Mbona wakati Dogo ( Katibu ) anamkaza Mke wa Massanja hamkuja hapa JamiiForums Kumkanya na hata kutaka hao ( hawa ) Polisi Wamchunguze Dogo Katibu? Wanafiki wakubwa nyie
Tuelekeze, tunamkemeaje marehemu ili aachane na ushenzi wake?Yaani kila Mtu anajifanya Mchambuzi, Mpelelezi na Kaguswa sana na Tukio la Kujiua kwa Katibu wa Kanisa la Massanja huku Wengi wenu mlivyo Wanafiki mnalazimisha kuwa Dogo Kauwawa na wala hakujiua kama tunavyoaminishwa.
Yaani tunaacha Kukemea Uhuni wa Dogo na wa Watu Wengi ( na Wengine tuko humu huku JamiiForums ) wa kupenda 'Kitonga' kwa Kutembea na Wake za Watu Kiunafiki kabisa tunajifanya Kusikitika, Kuhoji na kujifanya ni FBI na kutaka Uchunguzi ( Upelelezi ) wa kina Ufanyike.
Mbona wakati Dogo ( Katibu ) anamkaza Mke wa Massanja hamkuja hapa JamiiForums Kumkanya na hata kutaka hao ( hawa ) Polisi Wamchunguze Dogo Katibu? Wanafiki wakubwa nyie.
Yaani GENTAMYCINE nijichange, nihangaike Kimaisha kisha Nioe Mke wangu halafu 'Ngala Ngala' Mmoja uje tu Unikazie 'Kisela' halafu nijue nikuache? Labda Mimi siyo Mzanaki, Mmakuwa na Mtutsi Kudadadeki...!!
99% ya Mlioanzisha Mada ( za Angle mbalimbali ) kuhusu Kuhoji na Kusikitika Kifo ( Kujiua ) kwa Katibu wa Massanja nanyi ndiyo Wabobezi wa Kuzikaza 'Mbunye' za Wanaume Wenzenu mbona nanyi hamtaki Uchunguzi wa Kina ufanyike dhidi yenu? Wanafiki wakubwa nyie.
Mimi Dogo awe Kajiua Kweli au hata Kauwawa ( Kimafia ) na Watu wa 'Kimkakati' wala sijali na sisikitiki ila naendelea Kusisitiza acheni kupenda 'Mbunye' za Wake za Watu wawe ni Matajiri au Masikini.
Mademu wamejaa tele ( tena mpaka wa Buku Buku ) na Wengine ni wa Kukopa ( Mali Kauli ) kama ambao GENTAMYCINE nawapata na nimebobea nao kwanini hadi ukahangaike na Mke wa Mtu / Wake za Watu wakati pengine nawe pia Nyumbani Kwako una Mke / Wake kwa ile Dini nyingine?
Wanafiki mtakaoenda katika Msiba wa huyo Dogo Mwizi wa Penzi la Mke wa Massanja mkatuwakilishe vyema ila Mimi GENTAMYCINE huwa nahudhuria Misiba yenye Vifo vilivyotokea kwa sababu za maana na za Kibinadamu kweli ila Misiba ya Kipuuzi ya Kujiua kwa Kuiba Penzi la Mtu au ya Kibaka na Jambazi na mingineyo huwa sina muda Mchafu wa Kuihudhuria na kuna muda hata Wanaoihudhuria pia huwa nawaona hawana Akili vile vile.
Wanafiki wakubwa kabisa nyie............!!!
Nasikia katibu nae kaacha pisi kali, napendekeza huyo ndo arithi ukatibu.Masanja atafute Katibu wa kike sasa
Na Mama mchuu kama alivua pichu kabisa kwa Katibu wa Mchuu huku akijua ni kosa yeye anastahili adhabu gani?Kwa namna yeyote ile Kama huyo katibu aliwahi kulala na mama mchuu akiwa ameshaolewa na masanja kifo ni stahiki yake.....
Kwa kuuwawa au kujiua...vyovyote hatakiwi kutembea tena juu ya uso wa hii dunia
Hapa itapelekea Mama mchuu naye aandae tukio.Mwisho wa siku utasikia katibu wa kike naye amejinyonga kwaajili ya penzi la Baba mchuuNasikia katibu nae kaacha pisi kali, napendekeza huyo ndo arithi ukatibu.
Cha ajabu dogo nae kaoa lakini anagongea kwa mwenzake wanafiki hawaoni utovu wa nidhamu kwa dogo kupakua mzinga wa bosi wake
Vipi ikatokea huyo Katibu kuuwawa kwanza, na kisha kuwekwa katika mazingira ya kuonesha amejinyonga! Na baadaye hao wahalifu kutumia simu yake tena kuandika huo ujumbe kwenda kwa mama mchingaji/askofu Monica Masanja?Yaani kila Mtu anajifanya Mchambuzi, Mpelelezi na Kaguswa sana na Tukio la Kujiua kwa Katibu wa Kanisa la Massanja huku Wengi wenu mlivyo Wanafiki mnalazimisha kuwa Dogo Kauwawa na wala hakujiua kama tunavyoaminishwa.
Yaani tunaacha Kukemea Uhuni wa Dogo na wa Watu Wengi ( na Wengine tuko humu huku JamiiForums ) wa kupenda 'Kitonga' kwa Kutembea na Wake za Watu Kiunafiki kabisa tunajifanya Kusikitika, Kuhoji na kujifanya ni FBI na kutaka Uchunguzi ( Upelelezi ) wa kina Ufanyike.
Mbona wakati Dogo ( Katibu ) anamkaza Mke wa Massanja hamkuja hapa JamiiForums Kumkanya na hata kutaka hao ( hawa ) Polisi Wamchunguze Dogo Katibu? Wanafiki wakubwa nyie.
Yaani GENTAMYCINE nijichange, nihangaike Kimaisha kisha Nioe Mke wangu halafu 'Ngala Ngala' Mmoja uje tu Unikazie 'Kisela' halafu nijue nikuache? Labda Mimi siyo Mzanaki, Mmakuwa na Mtutsi Kudadadeki...!!
99% ya Mlioanzisha Mada ( za Angle mbalimbali ) kuhusu Kuhoji na Kusikitika Kifo ( Kujiua ) kwa Katibu wa Massanja nanyi ndiyo Wabobezi wa Kuzikaza 'Mbunye' za Wanaume Wenzenu mbona nanyi hamtaki Uchunguzi wa Kina ufanyike dhidi yenu? Wanafiki wakubwa nyie.
Mimi Dogo awe Kajiua Kweli au hata Kauwawa ( Kimafia ) na Watu wa 'Kimkakati' wala sijali na sisikitiki ila naendelea Kusisitiza acheni kupenda 'Mbunye' za Wake za Watu wawe ni Matajiri au Masikini.
Mademu wamejaa tele ( tena mpaka wa Buku Buku ) na Wengine ni wa Kukopa ( Mali Kauli ) kama ambao GENTAMYCINE nawapata na nimebobea nao kwanini hadi ukahangaike na Mke wa Mtu / Wake za Watu wakati pengine nawe pia Nyumbani Kwako una Mke / Wake kwa ile Dini nyingine?
Wanafiki mtakaoenda katika Msiba wa huyo Dogo Mwizi wa Penzi la Mke wa Massanja mkatuwakilishe vyema ila Mimi GENTAMYCINE huwa nahudhuria Misiba yenye Vifo vilivyotokea kwa sababu za maana na za Kibinadamu kweli ila Misiba ya Kipuuzi ya Kujiua kwa Kuiba Penzi la Mtu au ya Kibaka na Jambazi na mingineyo huwa sina muda Mchafu wa Kuihudhuria na kuna muda hata Wanaoihudhuria pia huwa nawaona hawana Akili vile vile.
Wanafiki wakubwa kabisa nyie............!!!
Na Mama mchuu kama alivua pichu kabisa kwa Katibu wa Mchuu huku akijua ni kosa yeye anastahili adhabu gani?
Huenda katibu alikuwa mtiifu kwa boss wake mama mchuu...
Napenda sana na mno Wanamume Jasiri na wenye Maamuzi ya Kikatili ( Kishalubela ) kama Wewe hivi Mkuu na Wengine baadhi.Kukaziwa inauma.
Ila sasa nimepata namna nzuri ya kusolve tatizo kama la Masanja.
Ukitoka na wife simwachi wife wala simkemei badala yake atasikia tu msiba wa jirani yake
JamiiForums Moderators Paw, Moderator, Active, Cookie and JamiiForums GENTAMYCINE nimekuwa nikitukanwa na kudhalilishwa mno na Members na sioni wakiadhibiwa kama ambavyo MImi huwa nawahiwa Kuadhibiwa kwa BAN.Huyu mbwa hana akili even though kila mara ujiona ni extra ordinary!! Mpaka hapo asha conclude ya kua "Katibu" ni mzinzi kwa kutumia ushahidi wa yale maandishi ambayo obviously hana evidence kayaandika nani!!
Sema nini, tunaishi naye hivo hivo.
Utembee ( Unikazie ) kabisa Mke wangu halafu nijue nikuache uendelee kuivuta na kuifurahia hii Hewa ya bure hapa duniani? Labda siyo Mimi Kudadadeki......!!!!!!Wewe utakuwa mmoja wa wapambe wa masanja,maana maneno yako Yana shida ndani yake.
Vipi mkuu, wewe hujawahi kukaza mke wa mtu?Utembee ( Unikazie ) kabisa Mke wangu halafu nijue nikuache uendelee kuivuta na kuifurahia hii Hewa ya bure hapa duniani? Labda siyo Mimi Kudadadeki......!!!!!!