Mnaipa asilimia ngapi hii ramani ya Bangaloo?

Mnaipa asilimia ngapi hii ramani ya Bangaloo?

1. Study room sijazingua, ni kama ofisi yangu tu. Madogo watasomea magetoni
2. Nimezingua
3. Umesomeka
4. Umesomeka
5. I will pay attention
6. Au sio
7. Nitampa huyu designer amalizie kazi ila kujenga ndio itabidi wafanye wengine
8. Angalia possibility ya kuwa na dirisha hapo, si kwa ajili ya view tu ya nyuma lakini pia for security purpose, kwa sababu nadhani kidirisha cha Store ni High Level Window, ni rahisi kuwa na activities kwenye kibaraza cha jikoni pasipo kuonekana.
Kwahiyo unaweza kuondoa hilo dirisha lililopo upate space ya kutosha kuweka High Level kitchen cabinets pia.
All the Best Mkuu!
Screenshot_20230305-223046.jpg
 
Niliona kama nyumba ya nje haiepukiki kwa ajili ya vijana na wageni wa kiume. Ukiungana na vyoo vya nje na stoo ya mazaga. Zaidi kwa ajili ya mpangaji huko mbeleni wa kunikimbiza hospitali nikizeeka
Hizo nyumba za nje za nini wadau? Kizamani sana hiyo.

Kama unataka kufanya biashara ya nyumba za kupangisha kanunue kiwanja jenga wapangaji waishi kivyao.

Sehemu unayoishi jiachie uwe na eneo kubwa hata nyumba itakuwa mazingira yanayopendeza bustani nzuri ua wa kutosha hata hewa na upepo utapata vya kutosha

Familia yako inahitaji faragha. Ndio maana ikaitwa nyumba ya familia
 
Mkuu nimeeleza sababu za msingi ambazo hujazifafanua. Extended family nyumba za nje haziepukiki mzee. Tatizo watu wa Dar tuviwanja tudogo mnawaza kubana matumizi..Mkoani hapo nazungumzia nusu ekari
 
8. Angalia possibility ya kuwa na dirisha hapo, si kwa ajili ya view tu ya nyuma lakini pia for security purpose, kwa sababu nadhani kidirisha cha Store ni High Level Window, ni rahisi kuwa na activities kwenye kibaraza cha jikoni pasipo kuonekana.
Kwahiyo unaweza kuondoa hilo dirisha lililopo upate space ya kutosha kuweka High Level kitchen cabinets pia.
All the Best Mkuu!View attachment 2538593
Ushauri wa kuzingatia huu. Nawaza pia huo mlango wa mbele uwe ni mdogo kwa ajili yangu na mtu asiyetaka kupita sebuleni. Halafu huo ukuta wa mbele wa sofa kubwa ndio uwe mlango rasmi wa kutoka
 
Siishi nao, lakini wanakuja na kuondoka. Mara kaja tuisheni, mara mwanachuo, mara nitafutie uhamisho, mara napita mara moja naenda Mwanza. Wengine sisi ni first born na wazito kwenye ukoo. Ndugu huwezi kuwakimbia
Watu wazito kama nyinyi huwa hawakosekani kwenye koo au familia zetu 🤣🤣🤣
 
Ni haki yake kula mashine. Wewe na mkeo unajifungia ndani mnaweka sauti ya mziki juu. Halafu unataka yeye akaburudike wapi
Hawa wenye nyumba wanakosea sana nyie mburuduke huko yeye anakuwa na mautamu yamemjaa.

Kuna familia moja walimpa house girl kila siku ya Jpli afanye mitoko kwenda kupigwa miti. Walishangaa hata ufanisi wa kazi zake pale nyumbani ukaongezeka
 
Haya turudi kwenye mada 🤣🤣🤣
 
Sijajua huyo fundi atapaua vipi, hasa hapo mbele kwenye main entrance
 
Back
Top Bottom