Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
kumpenda mtu sio kosa ila kosa linakuj pale unapotk kumshawsh wakt unajua huyo mtu ameshaolewa au yup kwny mahsian hlo linakuwa kosaKuwa katika mapenzi na mtu unayempenda haipaswi kuwa kosa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumpenda mtu sio kosa ila kosa linakuj pale unapotk kumshawsh wakt unajua huyo mtu ameshaolewa au yup kwny mahsian hlo linakuwa kosaKuwa katika mapenzi na mtu unayempenda haipaswi kuwa kosa.
kumpenda mtu sio kosa ila kosa linakuj pale unapotk kumshawsh wakt unajua huyo mtu ameshaolewa au yup kwny mahsian hlo linakuwa kosa
why ww mwnyw usijidhibit kwa kujua unalilolfnya n kosa ... mpk utake uje kuthibitiwa ww n mtu mzma na unachokfanya unakjua mkuu.Hakuna kosa hapo, kama hakutaki atakukataa tu na kumubia mume wake kisha kwa pamoja watajua jinsi gani ya kukudhibiti usiendelee kumsumbua mke wake.
why ww mwnyw usijidhibit kwa kujua unalilolfnya n kosa ... mpk utake uje kuthibitiwa ww n mtu mzma na unachokfanya unakjua mkuu.
kumtamkia manen mwanamke ambae yupo ndan ya mahusiano na ww unajua hlo ni kosa coz hatuesabii unatafta bahat ila unashawish kualib penz la wenzak
yote ya yote hauwez kuelew km haup kwny mahusian
Kwahiyo unathibitisha masanja kamuua dogo? Sasa watu wangejadili vipi suala la marehemu kutembea na mke wa masanja wakati haikujulikana kabla mkuuYaani kila Mtu anajifanya Mchambuzi, Mpelelezi na Kaguswa sana na Tukio la Kujiua kwa Katibu wa Kanisa la Massanja huku Wengi wenu mlivyo Wanafiki mnalazimisha kuwa Dogo Kauwawa na wala hakujiua kama tunavyoaminishwa.
Yaani tunaacha Kukemea Uhuni wa Dogo na wa Watu Wengi ( na Wengine tuko humu huku JamiiForums ) wa kupenda 'Kitonga' kwa Kutembea na Wake za Watu Kiunafiki kabisa tunajifanya Kusikitika, Kuhoji na kujifanya ni FBI na kutaka Uchunguzi ( Upelelezi ) wa kina Ufanyike.
Mbona wakati Dogo ( Katibu ) anamkaza Mke wa Massanja hamkuja hapa JamiiForums Kumkanya na hata kutaka hao ( hawa ) Polisi Wamchunguze Dogo Katibu? Wanafiki wakubwa nyie.
Yaani GENTAMYCINE nijichange, nihangaike Kimaisha kisha Nioe Mke wangu halafu 'Ngala Ngala' Mmoja uje tu Unikazie 'Kisela' halafu nijue nikuache? Labda Mimi siyo Mzanaki, Mmakuwa na Mtutsi Kudadadeki...!!
99% ya Mlioanzisha Mada ( za Angle mbalimbali ) kuhusu Kuhoji na Kusikitika Kifo ( Kujiua ) kwa Katibu wa Massanja nanyi ndiyo Wabobezi wa Kuzikaza 'Mbunye' za Wanaume Wenzenu mbona nanyi hamtaki Uchunguzi wa Kina ufanyike dhidi yenu? Wanafiki wakubwa nyie.
Mimi Dogo awe Kajiua Kweli au hata Kauwawa ( Kimafia ) na Watu wa 'Kimkakati' wala sijali na sisikitiki ila naendelea Kusisitiza acheni kupenda 'Mbunye' za Wake za Watu wawe ni Matajiri au Masikini.
Mademu wamejaa tele ( tena mpaka wa Buku Buku ) na Wengine ni wa Kukopa ( Mali Kauli ) kama ambao GENTAMYCINE nawapata na nimebobea nao kwanini hadi ukahangaike na Mke wa Mtu / Wake za Watu wakati pengine nawe pia Nyumbani Kwako una Mke / Wake kwa ile Dini nyingine?
Wanafiki mtakaoenda katika Msiba wa huyo Dogo Mwizi wa Penzi la Mke wa Massanja mkatuwakilishe vyema ila Mimi GENTAMYCINE huwa nahudhuria Misiba yenye Vifo vilivyotokea kwa sababu za maana na za Kibinadamu kweli ila Misiba ya Kipuuzi ya Kujiua kwa Kuiba Penzi la Mtu au ya Kibaka na Jambazi na mingineyo huwa sina muda Mchafu wa Kuihudhuria na kuna muda hata Wanaoihudhuria pia huwa nawaona hawana Akili vile vile.
Wanafiki wakubwa kabisa nyie............!!!
ww km huyo mtu mwngn utakuw hauna kosa km utaingia nae kwny mahusian km haujui n mke wa mtu... ila utakuwa na kosa km ukijua n mke wa mtu bado ukandlea na mahusian naeVipi pale mke wa mtu anapoanzisha mahusiano mwenyewe na mtu mwingine?!
Yaani kila Mtu anajifanya Mchambuzi, Mpelelezi na Kaguswa sana na Tukio......
Mbona wakati Dogo ( Katibu ) anamkaza Mke wa Massanja hamkuja hapa JamiiForums Kumkanya na hata kutaka hao ( hawa ) Polisi Wamchunguze Dogo Katibu? Wanafiki wakubwa nyie.
Wanafiki wakubwa kabisa nyie............!!!
Genta hivi Ile video huyo mwanamke ni yeye kweli na kati ya video na mauti kipi kilianza kutrend kwa sabb sijawai kuelewa.Yaani kila Mtu anajifanya Mchambuzi, Mpelelezi na Kaguswa sana na Tukio la Kujiua kwa Katibu wa Kanisa la Massanja huku Wengi wenu mlivyo Wanafiki mnalazimisha kuwa Dogo Kauwawa na wala hakujiua kama tunavyoaminishwa.
Yaani tunaacha Kukemea Uhuni wa Dogo na wa Watu Wengi ( na Wengine tuko humu huku JamiiForums ) wa kupenda 'Kitonga' kwa Kutembea na Wake za Watu Kiunafiki kabisa tunajifanya Kusikitika, Kuhoji na kujifanya ni FBI na kutaka Uchunguzi ( Upelelezi ) wa kina Ufanyike.
Mbona wakati Dogo ( Katibu ) anamkaza Mke wa Massanja hamkuja hapa JamiiForums Kumkanya na hata kutaka hao ( hawa ) Polisi Wamchunguze Dogo Katibu? Wanafiki wakubwa nyie.
Yaani GENTAMYCINE nijichange, nihangaike Kimaisha kisha Nioe Mke wangu halafu 'Ngala Ngala' Mmoja uje tu Unikazie 'Kisela' halafu nijue nikuache? Labda Mimi siyo Mzanaki, Mmakuwa na Mtutsi Kudadadeki...!!
99% ya Mlioanzisha Mada ( za Angle mbalimbali ) kuhusu Kuhoji na Kusikitika Kifo ( Kujiua ) kwa Katibu wa Massanja nanyi ndiyo Wabobezi wa Kuzikaza 'Mbunye' za Wanaume Wenzenu mbona nanyi hamtaki Uchunguzi wa Kina ufanyike dhidi yenu? Wanafiki wakubwa nyie.
Mimi Dogo awe Kajiua Kweli au hata Kauwawa ( Kimafia ) na Watu wa 'Kimkakati' wala sijali na sisikitiki ila naendelea Kusisitiza acheni kupenda 'Mbunye' za Wake za Watu wawe ni Matajiri au Masikini.
Mademu wamejaa tele ( tena mpaka wa Buku Buku ) na Wengine ni wa Kukopa ( Mali Kauli ) kama ambao GENTAMYCINE nawapata na nimebobea nao kwanini hadi ukahangaike na Mke wa Mtu / Wake za Watu wakati pengine nawe pia Nyumbani Kwako una Mke / Wake kwa ile Dini nyingine?
Wanafiki mtakaoenda katika Msiba wa huyo Dogo Mwizi wa Penzi la Mke wa Massanja mkatuwakilishe vyema ila Mimi GENTAMYCINE huwa nahudhuria Misiba yenye Vifo vilivyotokea kwa sababu za maana na za Kibinadamu kweli ila Misiba ya Kipuuzi ya Kujiua kwa Kuiba Penzi la Mtu au ya Kibaka na Jambazi na mingineyo huwa sina muda Mchafu wa Kuihudhuria na kuna muda hata Wanaoihudhuria pia huwa nawaona hawana Akili vile vile.
Wanafiki wakubwa kabisa nyie............!!!
Acha Ubwege ( Ungende ) Wewe Umeambiwa Mimi ndiyo Msemaji wa huko Kukazana ( Kutiana ) Kwao hawa Wazinzi Wawili?Genta hivi Ile video huyo mwanamke ni yeye kweli na kati ya video na mauti kipi kilianza kutrend kwa sabb sijawai kuelewa.
Ila ww haya sawa asante mie bwege eeeehAcha Ubwege ( Ungende ) Wewe Umeambiwa Mimi ndiyo Msemaji wa huko Kukazana ( Kutiana ) Kwao hawa Wazinzi Wawili?