Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Umeileta hii habari hapa ww ni polisi?Tume ya uchaguzi itakuwa sehemu sahihi kuwauliza hili swali
Umeileta hii habari hapa ww ni polisi?Tume ya uchaguzi itakuwa sehemu sahihi kuwauliza hili swali
Wewe endelea na kazi yako ya uchawa.Ikiwa unajaribu kujifanya hauelewi ukweli Kazi kwako
Sio kwenye issue za NATIONAL SECURITY labda sasa unatuambia hizo kesi ni za kubumba.Unajifanya mgeni na nchi hii?
You stupidly spitting this crap whilst Samia and her gang are abducting and killing this young generation like flies.Huu UJINGA MLIOUFANYA KUELEKEA 29/10 BINFASI NILIWAONA NYIE WAZEE WA JF NI WANAFIKI AND SELFISH.
KWA SASA I PLAY HARD GAME , KUHAKIKISHA TUNALINDA MAISHA YA VIJANA NA KUTOWAINGIZA KATIKA MATATIZO.
MNASEMA VIJANA HAWANA CHA KUPOTEZA HII KAULI YA KIUBINAFSI HAITAPEWA NAFASI.
I will never watch this generation grow up and die like flies
SAY NO DEMONSTRATION, PROTECT UR LIFE
Hii laana itawatafuna nyie keybod wote .You stupidly spitting this crap whilst Samia and her gang are abducting and killing this young generation like flies.
Keybod eeh, good huku keyboard chawa mkiendeleza uchawa kwa hilo jishankupe na gang yake.Hii laana itawatafuna nyie keybod wote .
Waliotoka wametoa mapesa siyoHakamatwi kila mtu,lau ingekuwa hivyo basi wote tungekuwa tumekamatwa,anakamatwa kila mwenye kuvunja amani ya nchi hii
Anakamatwa kila mchochezi wa fujo na vurugu wa nchi hii
Utakufa haki hutoiona. Hata huyo Tundu Lissu wenu hama uwezo wa kukupa haki. Tunemuona ndani ya CHADEMA muda mfupi tu alipokataa kusikiliza wale wa G55Mtuvumilie tunaopigania haki. Kama mlikuwa mnapigania amani, mlimtoa mkoloni ili iweje kwa mfano?
Wale waharibifu wa miundombinu na wezi wa 29/10 haki yao walipata siku hiyo hiyo. RisasiMnaowaua na kuwapoteza ndio hawana maana kuliko nyinyi?
Wale wa G55 alitakiwa kuwasikiliza nini wakati tayari walikuwa na ajenda ya ccm mkononi? Halafu cdm sio ccm ambapo mwenyekiti ndio anaamua atakacho na kinakuwa.Utakufa haki hutoiona. Hata huyo Tundu Lissu wenu hama uwezo wa kukupa haki. Tunemuona ndani ya CHADEMA muda mfupi tu alipokataa kusikiliza wale wa G55
Mbona unajulikana kabisa kwa Nini unayashabikia haya!Ingekuwa nazungumzia dini hapa ningekujibu
Mmekuwa wasemaje wangu sasa kwamba mnajua nia yangu ni niniMbona unajulikana kabisa kwa Nini unayashabikia haya!
Unafikiri nimeandika kwa bahati mbaya?
Unajaribu kuwauzia uoga wanao kerwa na udhalimu?
Kijana ambaye hataelewa haya na kuingia kwenye matatizo hana wa kumlaumu isipokuwa nafsi yake mwenyeweKijana kabla ya kuandamana waza mambo yafuatayo
Una familia yako
unaweza kuuliwa
unaweza kupewa ulemavu
Unaweza kupewa kesi ya ugaidi na ukafungwa kifungo cha maisha jela au kunyongwa
VUMILIA KUWA NA SUBRA HAKUNA KIONGOZI ANAKAA MADARAKANI MILELE , IKIWA HAUMPENDI KIONGOZI SUBIRI MUDA WAKE UTAFIKA ATATOKA NA SIO KUTUMIA MAANDAMANO AMBAYO NIMEKUWEKEA MADHARA YAKE
KWA PAMOJA TUNASEMA VIJANA TULINDE UHAI WETU NA TUKATAE VURUGU KWAKUWA HAKUNA MTU WA KUULINDA UHAI WETU ZAIDI YETU
Huyo alisaidia kuwapa ujasiri shujaa wetu wa MO29. Mtu wa maana sana huyo mdau.NDIO ANAUZA UOGA
ILA ONA HUYU ALIYEUZA UJASIRI KUELEKEA 29/10
👇🏾
Huyo alisaidia kuwapa ujasiri shujaa wetu wa MO29. Mtu wa maana sana huyo mdau.