Mnajua kwanini kamata kamata imeongezeka Kitaani?

Kwahiyo unakiri kuwa wanaokamatwa wanatoa hongo ndiyo waachiwa na si wanaachiwa kwasababu hawana hatia.
Kumbe ni kukamata mtu yeyote ili wapate hela 🤦🤦 tunasafari ndefu
 
Dini yako ni ya amani au haki?
 
Kwa hivyo ni kwamba wanakamata watu(regardless those stupid reasons) halafu wakipewa rushwa ndiyo wanawaachia, so literally askari wamejitengenezea mradi wa kula mirungura kutoka kwa wananchi.
 
Reactions: Cyb
Dunia hii na popote pale sahau mambo ya haki. Haki utaikuta mbinguni/ peponi tu. Ndiyo maana tunapigania amani
Mnaowaua na kuwapoteza ndio hawana maana kuliko nyinyi?
 
Kuna mstari mdogo kati ya uchawa na ushoga, wewe tayari una elekea huko.
Mnaongea maneno machafu ili kutukera lakini sio kwangu mimi,yeyote ambaye anadhani anaweza kunikera iwe kwa matusi au kauli zozote zile he/she is wasting his or her time
 
Kwaiyo unatutisha
 
magaidi na mamluki wote wa mabwenyenye ya magharibi lazima yashughulikiwe ipasavyo na kuchukuliwa hatua bila huruma wala aibu.
well done our security forces
 
Kwahiyo ishu sio amani, ishu ni watu wanapiga pesa kwa kidingizio Cha kutunza amani. Ndio mana hata huyo jamaa yako wa songea aliachiwa Ili akaendelee kuratibu vurugu kisa walitoa hela mingi mingi asee
Unatoa hela mingi ili akili ikukae sawa next time usilete ujinga tena

Sasa mwenzangu na mimi kama huna hela si mpaka unasahaulika
 
magaidi na mamluki wote wa mabwenyenye ya magharibi lazima yashughulikiwe ipasavyo na kuchukuliwa hatua bila huruma wala aibu.
well done our security forces
Kama mtu anahatarisha amani ya nchi kuadhibiwa ni sawa kabisa
 
Hivi mapumbavu kama hili yapo kweli kwenye jamii tunazoishi, sijui yatakua na mwonekano gani.... Mwanaume unashindwa kupambana unakaa unajipendekeza kwa akina Abdul.
Unaweza pambana na dola wewe au unajitekenya halafu unacheka mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…