Mnajifanya kusikitika Kifo cha Katibu wa Masanja, ila hamkemei 'Uhuni' wake 'Wanafiki' wakubwa nyie

Kuwa katika mapenzi na mtu unayempenda haipaswi kuwa kosa.
kumpenda mtu sio kosa ila kosa linakuj pale unapotk kumshawsh wakt unajua huyo mtu ameshaolewa au yup kwny mahsian hlo linakuwa kosa
 
Hakuna kosa hapo, kama hakutaki atakukataa tu na kumubia mume wake kisha kwa pamoja watajua jinsi gani ya kukudhibiti usiendelee kumsumbua mke wake.

why ww mwnyw usijidhibit kwa kujua unalilolfnya n kosa ... mpk utake uje kuthibitiwa ww n mtu mzma na unachokfanya unakjua mkuu.

kumtamkia manen mwanamke ambae yupo ndan ya mahusiano na ww unajua hlo ni kosa coz hatuesabii unatafta bahat ila unashawish kualib penz la wenzak

yote ya yote hauwez kuelew km haup kwny mahusian
 
Vipi pale mke wa mtu anapoanzisha mahusiano mwenyewe na mtu mwingine?!
 
Kwahiyo unathibitisha masanja kamuua dogo? Sasa watu wangejadili vipi suala la marehemu kutembea na mke wa masanja wakati haikujulikana kabla mkuu
 
Vipi pale mke wa mtu anapoanzisha mahusiano mwenyewe na mtu mwingine?!
ww km huyo mtu mwngn utakuw hauna kosa km utaingia nae kwny mahusian km haujui n mke wa mtu... ila utakuwa na kosa km ukijua n mke wa mtu bado ukandlea na mahusian nae
 
Mkuu, unatuonea bure! Wengi tumeifahamu ya kuwa MONICA WA MASANJA na KATIBU, wanaibenjua AMRI YA SITA, baada ya hilo tukio. Inawezekana, WADAU wangejua, wangesha mkanya!
 
Uzi umefika page ya 4 popoma bado hajaanza kutukana. Popoma usitufanyie hivyo kaka anza kutukana basi.
 
Sema pamoja na yote wasingemuua....
 
Mbona unatuchamba Mkuu? 🤣 sasa sie tungejuaje kama kweli so called "mahusianao" walikuwa nayo ili tumkanye? hapa lazima tusikitikie kifo kwani kifo sio jambo la furaha kwa tamaduni zetu.
 
“Mapenzi ni hisia kali sana za ndani ambazo hazielezeki. Kwa lugha rahisi mapenzi ni kitu kizuri sana na chenye harufu nzuri ya kuvutia na ambacho kinadumu milele bila kujali mazingira. Ingawa siku hizi jamii imethibitisha kinyume chake. Mapenzi yamekuwa bidhaa inayoharibika, inaoza na kuzama. Utamu umekuwa uchungu kiasi cha kusababisha wapendanao kuuana wao kwa wao,” alisema jaji akihukumu.
 
Huyu Genta tangu nilipompiga mbami nikamtelekeza na tumbo lake, huwa akili hazijatulia. Ndo maana mada zake ni za kidwanzi.
 
Genta hivi Ile video huyo mwanamke ni yeye kweli na kati ya video na mauti kipi kilianza kutrend kwa sabb sijawai kuelewa.
 
Genta hivi Ile video huyo mwanamke ni yeye kweli na kati ya video na mauti kipi kilianza kutrend kwa sabb sijawai kuelewa.
Acha Ubwege ( Ungende ) Wewe Umeambiwa Mimi ndiyo Msemaji wa huko Kukazana ( Kutiana ) Kwao hawa Wazinzi Wawili?
 
Acha Ubwege ( Ungende ) Wewe Umeambiwa Mimi ndiyo Msemaji wa huko Kukazana ( Kutiana ) Kwao hawa Wazinzi Wawili?
Ila ww haya sawa asante mie bwege eeeeh
Sema Leo sitaki ugomvi na jinamizi ww.......Ila kama unajua nijibu nyama ww
 
Wachambuzi mliojifanya ni FBI kisa mnamiliki Smart phone,kua na bando na kuweza kuingia kwenye social media,bila shaka ujumbe wenu umewafikia kutoka kwa legendary GENTAMYCINE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…