kwa OKW BOBAN SUNZU au waseme nimejiunga freemasonKwanza ramani ni ya kishua sana na ipo bomba yaani.
1. Open kitchen nimekuelewa sana tuWeka open-kitchen.
Utaokoa space kubwa sana kwa kuunganisha sebule,jiko & dining kisha uongeze ukubwa wa vyumba na washrooms.
Na kwama walivyogusia wengine, study isiwe karibu na master bedroom kiasi hicho.
Finishing matata kabisa itakuwa kali kinomaNikipiga hiyo huo mtaa lazima waubadili jina wauite kwa OKW BOBAN SUNZU au waseme nimejiunga freemason
Kwanini? Acha ukoloni bana.1. Open kitchen nimekuelewa sana tu
2. Study room ni kama library na ofisi tu ya mkulungwa. Kwa hiyo nimependa ilivyokaa karibu..Vijana watasomea magetoni.
Nimeipenda nipe fullView attachment 2538313
Baada ya kuupima mziki wa ghorofa na kuona ni kina kirefu sasa nahamia rasmi kwenye mabangaloo aka Freemason.
Kuna floor plan ya huyo mwamba hapo. Naombeni maoni yenu na kukosoa kwingi kabla sijamchek
1. Study room sijazingua, ni kama ofisi yangu tu. Madogo watasomea magetoniOyaa Unazingua...
1. Mtu kwenda Study Room mpaka apite Master Bedroom?
2. Hakuna Privacy kati ya Public WC na Sitting room (Re-arrange hapo)
3. Bedroom close na Kitchen ipe dirisha la Pili kama unajenga Dar utanishukuru majira ya Joto
4. Sitting inapaswa iwe ventilated vya kutosha na natural light ya kumwaga. Mbona umeipendelea Dinning ambako watu hawakai sana? Unazingua
5. Pay attention to roof Plan - Hapo kwenye entrance hapo usione raha hiyo mistari mingi mingi kwenye kujenga haitakuwa hivyo
6. Arrangement ya jiko "U~ Shape" ni perfect
7. Mpe kazi Mtaalam adesign usichukue tu kwenye mtandao ukampa Fundi Samweli ajenge, utazingua zaidi
Sina broo. Labda mcheki huyo designerNimeipenda nipe full