Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 17,119
- 32,195
Subirini mtujua nanyi mlijitupa kwenye sero za ICC/ICJ mlipo hamua kuuwa ndugu zenu mfano wa mbwa koko (stray dogs).SASA MNALALAMIKA NINI WAKATI MLIJITUPA KATIKA MTO WA MAMBA WENYEWE?.
Subirini mtujua nanyi mlijitupa kwenye sero za ICC/ICJ mlipo hamua kuuwa ndugu zenu mfano wa mbwa koko (stray dogs).SASA MNALALAMIKA NINI WAKATI MLIJITUPA KATIKA MTO WA MAMBA WENYEWE?.
Subirini mtujua nanyi mlijitupa kwenye sero za ICC/ICJ mlipo hamua kuuwa ndugu zenu mfano wa mbwa koko (stray dogs).
Tatizo siyo elimu iliyo letwa na mkoloni.NI MJINGA PEKEE ANAYEWEZA KUAMINI KUWA, KUTAKUWA NA MAANDAMANO TAR 25th DEC
NA HII INADHIBITISHA TUNA BAADHI YA VIJANA WAPUMBAVU KABISA PENGINE KWA SABABU YA HII ELIMU YETU YA KUKARIRI TULIYO LETEWA NA WAKOLONI.
YAANI MTU MWENYE AKILI NA ALIYEKAA DARASANI PENGINE MIAKA 12, ANAFIKIRI AKIJIFICHA NYUMA YA KEY BOARD AKAANDIKA KUTAKUWA NA MAANDAMANO TAYARI YATAKUWEPO???
Tatizo siyo elimu iliyo letwa na mkoloni.
Tatizo elimu inayo tolewa na serikali ya CCM.
Tatizo waalimu wa vodafasta wa awamu ya JK na muendelezo wa shule za hovyo za kata.
Hizo shule hawafundishi na serikali haizisimamii vizuri.
Elimu bure ya JPM nayo imeongeza tatizo kiasi kikubwa sana.
Usimamizi mbovu wa SSH umekuja kuuwa kabisa elimu yetu.
Labda wewe tu ndio mgeni wa polisi na hicho kinachoendelea, polisi wakikukamata wanakupiga kukulazimisha utaje wenzako hivyo unajikuta unalazimika kutaja tu wenzako hata kama hukushirikiana nao kwenye tukio husika ili kujinusuru na kipigo, na polisi wanaenda kuwakamata na hapo ni mchezo wa hela tu.Waamini sugu walipewa vijana kuwasimamia wahakikishe wanaandama,kila mmoja watatu watatu,waliwapa mlo,makazi na probably malipo,walipoenda front wakakuta jamaa hawatanii,wanafumua mafuvu tu
Waliokamatwa wanawataja masters wao, ndiyo wanadakwa
Wewe siyo GenZ.Mimi kiumri nipo hapo kwa GEN Z
Ila niwaambie mchezo mlioufanya ile 29/10 ulikuwa wa kitoto Sana .
Wewe siyo GenZ.
Una mawazo ya uchama na udini na uchawa.
Uchawa dhambi.
Chawa ni wanyonyaji (parasite). Chawa wananyonya maendeleo ya taifa letu kwa njaa zao na tamaa.
Mpuuzi wwView attachment 3518584
My people,
Mnajua kwanini kitaani operation kamata kamata imepamba moto,hayo ni matokeo ya kutajana,wale walio kamatwa usifikiri watakula machungu peke yao,lazima muende wote na maji
Kuna mwanangu mmoja yupo Songea,wadau walimpoint na mara paap wajeda hawa hapa wakamnyakua,ingawa ametoka baada ya kupambaniwa sana lkn hela mingi ilitoka
Kwahiyo kama nawe ulikuwa mtu wa kipiga piga domo kitaani kuhusu kuandamana na mambo kama hayo,jua you are next
Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
epuka mazingira yote ambayo yatakuletea matatizo
Ni hayo tu!
Go get back your school and college tuition fees. Reclaim your lost money.MIMI NAENDA BEYOND NDO MAANA MPAKA SASA HAPA JF MNAFUNGUA NYUZI MKIJADILI MACHAWA.
KUMBUKA MIMI HII VITA SIJIFUNZI ILA NDO KAZI YANGU NILIOSOMEA CHUO.
KWAHIYO DON'T EXPECT SOFT GAME
SAY NO DEMONSTRATION , PROTECT UR LIFE