Mnajua kwanini kamata kamata imeongezeka Kitaani?

But not in this government
There was a fool known as Samia who walked through life with his eyes open but could not see clearly. He laughed at advice, ignored warnings, and missed the signs all around him. Chances came and went, but he never noticed them. SHe saw things on the surface but never understood what was really there
 
Kwa hivyo ni kwamba wanakamata watu(regardless those stupid reasons) halafu wakipewa rushwa ndiyo wanawaachia, so literally askari wamejitengenezea mradi wa kula mirungura kutoka kwa wananchi.
Hilo mie sijui ninachojua jamaa yangu alipambaniwa kwa hela mingi

Ila it's likely kama wewe ndio kinara wa fujo utakaa ubaoni mpaka akili ikae sawa
 
Kila Nyumbu atashughulikiwa bila huruma, nyumbu yoyote alieshiriki au kuchochea maandamano uchwara ya kihalifu ya wizi na uharibifu wa mali atafikiwa na kuminywa gololi hadi moja ilie tus
 
Hilo mie sijui ninachojua jamaa yangu alipambaniwa kwa hela mingi

Ila it's likely kama wewe ndio kinara wa fujo utakaa ubaoni mpaka akili ikae sawa
Hakuna cha kinara wa fujo wala nini, ni project ya Wazanzibari kuigaragaza Tanganyika ili waikombe huku wakinyamazisha kila aina ya kelele zinazojaribu kuzuia uwezekano huo huku wakiendelea kutumia Watanganyika wasiojitambua na wengine wanaofaidika kwa bakshishi ndogondogo wanazopewa. Kama wanamteka mtu kisa tu kuna ndugu yake wanamtafuta hiyo purely ni kukomoana tu na si vinginevyo.
Tatizo ni kwa kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vimejaa watu wasio na akili hata kidogo, wao ni kama mbwa tu wanachojua ni kushambulia na kudhuru tu without conscience.
 
There was a fool known as Samia who walked through life with his eyes open but could not see clearly. He laughed at advice, ignored warnings, and missed the signs all around him. Chances came and went, but he never noticed them. SHe saw things on the surface but never understood what was really there

Huu UJINGA MLIOUFANYA KUELEKEA 29/10 BINFASI NILIWAONA NYIE WAZEE WA JF NI WANAFIKI AND SELFISH.

KWA SASA I PLAY HARD GAME , KUHAKIKISHA TUNALINDA MAISHA YA VIJANA NA KUTOWAINGIZA KATIKA MATATIZO.

MNASEMA VIJANA HAWANA CHA KUPOTEZA HII KAULI YA KIUBINAFSI HAITAPEWA NAFASI.

I will never watch this generation grow up and die like flies

SAY NO DEMONSTRATION, PROTECT UR LIFE
 
Attachments

  • Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    368.7 KB · Views: 14
Huu UJINGA MLIOUFANYA KUELEKEA 29/10 BINFASI NILIWAONA NYIE WAZEE WA JF NI WANAFIKI AND SELFISH.

KWA SASA I PLAY HARD GAME , KUHAKIKISHA TUNALINDA MAISHA YA VIJANA NA KUTOWAINGIZA KATIKA MATATIZO.

MNASEMA VIJANA HAWANA CHA KUPOTEZA HII KAULI YA KIUBINAFSI HAITAPEWA NAFASI.

I will never watch this generation grow up and die like flies

SAY NO DEMONSTRATION, PROTECT UR LIFE
Huyu nyumbu anaeitwa 100 others alijitumia meseji akaja kuwalaghai Nyumbu wenzake wakaishia kuchezea risasi alafu yeye yuko uvunguni kajificha hadi leo maana kile kichapo alichokiona haamini kama mtaani hali ni shwari
 
Huu UJINGA MLIOUFANYA KUELEKEA 29/10 BINFASI NILIWAONA NYIE WAZEE WA JF NI WANAFIKI AND SELFISH.

KWA SASA I PLAY HARD GAME , KUHAKIKISHA TUNALINDA MAISHA YA VIJANA NA KUTOWAINGIZA KATIKA MATATIZO.

MNASEMA VIJANA HAWANA CHA KUPOTEZA HII KAULI YA KIUBINAFSI HAITAPEWA NAFASI.

I will never watch this generation grow up and die like flies

SAY NO DEMONSTRATION, PROTECT UR LIFE
There was a fool known as Samia who walked through life with his eyes open but could not see clearly. He laughed at advice, ignored warnings, and missed the signs all around him. Chances came and went, but he never noticed them. SHe saw things on the surface but never understood what was really there
 
View attachment 3518584

My people,​

Mnajua kwanini kitaani operation kamata kamata imepamba moto,hayo ni matokeo ya kutajana,wale walio kamatwa usifikiri watakula machungu peke yao,lazima muende wote na maji

Kuna mwanangu mmoja yupo Songea,wadau walimpoint na mara paap wajeda hawa hapa wakamnyakua,ingawa ametoka baada ya kupambaniwa sana lkn hela mingi ilitoka

Kwahiyo kama nawe ulikuwa mtu wa kipiga piga domo kitaani kuhusu kuandamana na mambo kama hayo,jua you are next

Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana

epuka mazingira yote ambayo yatakuletea matatizo

Ni hayo tu!
Ni ngumu sana mtu kama wewe kua na clean sheet 🥅
 
Kwahio unatuambia HELA MINGI IMETUMIKA jamaa yako akaachiwa. Maana yake ni kuwa kwenye NATIONAL SECURITY MATTERS mtu anaweza kuhonga na kuachiwa? Kweli kuna usalama na amani kwenye nchi kama hio?
Haya ndio majinga yanayo tumika na CCM
 
View attachment 3518584

My people,​

Mnajua kwanini kitaani operation kamata kamata imepamba moto,hayo ni matokeo ya kutajana,wale walio kamatwa usifikiri watakula machungu peke yao,lazima muende wote na maji

Kuna mwanangu mmoja yupo Songea,wadau walimpoint na mara paap wajeda hawa hapa wakamnyakua,ingawa ametoka baada ya kupambaniwa sana lkn hela mingi ilitoka

Kwahiyo kama nawe ulikuwa mtu wa kipiga piga domo kitaani kuhusu kuandamana na mambo kama hayo,jua you are next

Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana

epuka mazingira yote ambayo yatakuletea matatizo

Ni hayo tu!
oooh!
 
Inaamana kabla ya maandamano watu ilikuwa hawatekwi
 
Nyumba za machawa,wajumbe,wenyeviti wa mtaa , familia za madiwani na Police zipo kwenye mtaa yetu zitembelewe na kusalimiwa zarau itaisha D24/D25 nitatoka
 
Back
Top Bottom