macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
There was a fool known as Samia who walked through life with his eyes open but could not see clearly. He laughed at advice, ignored warnings, and missed the signs all around him. Chances came and went, but he never noticed them. SHe saw things on the surface but never understood what was really thereBut not in this government
Amani na haki ni vitu vinavyotegemeana ,kwanza amani kisha hakiMtuvumilie tunaopigania haki. Kama mlikuwa mnapigania amani, mlimtoa mkoloni ili iweje kwa mfano?
unasubiria nn sasaNikuweke ktk ignore list 🚫
😀
Hilo mie sijui ninachojua jamaa yangu alipambaniwa kwa hela mingiKwa hivyo ni kwamba wanakamata watu(regardless those stupid reasons) halafu wakipewa rushwa ndiyo wanawaachia, so literally askari wamejitengenezea mradi wa kula mirungura kutoka kwa wananchi.
fanya chap broNimesoma kwa umakini ila nilipofika paragraph ya mwisho nikajiuliza hivi huyu mpuuzi kaponaje ponaje kwenye ignore list? Ikabidi nirudi chap juu nikutupie blacklist!
Hakuna cha kinara wa fujo wala nini, ni project ya Wazanzibari kuigaragaza Tanganyika ili waikombe huku wakinyamazisha kila aina ya kelele zinazojaribu kuzuia uwezekano huo huku wakiendelea kutumia Watanganyika wasiojitambua na wengine wanaofaidika kwa bakshishi ndogondogo wanazopewa. Kama wanamteka mtu kisa tu kuna ndugu yake wanamtafuta hiyo purely ni kukomoana tu na si vinginevyo.Hilo mie sijui ninachojua jamaa yangu alipambaniwa kwa hela mingi
Ila it's likely kama wewe ndio kinara wa fujo utakaa ubaoni mpaka akili ikae sawa
There was a fool known as Samia who walked through life with his eyes open but could not see clearly. He laughed at advice, ignored warnings, and missed the signs all around him. Chances came and went, but he never noticed them. SHe saw things on the surface but never understood what was really there
Huyu nyumbu anaeitwa 100 others alijitumia meseji akaja kuwalaghai Nyumbu wenzake wakaishia kuchezea risasi alafu yeye yuko uvunguni kajificha hadi leo maana kile kichapo alichokiona haamini kama mtaani hali ni shwariHuu UJINGA MLIOUFANYA KUELEKEA 29/10 BINFASI NILIWAONA NYIE WAZEE WA JF NI WANAFIKI AND SELFISH.
KWA SASA I PLAY HARD GAME , KUHAKIKISHA TUNALINDA MAISHA YA VIJANA NA KUTOWAINGIZA KATIKA MATATIZO.
MNASEMA VIJANA HAWANA CHA KUPOTEZA HII KAULI YA KIUBINAFSI HAITAPEWA NAFASI.
I will never watch this generation grow up and die like flies
SAY NO DEMONSTRATION, PROTECT UR LIFE
Yes naelewa hata huyo mjinga nime quote alikuwa akishadidia huu ujinga .Huyu nyumbu anaeitwa 100 others alijitumia meseji akaja kuwalaghai Nyumbu wenzake wakaishia kuchezea risasi
Hata lini utafanya hivyo,basi endelea kujiweka hivyo hivyo pengine utaishi mileleninajiweka mbali na mazingira yote ambayo yataniletea matatizo
yoyote anayejimbua hujiweka mbali na hatari
There was a fool known as Samia who walked through life with his eyes open but could not see clearly. He laughed at advice, ignored warnings, and missed the signs all around him. Chances came and went, but he never noticed them. SHe saw things on the surface but never understood what was really thereHuu UJINGA MLIOUFANYA KUELEKEA 29/10 BINFASI NILIWAONA NYIE WAZEE WA JF NI WANAFIKI AND SELFISH.
KWA SASA I PLAY HARD GAME , KUHAKIKISHA TUNALINDA MAISHA YA VIJANA NA KUTOWAINGIZA KATIKA MATATIZO.
MNASEMA VIJANA HAWANA CHA KUPOTEZA HII KAULI YA KIUBINAFSI HAITAPEWA NAFASI.
I will never watch this generation grow up and die like flies
SAY NO DEMONSTRATION, PROTECT UR LIFE
Ni ngumu sana mtu kama wewe kua na clean sheet 🥅View attachment 3518584
My people,
Mnajua kwanini kitaani operation kamata kamata imepamba moto,hayo ni matokeo ya kutajana,wale walio kamatwa usifikiri watakula machungu peke yao,lazima muende wote na maji
Kuna mwanangu mmoja yupo Songea,wadau walimpoint na mara paap wajeda hawa hapa wakamnyakua,ingawa ametoka baada ya kupambaniwa sana lkn hela mingi ilitoka
Kwahiyo kama nawe ulikuwa mtu wa kipiga piga domo kitaani kuhusu kuandamana na mambo kama hayo,jua you are next
Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
epuka mazingira yote ambayo yatakuletea matatizo
Ni hayo tu!
Haya ndio majinga yanayo tumika na CCMKwahio unatuambia HELA MINGI IMETUMIKA jamaa yako akaachiwa. Maana yake ni kuwa kwenye NATIONAL SECURITY MATTERS mtu anaweza kuhonga na kuachiwa? Kweli kuna usalama na amani kwenye nchi kama hio?
oooh!View attachment 3518584
My people,
Mnajua kwanini kitaani operation kamata kamata imepamba moto,hayo ni matokeo ya kutajana,wale walio kamatwa usifikiri watakula machungu peke yao,lazima muende wote na maji
Kuna mwanangu mmoja yupo Songea,wadau walimpoint na mara paap wajeda hawa hapa wakamnyakua,ingawa ametoka baada ya kupambaniwa sana lkn hela mingi ilitoka
Kwahiyo kama nawe ulikuwa mtu wa kipiga piga domo kitaani kuhusu kuandamana na mambo kama hayo,jua you are next
Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
epuka mazingira yote ambayo yatakuletea matatizo
Ni hayo tu!
SAYNGAYunakereka ukiwa wap mkuu
Inaamana kabla ya maandamano watu ilikuwa hawatekwiView attachment 3518584